MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (13)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (13)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA TATU TULIPOISHIA... Wakufunzi walikuwa wanateta kuwa Sam atakuwa ni Sniper mzuri kuliko ilivyozoeleka, ma sniper kama hawa ni muhimu sana wakati wa mapambano kwani wanapunguza idadi ya Risasi za kutumia huku kila risasi kwao ikiwa imetimiza lengo. Hawa ndio ambao wakiasi wanatumika kufanya uhalifu wa kuua kwa kulipwa kwani akijitega sehemu na kumlenga mhusika hamkosi. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Ni rahisi kama akiwa jambazi kuua askari wengi kwani akijificha sehemu na kuminya jicho lake atakapoachia risasi inadondoka na askari mmoja. Walengaji kama Sam ndio walioweza kumuua aliyekuwa Rais wa Marekani John F Kenedy ! Sam alivuta Hisia za wakufunzi wengi sana hadi kufikia wakati akawa burudani kwa maaskari wenzake. …………………………………. Siku zilikuwa zinakimbia sana ambapo wakati huu Mafunzo yalikuwa yanaenda ukingoni, Sam alikuwa amepewa doria katika…