MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (16)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (16)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA SITA TULIPOISHIA... Kwa taratibu huku akiwa anamuangalia Rafiki machoni wakisindikizwa na shangwe na vigelegele pete ilipenya mpaka ikakaa sawia kwenye kidole cha Rafiki ambaye alikuwa anabubujikwa na machozi ya furaha. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Sam alikuwa amelala huku anachat na Nisha wakati huo anatafakari namna ya kutoroka akaungane na Nisha kule aliko. Rafiki alikuwa amelala chumba kinachofwatia na siku hiyo hawakuruhusiwa kulala pamoja kwakuwa bado hawajaoana. Kila alipokuwa analikumbuka umbo la Nisha pamoja na uzuri wake alikuwa anatamani kutoroka akaungane nae muda huo huo. Alipohakikisha kuwa kila mtu amelala aliamka na kuanza kunyata kutoka nje, alinyonga kitasa cha mlango akachungulia kwenye korido na kuona kuko salama kisha akazima taa ya korido ili kamera za RPC zisimsome. ………………………… Verity alipania kukwamisha dada yake kuvishw…