Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA KUMI NA SITA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Kwa taratibu huku akiwa anamuangalia Rafiki machoni wakisindikizwa na shangwe na vigelegele pete ilipenya mpaka ikakaa sawia kwenye kidole cha Rafiki ambaye alikuwa anabubujikwa na machozi ya furaha.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Sam alikuwa amelala huku anachat na Nisha wakati huo anatafakari namna ya kutoroka akaungane na Nisha kule aliko.
Rafiki alikuwa amelala chumba kinachofwatia na siku hiyo hawakuruhusiwa kulala pamoja kwakuwa bado hawajaoana.
Kila alipokuwa analikumbuka umbo la Nisha pamoja na uzuri wake alikuwa anatamani kutoroka akaungane nae muda huo huo.
Alipohakikisha kuwa kila mtu amelala aliamka na kuanza kunyata kutoka nje, alinyonga kitasa cha mlango akachungulia kwenye korido na kuona kuko salama kisha akazima taa ya korido ili kamera za RPC zisimsome.
…………………………
Verity alipania kukwamisha dada yake kuvishwa pete kwani nae alikuwa anampenda Sam, kila mbinu aliyopania kuicheza ilikwama lakini dakika za mwishomwisho akafanikiwa kutia mkono kwenye koti la Sam na kuiba Pete iliyokuwa mule ndani.
Roho yake ilifurahi ila dakika kadhaa mbele ikakatishwa na kitendo cha kumuona Baba yake akitaka kumuua Sam.
Verity hakuweza kuvumilia kumuona Sam akifanyiwa kitu Mbaya pale ukumbini, alichokifanya ni kuamka na kumuendea sam pale mbele na kuwapa pete huku akisingizia kuwa ni mpango wa kufanya Sapraiz.
Pamoja na kulazimika kufanya hivyo haikuwa na maana kuwa ndio ameridhia Sam amuoe dada yake Rafiki.
Usiku akiwa kitandani alikuwa akitafuta namna ya kwenda chumbani kwa sam ili akaonane nae amwambie yaliyopo moyoni mwake.
Alipiga mahesabu akaamua atoke kwanza mpaka sebuleni ili aangalie mazingira mazima ya eneo la hapo nyumbani.
Alifika mpaka sebuleni na kuzima taa kisha akawa anarudi kuelekea kwenye Chumba cha Sam, akiwa kwenye Korido alishtuka akigongana na mtu ambaye hakumjua.
“Mamaaa wewe nani?”
Wote walijikuta wakitamka maneno hayo kwani kila mmoja alikuwa akitembea kwa tahadhari ya kutoonokena.
Walitambuana wote na woga ukawaisha, Sam unaenda wapi? Aliuliza Verity.
“Kwani wewe unaenda wapi?”
“Nilikuwa nakuja Chumbani kwako”
“Kufanya nini?”
“Nina mazungumzo na wewe Sam”
“Tafadhali sana Verity, naomba uniache, tafadhali usinitafutie matatizo”
Sam alikuwa akipiga hatua mbele akitaka aondoke zake.
“No Sam ukiondoka napiga makelele, twende chumbani kwako nikakuelezee ni kwanini ninataka kuzungumza na wewe!”
“Hivi Verity kwanini huna Huruma? Unajua kuwa mimi napambana na umasikini wangu, kwanini unataka unirudishe kwenye dhiki Verity”
“Usiseme hivyo sam”
“Ila nisemeje sasa, Verity nimedhalilika sana mpaka nikapata hii kazi, niache basi namimi nitulie, baba yako akiniona nina mahusiano na wewe safari hii hataniacha”
“Basi twende ukanisikilize ili tumalizane kabisa kila mtu abaki na maisha yake”
Kishingo upande Sam aliingia chumbani na Verity huku akiwa ni mwenye wasiwasi mwingi.
Walipofika chumbani cha kwanza alichofanya Verity ni kuwasha taa, “No verity usiwashe taa, kuna Kamera humu ndani baba yako ataniona”
“Usijali, kamera zote kwa sasa hazifanyi kazi”
Verity alinyanyua gauni lake la kulalia juu kabisa akabaki na chup.. tu!
“No verity usifanye hivyo pliiiz nakuomba”
“Njoo hapa karibu Sam”
“Verity no!”
“No nini njoo hapa”, Sam alivutwa mkono akaletwa karibu na aliposimama Verity
“Unaliona hili tumbo…hii ni Mimba yako na huyu hapa ndani ni MWANAO!”
Sam alikuwa kapigwa na butwaa kusikia kauli ile kutoka kwa Verity, vitu kibao vilizunguka kichwani kwake huku akipata wazo kuwa huenda anasingiziwa.
“SAM nakwambia ukweli wewe ndie mtu wa kwanza kujua kuwa hii mimba ni yako, hakuna hata mtu mmoja anayejua hili swala”
“Usinitanie Verity, by the way mimi sitaki mtoto kwa sasa kwahiyo utajua mwenyewe”
“Sam unasemaje? ”
“Nadhani umenisikia vyema ”
“Unaleta kiburi sio?, sasa sikia mimi sina dhiki ninaenda kuolewa na nitamwambia anayenioa kuwa huyu mtoto ni wake kwani hata hivyo anajua hii ni Mimba yake, ila naomba usimjue kwa lolote na wala usimzungumzie. Kwaheri Sam”
Verity alimuachia Sam na kuendea mlango ili atoke,
“Verity subiri kwanza”
“Unataka nini Sam, mimi na wewe tumemalizana….mwanangu huyu ni wa kike na nitamuita Kwajina la GWAKISA ambaye ndie anaenda kunioa, Meja Gwakisa sio wewe ambae hata cheo huna, ila kumbuka mwanao anaenda kuwa wa Baba mwingine”
Sam alikuwa anaemia sana moyoni lakini kila akiwaza aliona dawa ni kutokubali tu…
“Ila Sam nikwambie kitu”
“Nini?”
“Nipe penzi kidogo hata kama umeikataa Mimba yako”
“Verity sitaki”
“Hutaki nini?”
Wakati huu tayari sam alikuwa amefwata mdomoni na ananyonywa midomo, gauni la Verity lilikuwa chini kwa kuvuliwa na Verity mwenyewe.
Miguno ya kimapenzi ilikuwa inamtoka Verity mdomoni na puani kwa lengo la kumpagawisha Sam na kweli Sam alikuwa hana usemi tena hasa pale alipokumbuka utamu wa Verity ambao hawezi kuusahau.
Sam alitumia msemo wa Potelea mbali na kuamua kula uroda na Verity…
Alimkusanya Verity na kumtupia kitandani kisha akaanza kupitisha vidole vyake juu ya kufuli la Veirty akikuna maeneo hatarishi ya ikulu hiyo.
Wakati huo alikuwa ameweka embe boribo za VERITY mdomoni anazinyonya Kwa fujo.
Alivyoridhika na michezo yake alianza kuitoa taratibu kufuli ya Verity na kuiweka chini
Kwakuwa muda ulikuwa sio rafiki kwao Verity wala hakukawia, alikamata Tango la Sam huku akiwa ameweka miguu yake Mashariki na Magharibi ya Mbali kabisa kisha taratibu akalielekeza Tango mpaka mlangoni na kulihisi Joto tamu.
Taratibu sam nae akaanza kulisokomeza ndani mpaka likapenya na kufika ndani kabisa kitendo kilichomfanya Verity atoe miguno ya ndani kwa ndani hadi pale utamu ulipomzidia na kuanza kunyonga kiuno kwama feni akikipeleka mara juu mara chini mara pembeni kulia kushoto wakati huo huo Sam nae alikuwa anatimiza majukumu yake ipasavyo.
Dakika kumi kuisha wote walikuwa wamefikia walipotaka kufika kwa raha zao kabisa…
“Sijui kama nitaweza kuvumilia Raha hizi azipate Dada yangu peke yake…I love you Sam”
Sam alikuwa kimya kabisa akitafakari Mambo mengi ila kiukweli hakuna mtu aliyekuwa anamfurahisha kingono kama Verity, alikuwa anawaza kivyake ni vipi ataweza kujiepusha na mwaanamke huyu ambaye anatakiwa awe shemeji yake.
Verity aliamka na kuvaa gauni lake kisha akatoka zake kuelekea chumbani kwake akiwa na mawazo lukuki, alimuacha Sam amelala akiwa anawaza yake pia.
Kwa burudani ambazo Sam alipata kwa Verirty alijikuta akimsahau kabisa Nisha, kiu yake ilikuwa imekatwa kabisa ndani ya dakika chache na mwanamke wa shoka Verity, usingizi ulimchukua na kulala fofofo.
…………………………………….
Maji yalikuwa yanakatwa na yalikuwa yakikatika kwelikweli, Meza ilikuwa ina watu wanne waliokuwa wamekaa wanapiga story kama wamezoeana.
Alikuwepo Ester, Nisha pamoja na wafanyabiashara wawili kutoka Zambia, Egbert na Chilumba,
Nisha alikuwa amelewa kwelikweli na Esther alishalitambua hilo, aliona matendo ya Nisha jinsi ambavyo yanaendeshwa na ulevi na kuamua kutomuacha peke yake mbele ya wanaume wale ambao wanaonekana ni wakwere wa mapenzi.
Mguu wa Mbuzi ulikuwa mezani watu wanatafuna huku wakishushia na vinywaji ambavo ilikuwa ni kata mti panda mti.
Chenchi alikuwa anaachwa nazo esther na tayari zilikuwa zimempagawisha maana mfukoni alikuwa ana kitita kirefu tu.
Kwa Kiswahili kibovu maongezi ya kilevi yalikuwa yanaendelea kati ya hawa watu wa Zambia na watanzania hawa wawili.
“Esther mimi nimmependa sana wewe, mrembo sana”
“Asante kwa kunipenda”
“Nyinyi wa tizedi mnapenda sana kusema asante, mimi napenda wewe alafu wasema tu asante”
“jamani ndio hivyo asante kwa kuni penda”
Wakati anamuongelesha hivyo tayari mkono wake ulikuwa unapapasa mapaja meupe ya Esther ambae ilibidi akae kimya akitazama kinachoendelea.
Upande wa pili alikuwa ni Nisha akiwa amasinzia juu ya meza kwa ulevi.
“Esther mtafutie chumba rafiki yako akalale”
“Muache tu ataamka”
Mkono wa Chilumba sasa ulikuwa unaelekea mbali kabisa kwani ulikuwa unaikaribia nguo ya ndani ya Esther, wakati huo alikuwa anayashika shika maziwa ya Esther ambayo yalikuwa yamesimama vilivyo.
“Esther nakupenda naomba tulale wote leo, nitakupa pesa Mingi tu”
“Hapana usilale ne mimi, bado mapema sana”
“No esther sio mapema”
“Oosssh”
Esther alitoa mguno baada ya kidole cha Chilumba kugusa eneo hatari la ikulu yake na kilikuwa kinaelekezwa ndani.
Pembeni alikuwa amekaa Egbert na Nisha aliyekuwa amelala usingizi, wakati wote Egbert alikuwa anaangalia kile anachofanya Chilumba kwa Ester na tayari alikuwa amepandishwa mizuka kwa kumuona mwenzake anafaidi.
Hakukubali kutulia kimya aliamsogeza Nisha karibu yake na kuanza kumpapasa, Nisha alikuwa usingizini hivyo kila alichokuwa anafanyiwa alikuwa kama yuko ndotoni.
…………………………………….
Nisha alikuwa kwenye simu anachat na Sam ambaye alionekana hataki kabisa kuja pale hotelini alipo Nisha, Nisha alizidi kubembeleza kwa kauli za mahaba kiasi kilichomfanya Sam akubali kutoroka kwa RPC na kwenda kule aliko Nisha.
Wakati huu Nisha alikuwa anashikwa shikwa na Vijana hawa wa Zambia akamuona Sam anatokea mlangoni anatafuta sehemu walipokaa akina Nisha.
Nisha alipomuona Sam alikurupuka akatengeneza nguo yake vizuri na kumkimbilia Sam, alimvaa Sam kwa kumkumbatia na mabusu motomoto Mwaaa, mwaaa, mwaaaaa!
Sam alikuwa kamkumbatia Nisha kiunoni kitendo kilichowafanya wale Vijana wa Kizambia kupandisha hasira zao.
Hawakutaka kusubiri wala kuambiwa, waliamka kwa pamoja wakiwa na chupa zao za pombe hadi pale alipo Sam na Nisha.
Mmoja alirusha chupa akiielekeza kichwani kwa Sam lakini Sam aliiona akaminya chini kidogo ikapita na kugonga kwenye nguzo za vibanda.
Mwingin kuona ile aliamka na kumfwata Sam ambaye sasa alikuwa amemuachia Nisha kwa ajili ya mapambano.
Ngumi zilichezwa kwa kasi ya ajabu lakini ndani ya dakika tano vijana wale wa Zambia walikuwa wamekula kipigo cha haja kutoka kwa Sam na Nisha ambao japo alikuwa kalewa lakini alikuwa anapiga mateke ya nguvu kiasi kila mtu alishangaa.
Sam aliliendea moja ya Begi la wale vijana akalifungua na kukutana na Kwacha kibao akazitia kibindoni kisha akamwambia Nisha “Tuhame hapa”
Walichukua tax mpaka hoteli nyingine ambapo walilipia na kuzama ndani, moja kwa moja Sam alielekea kwenye kioo na kujitazama mdomoni ambapo alikuwa amepasuliwa na anavuja damu.
Akiwa anajiangalia alijikuta anashikwa kiuno kwa nyuma, alivyogeuka akakutana uso kwa Uso na Nisha akiwa kwenye vazi la Chupi tu na SIDILIA, Sam alipigwa butwaa kwa ule urembo wa Nisha.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)