MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (19) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA KUMI NA TISA TULIPOISHIA... Nilikuwa nampenda sana na nilimuahidi kuwa sitamgusa mpaka siku ya ndoa yetu, Nice aliridhia akasubiri namimi nikasubiri kwa kipindi kirefu bila kufanya ngono, kumbuka kuwa hadi wakati huu nilikuwa sijawahi kulala na mwanamke yeyote. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Siku ya ndoa ilipofika kama kawaida shamrashamra zilikuwa nyingi mno, nilikuwa ninatamani sana masaa yasogee ili nikamvuue Nice gauni lake lile na kufanya nae ngoni kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu. Hatimaye kila kitu kilikamilika na tukawa tunaelekea hotelini ambapo ndiko mapumziko yetu yalikuwa yamepangwa kwa wiki nzima. Ilikuwa ni hoteli nzuri sana ambayo ilikuwa pembeni kidogo ya mji wa Lusaka kandokando ya mto mkubwa wa Zambezi . Tuliingia chumbani tukiwa wawili tukakutana na kiyoyozi safi huku kukiwa na kitanda kikubwa chenye mashuka meupe peee, kulikuw…