Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA KUMI NA TISA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Nilikuwa nampenda sana na nilimuahidi kuwa sitamgusa mpaka siku ya ndoa yetu, Nice aliridhia akasubiri namimi nikasubiri kwa kipindi kirefu bila kufanya ngono, kumbuka kuwa hadi wakati huu nilikuwa sijawahi kulala na mwanamke yeyote.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
Siku ya ndoa ilipofika kama kawaida shamrashamra zilikuwa nyingi mno, nilikuwa ninatamani sana masaa yasogee ili nikamvuue Nice gauni lake lile na kufanya nae ngoni kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu.
Hatimaye kila kitu kilikamilika na tukawa tunaelekea hotelini ambapo ndiko mapumziko yetu yalikuwa yamepangwa kwa wiki nzima.
Ilikuwa ni hoteli nzuri sana ambayo ilikuwa pembeni kidogo ya mji wa Lusaka kandokando ya mto mkubwa wa Zambezi.
Tuliingia chumbani tukiwa wawili tukakutana na kiyoyozi safi huku kukiwa na kitanda kikubwa chenye mashuka meupe peee, kulikuwa na kila aina ya thamani za kuvutia ndani ya hiki chumba kiasi kwamba nilikuwa najiona kama niko peponi.
Nilimtazama Nice alivyo mzuri anang’aa usiku ule ndani ya vazi lake la harusi, alikuwa ananiangalia kwa tabasamu zuri lililojaa machozi ya furaha asiamini kama mimi nay eye tumefikia pale tulipo kwa siku ile.
Nilimtazama Nice kwa seunde kadhaa kisha sikuweza tena kuvumilia, nikamfwata pale alipo nikaanza kulifungua gauni lake vifungo, nikatoa kile cha juu kinachofunika uso na kile ambacho kiko kama kikoti cha pinki,
Sikuishia hapo, nilishusha zipu ya gauni lake na kulifanya limwagike chini kwenye zulia jeupe kama lile gauni.
Nice hatimaye akabaki akiwa amevaa sketi laini nyeupe ya less material kwa ndani na sidilia ya kuwaka waka.
Tayari mapigo yangu ya moyo yalikuwa juu mno na muhogo ulikuwa umesimama kama mkuki. Niliishusha ile sketi ya Nice ambaye bado alikuwa analia na hatimaye Nice akabaki na kufuli ya pinki na sidilia ile ya pinki lakini ya kuwaka waka.
Uchu ulikuwa juu mno, na Nice bado alikuwa anabubujikwa na machozi, nilikuwa siyajali machozi yake bali nilikuwa nina hamu ya kuingiza mwili wangu kwenye mwili wake kwa mara ya kwanza.
Niliitoa sidilia ya Nice na kuiweka pembeni nikkakutana na vitu vyenye umbo la V, kwenye kifua chake kuonyesha kuwa Nice alikuwa na matiti yaliyosimama na kuchongoka sawasawa huku yakiwa makubwa kiasi.
Sikuweza tena kuvumilia ila nilimsogelea Nice karibu na kuipeleka mikono yangu kwenye mashavu yake na kuyapangusa machozi yake kisha kwa upole nikamwambia.
“I LOVE YOU NICE”
“I LOVE YOU CHILUMBA”
Nilimkumbatia Nice kwa mahaba ya moyoni kisha nikaanza kumnyonya midomo yake huku nikimpapasa kila eneo la mwili wake.
Niliweza kutembeza viganja vyangu kila kona ya mwili wa Nice kisha nikamlaza taratibu kitandani na kumlalia kwa juaa huku nikiendelea kumnyonya midomo yake. Nilihamia kwenye maziwa ambayo pia nilikuwa nayanyonya kama mtoto mdogo.
Niliishusha mikono yangu na kupapasa sehemu ya ndani ya mapaja ya Nice ambaye sasa alikuwa anatetemeka mwili mzima, nilikuwa napandisha mikono yangu taratibu mpaka kwenye ikulu ya Nice nikaanza kuichezea kitendo kilichomfanya Nice aanze kuweweseka,
Niliichezea na hatimaye taratibu nikazamisha kidole ndani ya mgodi na kukutana na joto kali ambalo lilizidi kuamsha hisia zangu na kujikuta nikitamani niingize muhogo wangu lakini niliendelea kuchezea eneo hili huku nikigusa sana eneo la juu kidogo lenye kitu kigumu chenye umbo kama la harage.
Hapa ndipo nilimuona Nice akijikunja kama anakata roho kisa akarusha maji maji ya moto na kutulia, Nice alinyanyua uso wake na kuniuliza “Chilumba umejifunzia wapi”
Sikumjibu nilikamata muhogo wangu na kuutumbikiza taratibu hadi ukazama wote kitendo kilichomfanya Nice aanze kunyonga kiuno chake.
Hikuisha hata dakika moja nilitema wazungu wengi mno lakini nilikuwa bado niko imara na mchezo uliendelea ka kasi mpya.
Siku ile hatukulala kabisa kwani kazi ilikuwa ni ngono tuuuu… mpaka inafika saa kumi nambili asubuhi tulikuwa tumechoka na kupitiwa na usingizi ambao ulitufanya tuamke saa tatu na kuoga kisha kupata kifungua kinywa.
……………………………..
Mwezi ulikuwa umekatika na nusu yake….Nice alikuwa hajisiiaa vyema tukaamua kwenda hospitali, Nice alikuwa mjamzito wa Mwezi mmoja kitendo kilichonifurahisha sana lakini daktari aliniambia anahitaji kunicheki afya yangu.
Sikuwa na wasiwasi sana lakini muda wa majibu ulipofika nikawa na wasiwasi kwani nilizisoma saikolojia za madaktari nikagundua hazikuwa sawa kabisa.
“Mkeo ana maambukizi ya VVU, ila wewe uko salama, tunahitaji muende mkaishi pamoja pasipo kushirikiana mapenzi ila upendo uwepo pale pale kisha baada ya miezi miwili uje tukupime tena”
Maisha yalibadilika kabisa ndani ya nyumba, nilimhurumia Nice sana aliyekuwa analia muda wote huku akiapia kuwa hajawahi kufanya mapenzi maisha yake yote zaidi ya kufanya na MENEJA. Alimlaani kwa maneno mengi sana akidai kuwa meneja aliamua kumtumia kingono kwani ndiye alikuwa anamfadhili pale shuleni kwakuwa ndugu zake walikuwa hawana uwezo.
Nilishindwa kujizuia na kujikuta nikilia sana kwa kile kilichmpata mke wangu, nilimuahidi kuwa nae bega kwa bega na tangu siku ile sikukubali kukaa nae mbali nikihofia anaweza hata akajiua.
Tofauti na alivyotarajia nilimuonyesha upendo kuliko hata ule wa awali, nilimpenda sana NICE na uwepo wake ulikuwa faraja mno kwangu hata kama ana matatizo ya VVU.
…………………………
MIEZI MIWILI ILIKATIKA
Nilikuwa hospitali nikipokea vipimo na majibu yalionyesha kuwa na mimi nimeambukizwa VVU, iliniuma sana lakini sikuwa na sababu ya kumlaumu NICE ila nilimsihi tufuate masharti na tulee watoto tutakaojaliwa.
Maisha yaliendelea huku maisha yetu yakiwa bora kwani tulikuwa na biashara na mali z akutosha, tulikuwa tayari na watoto wawili wa kiume ambao walikuwa wazima wa afya njema.
Mali zote tuliandika kwa majina yao na maisha yalikuwa mazuri sana, nilimpenda mno mke wangu nay eye pia alinipenda sana.
Kutokana na kuwa na biashara nyingi niiamua kuacha kazi ya uhasibu na kuamua kuhudumia biashara za familia yangu.
Nilikuwa na miradi mpaka nje ya nchi na mara kwa mara nakuja Tanzania kuchukua mizigo bandarini hasa ya magari na Vipuri kutoka Dubai na Japan.
Siku ambayo sitaisahau katika maisha yangu ni siku ambayo nilikuwa nimeenda THAILAND kwa ajili ya kuchukua mizigo yangu na kurejea Zambia usiku wa saa nane.
Nilichukua Tax mpaka nyumbani kwangu kisha nikafungua geti kwa funguo nilizookuwa natembea nazo mimi.
Kitu kilichonishtua nikukuta gari ikiwa imepaki hapo nje kwenye ukumbi, nilishtuka lakini nikajua labda tumepata mgeni.
Nilifika kwenye mlango wa kuingilia ndani nikafungua kwa funguo za ziada nilizokuwa natembea nazo mimi, nilipofika sebuleni nilikuta kukiwa hovyo mno kwani makochi yalikuwa yamechanguliwa na kulikuwa na harufu ya Pombe.
Nilishtuka sana kwani nilikuwa sielewi ile hali, nilipiga hatua mpaka mlango wa chumbani kwangu lakini nilisita kutokana na sauti zilizokuwa zinasikika zikiashiria watu wanafanya mapenzi na sauti ninayoisikia ni sauti ya Nice akiwa anafanya mapenzi.
Miguu ilinyongo’nyea na kujikuta nimekaa chini, nilijipa matumaini nikasema huenda sio Nice nikaamka na kufungua mlango ambao ulifunguka bila kikwazo,
Nilimshuhudia mke wangu akiwa juu kitandani miguu iko mmoja mashariki na mwingine magharibi alafu juu yuko MENEJA anachochea kwenye ku..m ya mke wangu.
Nilipata kizunguzungu na kuanguka chini nikapoteza fahamu hadi niliposhtuka nikiwa hospitali, baada ya hapo nikaamua kuishi maisha haya ninayoishi sasa japo bado Nice ni mke wangu na tunashirikiana kulea watoto!
Esther alimpa pole Chilumba na kumwambia “Pole sana sasa sikiliza na mimi mkasa wangu”
Nilipomaliza darasa la saba dada yangu aliamua kunichukua nikaishi kwake ili nisome masomo ya Sekondari, hii ilikuwa ni baada ya makubaliano ya kifamilia ambayo yalishinikizwa na kaka zangu ambao waliona nikiendelea kukaa kule kijijini ninaweza nikaharibika kitabia.
Walihofia hili kwani watu wengi walishaanza kupelleka posa kwa baba yangu wakiomba wanioe kutokana na uzuri niliokuwa nao, kutokana na tamaa za wazee wangu alionekena kuridhia mimi niolewe.
Kaka zangu ambao wengine bado walikuwa masomoni walimsihi sana dada yangu anichukue nikae nae ili aniepushe na madhila ya kuolewa kule kijijini.
Maisha yalianza upya nikiwa nakaa mimi na dada yangu, mme wake na mtoto wao mdogo wa miaka miwili, nilisajiliwa kwenye shule moja ya kutwa iliyokuwa jirani na hapo nyumbani nikaanza kidato cha kwanza.
Shule ile ilikuwa ni ya mtu binafsi ambayo ilikuwa inalipiwa ada kubwa japo sio sana kwasababu nilikuwa ninakaa kutwa na ilikuwa ni shule ya kawaida tu.
Siku ziliendelea kusogea taratibu huku nikiyazoea maisha ya shule pamoja na kuishi kwa dada yangu, nilimzoea shemeji kiasi kwamba hata dada asipokuwepo tulikuwa tunakaa na kupiga story kwa furaha na mambo yalikuwa yanaenda tu bila shida yeyote, nilimpenda sana s hemeji yangu kwani alikuwa mkarimu, mcheshi, mwenye huruma lakini pia alikuwa ananiheshimu sana na kuipenda familia yake.
Maisha kwakweli yalikuwa mazuri sana na nilikua na kunawiri katika umbo la kuvutia na sura, mara nyingi shemeji yangu alikuwa amezoea kuniita mke na mimi namuita mume hata mbele za dada na hakuna aliyekuwa na maan atofauti isipokuwa tu utani na ucheshi.
Siku moja ambayo nilikuwa nimerudi shule mapema ikiwa ni siku ya ijumaa shemeji aliwahi kurudi nyumbani huku akiwa hana raha kabisa.
“Mme wangu shkamoo”
“Marhaba mke vipi mambo”
“Poa tu, mbona leo mapema alafu kama vile huna raha mme wangu”
“Ah wala usijali najisikia tu kichwa kinauma, vipi mke wangu mkubwa hajafika bado”
“Mh jamani mme wangu, si mapema sana saivi atakuwaje amerudi kazini”
“Oky kama kuna juisi naomba ninywe nikapumzike kidogo”
Nilimuandalia shemeji juisi nikampa akanywa huku kasimama kama vile anakunywa maji mpaka anamaliza juisi yote hakushusha glasi kisha akaniaga na kuingia chumbani kwake.
Baada ya muda kidogo dada alinipigia simu kuniuliza habari za hapo nyumbani nikamwambia kuwa ni nzuri tu na shemeji yaani mme wake tayari amesharudi kalala ndani.
“Karudi? Mbona mapema sana?”
“Amesema tu anajisikia vibaya kalala ndani”
“MMH mbona sasa hajaniambia chochote?”
“Sijui ila mimi kanikuta hapa nilivyomuuliza mbona mapema ndio akanijibu hivyo”
Dada alikata simu kisha nikaisikia simu ya shemeji ikiita huko chumbani nikajua kuwa ni dada atakuwa ameamua kumpigia mume wake.
Baada ya masaa kama matatu hivi dada alirudi kisha akaingia chumbani kwa mme wake ambapo niliwasikia wakiongea taratibu kisha mimi nikawa naendelea na kazi zangu kama kawaida.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)