MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (21) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA TULIPOISHIA... Waliamka baadae sana wakiwa na njaa kali ambapo waliagiza chakula ambacho kila mmoja alikitamani lakini ajabu walishirikiana kwa kila mmoja kula chakula alichoagiza mwenzake kwa pamoja. Walikaa wiki nzima wakiwa honeymoon ambapo kila siku mchana na usiku walikuwa wanafanya ngono kwa raha zao. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Sam alishamsahau Nisha na Verity na sasa alikuwa amejaa kwenye penzi zito na mkewe, alikuwa ammpenda na kumuona ni mwenzake, ni ubavu wake, ni mkewe lakini pia rafiki yake ambaye akikaa nae mbali kidogo anamkumbuka na kummisi. …………………….. Hatimaye walirudi nyumbani na maisha yaliendelea kwa raha mustarehe yakiwa yamegubikwa na mapenzi mubashara. Miezi ilisogea na hatimaye Verity alijifungua mtoto wa kike, mtoto Yule alikuwa mzuri kweli kwani alikuwa na afya njema. Taarifa za kujifungua kwa Verity ziliifi…