MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (22) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI TULIPOISHIA... Aliposoma na kumaliza aliona mme wake amechaguliwa kwenda Kenya kwa ajili ya Kozi za kipolisi ambapo atakaa miezi sita na hatimaye atapata likizo ya miezi miwili na kwenda tena kumalizia miezi mingine sita, kozi hiyo anatakiwa asafiri siku ya kesho yake. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Kwa Rafiki hili lilikuwa ni Pigo mubashara, kwani alitamani ake zaidi na mume wake ili wapate nafasi ya kujaribu kupata watoto na waende hospitali pia. “Daaah…” “Nini tena Rafiki?” “Kwahiyo unaenda?” “Fursa hiyo mke wangu, unataka niiache wakati wenzangu wananionea wivu na wengine wanafanya kuloga ili waipate?” “Dokta ameniambia kesho twende wote hospitali?” “Huyo dokta mjinga nini mwambie mimi sina tatizo au ni….” Sam alitaka aropoke kuhusu yeye kuzaa na Verity ila akaishia njiani baada ya kujishtukia…. “wewe endelea kuhudhuria matibabu mpak…