MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (22)

0

SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
TULIPOISHIA...
Aliposoma na kumaliza aliona mme wake amechaguliwa kwenda Kenya kwa ajili ya Kozi za kipolisi ambapo atakaa miezi sita na hatimaye atapata likizo ya miezi miwili na kwenda tena kumalizia miezi mingine sita, kozi hiyo anatakiwa asafiri siku ya kesho yake.

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Kwa Rafiki hili lilikuwa ni Pigo mubashara, kwani alitamani ake zaidi na mume wake ili wapate nafasi ya kujaribu kupata watoto na waende hospitali pia.
“Daaah…”
“Nini tena Rafiki?”
“Kwahiyo unaenda?”
“Fursa hiyo mke wangu, unataka niiache wakati wenzangu wananionea wivu na wengine wanafanya kuloga ili waipate?”
“Dokta ameniambia kesho twende wote hospitali?”
“Huyo dokta mjinga nini mwambie mimi sina tatizo au ni….”
Sam alitaka aropoke kuhusu yeye kuzaa na Verity ila akaishia njiani baada ya kujishtukia…. “wewe endelea kuhudhuria matibabu mpaka nitakaporudi utakuwa umepona”
…………………………………………
Miezi miwili ilikuwa imekatika tangu Sam aende kozi ya kipolisi huko Nairobi Kenya, Rafiki alikuwa amemmisi sana mme wake kiasi kwamba kila wakati alikuwa anaibusu picha yao ya ndoa.
Mawasiliano yalikuwa vizuri tu kwani ilikuwa haipiti siku mbili ama tatu bila ya kuwasiliana kiasi ambacho kiliwasaidia kuondoleana upweke.
Siku moja jioni Rafiki baada ya kutoka kazini alipokea simu yenye namba ngeni….
“Haloo nani mwenzangu”
“Mimi Kelvin, habari za kwenu?”
“Nzuri tu, wewe ni Kelvin yupi?”
“Kelvin dokta, niliyekuwa nakutibu tatizo lako”
“OKEY vipi habari za kazi, namba yangu umeipata wapi?”
“Aaaaaah jamani, kwahiyo hujapenda mimi kuwa na namba yangu”
“Hapana sio hivyo, simu ni kwa ajili ya mawasiliano lakini ni lazima nijue namba umetoa wapi kwasababu sijawahi kukupa wala wewe hujawahi kuniomba”

“Oky kama ni sawa tu mimi kuwa na namba yako basin i vizuri, siku ile ulivyokuja kwenye detail zako uliandika nmba za simu”
“Kwahiyo ndio ukazichukua humo?”
“Yes”
“Mh basi asante kwa salamu, nakutakia kazi njmema”
“asante, hivi tatizo lako ulipata suluhisho?”
“Bado ila nimesitisha kwanza kwasababu mme wangu amepata safari ya kikazi”
“Oooh ameenda wapi tena”
“Nje ya nchi”
“Oh sawa unaweza kuja hospitali tukachek tena ili kujiridhisha inawezekana tatizo likawa lilijificha, ni vizuri kujihakikisha”
“Sawa nije lini?”
“Njoo Kesho saa nane mchana”
“Nitakuja saa tisa kwasababu nina kikao kazini”
“Oh kwani unafanya wapi kazi”
“Niko hapa hazina ndogo”
“sawa nikutakie kazi njema na wasalimu huko kwenu”
“Nawe pia”
…………………………………………
Nyumbani kwa RPC kila mtu alikuwa anastaajabu jinsi mtoto wa Verity anavyofanana na Sam, mama mtu ndie alikua wakwanza kushtukia huo mchezo kwani toka awali alishahisi kuwa Verity ana Mimba ya SAM.
Siku moja wakiwa wamelala usiku alijaribu kumuuliza mme wake… “Umemuona mjukuu wako?”
“Ndio kwani ana nini”
“Hapana ni kwa vile umefanana nae sana”
“Nimefanana nae?”
“Ndio maana yake”
“Una wazimu nini yani aache kufanana na baba yake au mama yake afanane na mimi?”
“Haaa kwani wewe si babu yake”
“Hata kama, ngoja kesho nitapita niwasalimu nimuone”
“Wala usihangaike kesho watakuja watashinda hapa”
………………………………..
Ilikuwa ni tayari saa tisa na nusu Rafiki alikuwa ameshafika ofisini kwa Dr Kelvin ambaye anamalizia kazi ya upasuaji kwa mwanamke aliyepata tatizo kwenye kujifungua.
Baada ya kumaliza alikagua simu yake akagundua kuwa Rafiki alimtumia meseji kwamba amefika muda mrefu japo hakuwa na wasiwasi kwani alikuwa na uhakika kuwa taarifa lazima ameshapewa kuwa mwenyeji wake yuko wapi.
“OH karibu Mrs Sam”
“Asante”
Rafiki alinyanyuka akamfwata Dr Kelvin mpaka ofisini kwake
“Pole kwa upweke wa kuwa mbali na mume wako”
“ASANTE lakini nadhani ni kawaida tu hasa mnapooana mkiwa mmeajiriwa”
“Ni kweli, mimi mwenyewe wakati mwingine naondoka nyumbani hata mwaka mzima nikienda masomoni”

“Sasa nadhani muda umeenda sana, unaonaje tukifanya kesho?”
“Mh kesho itakuwa ngumu sana Dk kwani ratiba za kazini zimebana sana”
“Oooh au tufanye tu saivi si huna woga wa kuchelewa si ndio”
Dr Kelvin alivaa koti lake na kuchukua vifaa vyake muhimu kisha akaagiza faili la Rafiki na kuanza kumhudumia.
“Sasa dada naomba uvue nguo yako ya juu au uipandishe juu alafu ulale hapo kwenye hicho kitanda.”
Rafiki alivyosikia hivi alishtuka kidogo lakini hakutaka kuonyesha, alifungua vifungo vya blauz aliyokuwa amevaa kisha akaisogeza pembeni na kuacha tumbo wazi kisha akapanda kitandani.
Dr Kelvin alianza kibinya tumbo la Rafiki taratibu huku akizungusha mpaka kiunoni kitendo ambacho rafiki alizidi kukishangaa kwani ni kama vile anatomaswa ila alishindwa kuuliza.

“Ulishawahi kutest saratani ya matiti?”
“Hapana sijawahi”
“Basi naomba uondoe hilo sidilia”
Kwa mara nyingine Rafiki alinyanyuka akakaa kisha akasogogea braa yake na kubaki maziwa yakiwa nje.
“Haya rudi ulale”
Alilala na kwa mara nyingine Dr KELVIN alirudi na kuanza kubinyabinya ten tumboni huku akizungusha mikono kiunoni na baadae akarudisha mikono yake kwenye nyonyo za Rafiki na kuanza kuzibinyabinya tena huku akizungusha kidole kwa kupikicha kwenye chuchu za Rafiki kitendo kilichomfanya Rafiki aanze kufumba macho.

Dr Kelvin kuona vile alimuuliza Rafiki… “Vipi unajisikiaje?”
“Ah Ah Ah …ka..ka…kawaida tu”
Sauti ilikuwa inatoka kwa kukata kata kwani tayari joto la mahaba lilikuwa limeshapandishwa na ukizingatia Rafiki ana muda mrefu hajashiriki mchezo huo.
“Uliwahi kupima magonjwa ya zinaa?”
“Ha..ha..pan.a”
“Oky ni vizuri kutest kwani wakati mwingine magonjwa hayo yanakuwa sababu ya kutoshika Mimba”
Wakati Dr Kelvin anaongea yote haya alikuwa anaendeleza zoezi lake aliloliita ni la kumpima Rafiki na tayari hali ya mgonjwa ilikuwa sio nzuri.
“Sasa sikia, ni vizuri tupime magonjwa ya zinaa kwa kuchukua yale majimaji ya ukeni kwani ndio yanatoa majibu mapema.”

“Sawa nipime”
“Vua nguo zako za chini”
“Lakini Dr…mbona…”
“Mbona nini tena, harakisha muda unaenda”
Rafiki alitoa suruali aliyokuwa amevaa akabaki na skin tait,
“Vua na hiyo”
Huku akiwa anaona aibu Rafiki alishusha nguo yake na kubakia na kufuli ya ndani chumbani pekee.
“Haya panda hapo hiyo nyingine nitakusaidia kumalizia”
Rafiki alitamani aseme kitu lakini akajikuta anakwama na hatimaye akapanda kitandani na Dr Kelvin akaanza tena kazi yake.
Safari hii Dr Kelvin alizidisha uchokozi kiasi ambacho ilikuwa ni wazi kuwa yale hayakuwa matibabu,
“Dr mbona hivyo?”
“Sasa unadhani majimaji yatatokaje?”
“Jamani kwa hiyo unakuwa kama unaniandaa kwa ajili ya mapenzi”
“Sio kama nakuandaa… ndio hivyo nakuandaa kabisa”

Dr Kelvin alishika kufuli ya Rafiki na kuanza kuishusha chini mpaka ikatoka miguuni, hapa ndipo kazi ilikuwa ya hatari.
Alimchezesha rafiki mchezo ambao alikuwa hajawahi kufanyiwa kitendo kilichomuacha Rafiki anaweweseka huku akitema majimaji ambayo Dr Kelvin alijifanya anayaweka kwenye kidude kama kioo.
Kitendo kilichomshtua Rafiki ni kumuona Dr Kelvin anavuta Zipu ya suruali chini.
“Dr unataka kufanyake? ”
“WE tulia hapo”
“Dr Nooooo, siwezi”
“Sikiliza binti, nimegundua wewe ni mzima kabisa sasa mme wako ndio tatizo na mimi nataka tu kusaidia upate mtoto”
“Nitakupeleka Polisi Dr”
“Unajikosesha mtoto mwenyewe, mumeo hawezi mapenzi ndio maana hata hiki nilichofanya hajawahi kukufanyia, lala na mimi leo tu alafu nimegundua uko kwenye siku za kupata mimba na leoleo ukilala na mimi unashika ujauzito”

Dr kelvin alimwendea Rafiki na kumpapasa huku no akijianda kuweka mdudu wake kwenye Eneo la Rafiki ambalo lilikuwa limeloa vya kutosha
Sam alikuwa amekaa Nairobi vya kutosha na hakuna kitu alikuwa na hamu nacho kama mkewe, alikuwa amemmiss sana Rafiki na alitamani hata angekuwa nao hapo hapo alipo na wakati huo huo lakini ndio hivyo tena haikuwezekana.
Alichukua simu yake na kuanza kuperuz kwenye picha mbalimbali zilizokuwa kwenye simu yake hadi alipokutana na picha za mkewe.

Alianza kufunua moja baada ya nyingine, alizikagua akaangalia picha za mkewe alizopiga akiwa kavaa kihasara hasara, picha alizoacha kifua wazi, picha nyingine kavaa mini skirt pekee, picha zingine kavaa chup tu….

Aliendelea kuangalia picha hizo hadi anamaliza sehemu zake zilikuwa zimetutumuka vilivyo kwa hamu ya mke wake.
Alikaa akawaza kisha akaamua kumpigia simu ikiwa ni kama majira ya saa kumi na moja jioni,

Alipiga ikaita mara ya kwanza bila kupokelewa, akapiga mara ya pili na yatatu lakini haikupokelewa pia, wivu ulianza kumshika akiwaza mkewe atakuwa wapi na anafanya nini.
Alivyokumbuka utamu wa mkewe nakuanza kuwaza kuwa huenda kuna mwanaume mwingine anaufaidi ndio alizidi kuchanganyikiwa kabisa.
….nakupigia simu hupokei, utanijibu unafanya nini na uko na nani maana wanawake nawajua nyie…..

Sam alituma hiyo meseji kwa Rafiki lakini hata hivyo alikaa kama dakika mbili bila kujibiwa na hasira zikazidi kumlipuka, aliamua kuingia bafuni ili ajisaidie na wakati akiwa huko alisikia mlio wa meseji kwenye simu yake akarudi fasta akiamini ni mkewe katuma,

Alipofungua ujumbe aligundua ni wa wasap na umetumwa na shemeji yake ‘Verity’
Ujumbe ule ulikuwa umeambatana na picha ya mtoto wa kike huku ukiwa umeandikwa…. “mwenzangu kwa damu kali tu nakusifu”

Sam ghafla mawazo yote juu ya mkewe yakapotea akaanza kuangalia ile picha ya mtoto wa Verity ambae kiukweli alikuwa amefanana nae sana.

Mwenyewe alikiri bila wasiwasi kuwa hakika anafanana mno na Yule mtoto na uwezekano wa asilimia nyingi kuwa ni mwanae ni wa uhakika.
Akiwa kwenye hali hiyo simu yake iliita……………
………………………
Wakati simu ya Rafiki ikiita Dr Kelvin alikuwa anaiona vizuri tu lakini akawa anaiweka silent ili rafiki asisikie mpaka amalize adhma yake,

Wakati huo Dr Kelvin anataka kumuingilia Rafiki ambaye hata hivyo analeta upinzani simu ya Rafiki iliita tena na hapa ndipo Rafiki alikurupuka kitandani na kuiendea simu ambayo ilimfanya mapigo ya moyo yaende mbio.

Alikuwa ni mumewe anapiga…. Rafiki roho ilimsuta na kuhisi kama vile mumewe alikuwa anaona yote ambayo alikuwa anafanyiwa na Dr Kelvin.

Alishindwa kupokea maana mapigo ya moyo yalikuwa juu sana na inawezekana angeulizwa kwanini yuko hivyo na akakosa cha kujibu.

Alitulia kidogo kisha akakutana na ujumbe kutoka kwa SAM ambao ulizidi kumuweka roho juujuu na kisha akaamua ampigie Sam sasa wakati akiwa ametulia.
“Haloo hubyy mambo?”
“Uko wapi wewe” aliuliza Sam kwa sauti kali kweli

“Niko nyumbani mume wangu kwanini unauliza hivyo?”
“Nyumbani ipi?” Sam alikuwa anaendelea kuuliza maswali ya mtego kumpima mkewe.
“Kwanini useme nyumbani ipi kwani kuna nyumbani ngapi?”
“Nadhani unanielewa, nijibu uko nyumbani ipi?”

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)