MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (23)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (23)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU TULIPOISHIA... “Niko nyumbani mume wangu kwanini unauliza hivyo?” “Nyumbani ipi?” Sam alikuwa anaendelea kuuliza maswali ya mtego kumpima mkewe. “Kwanini useme nyumbani ipi kwani kuna nyumbani ngapi?” “Nadhani unanielewa, nijibu uko nyumbani ipi?” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... Rafiki alianza kuogopa tena akahisi mumewe kuna jambo anajua ama kuna kitu kimempa wasiwasi. “Nyumbani kwetu mimi nawewe” “acha uongo mbona niko hapa na hakuna mtu ?” “Haaaa mume wangu kweli, umerudi lini” rafiki alianza kujichanganya “Nijibu uko wapi nakwambia niko hapa nyumbani na hakuna mtu” “Hebu subiri kidogo mume wangu” Rafiki alikata simu na kuizima kabisa kisha haraka haraka akaanza kuvaa nguo zake huku akiwa na mawazo tele. Alifanya haraka haraka akaanza kuvaa nguo moja moja kisha akkachukua mkoba wake na kuanza kutoka… Wakati anatoka Dr Kelvin akamvuta mkono “…