MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (23)

0

SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
TULIPOISHIA...
“Niko nyumbani mume wangu kwanini unauliza hivyo?”
“Nyumbani ipi?” Sam alikuwa anaendelea kuuliza maswali ya mtego kumpima mkewe.
“Kwanini useme nyumbani ipi kwani kuna nyumbani ngapi?”
“Nadhani unanielewa, nijibu uko nyumbani ipi?”

IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI

TUENDELEE...
Rafiki alianza kuogopa tena akahisi mumewe kuna jambo anajua ama kuna kitu kimempa wasiwasi.
“Nyumbani kwetu mimi nawewe”
“acha uongo mbona niko hapa na hakuna mtu ?”

“Haaaa mume wangu kweli, umerudi lini” rafiki alianza kujichanganya
“Nijibu uko wapi nakwambia niko hapa nyumbani na hakuna mtu”

“Hebu subiri kidogo mume wangu”
Rafiki alikata simu na kuizima kabisa kisha haraka haraka akaanza kuvaa nguo zake huku akiwa na mawazo tele.
Alifanya haraka haraka akaanza kuvaa nguo moja moja kisha akkachukua mkoba wake na kuanza kutoka…
Wakati anatoka Dr Kelvin akamvuta mkono
“We mjinga nini, unataka kuniharibia si ndio?”

“Umesahau simu yako mrembo”
Rafiki alikwapua simu akachukua boda boda kisha haraka sana akaenda kwake.
Alipofika alishuka na kumlipa Bodaboda kisha akaingia ndani kwake haraka na kukukuta kama alivyokuacha.
Ainyanyua simu yake akaiwasha na kuipiga tena..

Alipiga zaidi ya mara nane lakini haikupokelewa, alipiga tena na tena lakini wapi, mwisho aliamua kupanda kitandani na kujilaza akitafakari mambo mengi ambayo yamepita kwa kasi ya umeme ndani ya siku hii ngumu
Akiwa anawaza simu yake iliita tena na aliyekuwa anapiga ni mumewe…
“Haloooo”
“Ulikuwa wapi”
“Kwanini mume wangu”
“Kwanini nini, nasema ulikuwa wapi mke wangu?”
“Nilikuwa kwa mama”
“Nimempigia mama sasa hivi ameniambia haupo huko, hata kwa mdogo wako pia nimepiga, hata kazini pia nimepiga, ulikuwa wapi?”
“Ahh Ahh Nili…likuwa sokoni mme wangu”
“Sokoni eeenh? Na kwanini uliniambia uko nyumbani alafu tena ukaniambia ulienda kwamama?”
“SAMAHANI mume wangu”
“Kwakosa gani ”
“Nimesema nilikuwa nyumbani wakati nilikuwa sokoni”
“Sasa sikiliza nataka uandae majibu ya ukweli la sivyo utaniona mbaya, na nakwambia ukweli wako ndio dawa, ninajua kila kitu kinachoendelea na mawasiliano yako nayaona”

…………………………………..
Sam alishahisi kitu ambacho sio sawa kabisa kwa mke wake, alihisi huenda mkewe ameanza matendo mabaya.
Aliwaza sana kiasi kwamba alijutia kuja hii kozi ikiwa ndoa yake bado changa na walikuwa katika harakati za kutafuta mtoto.

Aliwaza huenda mkewe anachepuka ili azae mtoto kwani ni jambo ambalo lilikuwa linawasumbua wote hivyo akaona mkewe anaweza kuwa na wazo la kujaribu kwa wanaume wengine.
Kwa mawazo haya Sam aliamua tena kumpigia mkewe simu….
“Jiandae uje Nairobi weekend hii inayokuja”
“Jamani mme wangu wewe si uko masomoni”
“Ndio tutakuwa na mapumziko ya wiki moja”
“Sawa nitumie nauli basi”
“Chukua kwenye mshahara wangu”

Sam alimuagiza mkewe ambaye alijiandaa na baada ya siku mbili akapanda ndege mpaka Nairobi akapokelewa na mme wake ambaye walielekea moja kwa moja hotelini.
Huko hotelini mchakato ulioendelea ulikuwa ni mapenzi ya kukata na shoka.
Kwakuwa walikuwa wamemisiana kwa miezi kadhaa hamu zao zilikuwa juuu sana kiasi ambacho hakuna alyetaka kusubiri.

Walivyoingia chumbani tu, Sam alianza kusaula nguo za mkewe, alizisaula mpaka akambakisha na chupi tu kisha akaanza mambo ya Romansi, walichezeana kwa muda kisha Sam akambeba mkewe juujuu hadi akambwaga kitandani na kuanza kunyonya nyonyo za mkewe ambaye alikuwa kamlalia kwa juu

Wakati huu alikuwa anaitoa nguo ya ndani ya mkewe taratibu mpaka ikatoka kwa kusindikizwa na miguu ya mkewe kisha ikadondoka chini.

Sam alichukua tango lake na kulielekeza kwenye ikulu ya mkewe na kuizamisha taratibu kitendo kilichomfanya Rafiki aachie ukulele “aaaaaaasssssssh” kisha viuni vikaanza kazi ya Propela.

Walifanya mapenzi kwa muda mrefu kisha kila mmoja akiwa ameridhika wakaenda kuoga wakamaliza kisha wakarudi kulala usingizi ambao uliwachukua kama lisaa limoja baadae wakaamka na kwenda hotelini ambapo waliagiza chakula na vinywaji wakaanza kunywa huku wanazungumza.

“Mme wangu huku Nairobi nasikia wana hospitali nzuri kweli, unanonaje twende kwa ajili ya ile ishu?”
“alafu kweli mke wangu…ngoja nikupeleke kesho wakakuchek”

…………………………………
Kesho yake Sam na Rafiki walikuwa Kenyatta Hospital kwa ajili ya kucheki tatizo la mkewe kutokushika Mimba.
Walihudumiwa haraka sana baada ya kujitambulisha kuwa wao ni watanzania, walifanyiwa hivi kwani wakenya walitaka wageni waondoke na sifa nzuri kuhusu huduma zao ili wapate wateja wengi kutoka Tz.

Vipimo vilionyesha kama kawaida rafiki hana tatizo lolote kiafya na afya yake ya uzazi ni poa kabisa.
“Umekuja na Nani binti?” dokta alimuuliza Rafiki?
“Nimekuja na mme wangu”
“Oooh muite aje hapa ”
“Rafiki alitoka kidogo akarudi na mme wake”
“Karibu sana Mr. ”
“Ahsante sana pole na kazi Dr.”
“asante sasa tumempima mke wako anaonekana hana tatizo lolote, hivyo basi kwa taaluma yetu tunaona umuhimu mkubwa wa kukupima na wewe ili tujue tatizo ninini hasa ”
“Sawa hakuna shida Dr, japo mimi niko vizuri tu”
“Ni sawa kwasababu hata mwenzio yuko vizuri pia ila ni vizuri kujihakikishia ili kufikiria vyanzo vingine”

Sam alichukuliwa vipimo ambavyo havikuchukua mda mrefu sana na walikuwa wanasubiria majibu ambayo baada ya nusu saa waliitwa kule kwa daktari kisha wakaambiwa waketi kwa ajili ya mrejesho wa Vipimo na majibu yake……………..

Sam na Mkewe walikuwa wamekaa wanasubiri majibu ya Dr Otieno ambaye alikuwa ameshakaa tayari kwa kuwapa wateja wake mrejesho.

Sam alikuwa hana wasiwasi hata kidogo, alijiamini kwa kiwangi kikubwa sana kuwa yuko vizuri na hakuwa na shida kwani hata hivyo tayari yeye ana mtoto mmoja ambaye aliamini yeye ndie kazaa na Verity.

“Sasa jamani poleni kwa kusubiri”
“Asante dokta wala usijali”
Dr Otieno aliweka miwani yake vizuri kisha kwa jicho kama la kuchungulia hivi akawa anasoma ile karatasi ya majibu ya vipimo.

“Kwanza nawapa pole kwa mara nyingine katika harakati za kutafuta mtoto, najua mmepitia mengi lakini ndivyo ilivyo”
“Kimsingi tunapompima mwanamke ambaye amekuwa anatafuta mtoto bila mafanikio kwa kipindi cha kuishi na mumewe kwa zaidi ya mwaka mmoja huku wakifanya tendo kamili la ngono ni muhimu kumpima na mumewe pia kwani Mimba sio ya mwanamke pekee”

“Tatizo lililopo kwenye jamii nyingi za Kiafrika ni kwamba kuna mfumo ambao tatizo la uzazi (infertility) linahesabika kuwa la mwanamke pekee na mara nyingi husababisha mwanamke kuhangaika kwenye matibabu bila mafanikio huku akionekana hana tatizo lolote lakini mimba bado haitungi”

Aliendelea kufafanua Dr Otieno kuwa kuna wakati mwanamke anapoonekana hapati mimba hufikia hatua ya kuachwa na mumewe kwa kigezo hicho na hatimaye huweza kuolewa na mwanamume mwingine na kufanikiwa kuzaa nae, hii huonyesha kuwa tatizo lilikuwa kwa mwanamume.

Kitaalamu uwezo wa kuzaa na ama kutokuzaa uko 50/50 kwa mwanamume na mwanamke, hivyo basi wakati wa matibabu na vipimo wahusika wote wanatakiwa wapate.

Kutokuhudhuria kliniki kwa wanaume kumewafanya waliowengi wasipate tiba ya matatizo yao na ama kuyafanya matatizo yao yakakomaa zaidi, ndio maana tunasisitiza sa a mwanamme na mwanamke wote wapimwe.

Sasa basi kwa upande wa Rafiki tumeona hana tatizo lolote ila tu kuna dawa itabidi upate ili kuongeza uwezo wako wa kupata mimba zaidi na pia nitakuandikia vyakula ama diet muhimu kwa ajili ya afya ya uzazi.

Kwa upande wako Sam tumegundua kuwa kuna tatizo kwenye uzalishaji wa mbegu zako…

Sam baada ya kusikia hivi alishtuka sana kwani hakutarajia.

Dr Otieno aliendelea….

“Vipimo vimeonyesha kuwa uliwahi kupata majeraha kwenye mfuko wako wa kuzalishia mbegu kitendo kinachopelekea mbegu zisizalishwe zikiwa hai lakini pia mrija wa kupitishia mbegu una uvimbe unaozifanya zisipite kwa kasi inayotakiwa”

” labda nikuulize Mr Sam, Je? Umewahi kujeruhiwa ama kupigwa kwa vitu vizito kwenye korodani ama sehemu ya chini ya Tumbo?”
Sam kusikia vile alipeleka kumbukumbu zake haraka sana kwenye matukio ya kupigwa na akina afande miraji pamoja na Baba yake Mkwe yaani RPC.

Hapo hapo machozi yalianza kumwagika usoni kwake kitendo kilichomfanya Rafiki aanza kupatwa na huzuni na kuamua kumkumbatia mumewe na kumfuta machozi.

” usijali Sam, nitakuwa nawewe bega kwa bega”

“Nyamaza Rafiki, baba yako ndie aliyataka haya”
Rafiki kusikia vile alianza kunyong’onyea mwili na viungo.

” kwahiyo unanihukumu mimi Sam?”

Dr Otieno kuona vile ikabidi aingilie…

“Mr Sam haimaanishi kwamba hutazaa, laah! Utazaa lakini inabidi upate matibabu kamili na baadae ndipo utaweza kupata watoto, ila hupaswi kuanzia sasa kufanya mazoezi magumu”

Dr Mimi ni askari alafu niko kozi

“ni sawa Mr Sam lakiini mimi naingea kitaalam kwamba ni vyema ukasitisha kazi ngumu ama mazoezi magumu mpaka upate tiba kwanza”
“Kazi ngumu kama zipi doctor”
“namaanisha kazi zisizo za kawaida kazi ambazo haziishii tu kwenye misuli”
Kwa Sam huu ulikuwa ni mtihani mzito kwani alikuwa anakaribia kumaliza kozi yake ambayo ingeweza kumpa cheo kizuri tu.
Mjadala kati ya Sam na Dk ulihitimishwa baada ya kupewa dawa za kutumia yeye na mkewe kisha wakarudi hotelini walipofikia.
………………………..
Mawazo ya Sam sasa yalikuwa yanarudi kwenye mtoto aliyezaa na Verity. Alikuwa anajiuliza kama yeye ana tatizo iweje kule aambiwe Yule mtoto ni wake.
Aliwaza ni kwanini iwe hivyo? Au Verity aliamua kumdanganya?
Wakati anawaza haya yote aliamua kuchuka tena simu yake na kuanza kuangalia picha ambazo Verity alimtumia zikimuonyesha Yule mtoto.
Aliichunguza moja baada ya nyingine huku akiikuza kuchunguza baadhi ya vitu kwenye muonekano wa Yule mtoto.
Kilichomshangaza ni jinsi ambavyo Yule mtoto anafanana nae…
Alifikia hatua akaanza kutokumuamini Yule daktari aliyewatibia kwa kudhani huenda amemdanganya.
Rafiki alikuwa nyuma ya Sam anamuangalia jinsi ambavyo mumewe anaangalia picha ya mtoto wa Verity, roho Ilikuwa inamuuma sana anapoona kile Sam anafanya.
Alitamani amshtue lakini akawa anasita, ghafla alimuona mumewe anafunga zile picha na kwenda kwenye upande wa meseji ambapo alilitafuta jina la Verity likiwa limeseviwa Shem Verrity.
Alipolipata Rafiki alishuhudia meseji ikitumwa….
“Nina maongezi na wewe”
…………………….
Verity alikuwa ameketi nyumbani kwake baada ya kutoka kazini akawa anacheza cheza na mtoto wake.
Kitu kilikuwa kinamfanya atabasamu muda wote ni yuke mtoto wake…alikuwa akimuangalia jinsi alivyofanana na Sam anajikuta anatabasam tu,
Alikuwa akimuona mwanae kama vile anamuona Sam, kwa jinsi anavyompenda mume wa DADA yake (Sam), ilitosha kabisa kufurahishwa na uufanano wa mwanae kwa Sam.

Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)