MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (24) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE TULIPOISHIA... Alikuwa akimuona mwanae kama vile anamuona Sam , kwa jinsi anavyompenda mume wa DADA yake (Sam), ilitosha kabisa kufurahishwa na uufanano wa mwanae kwa Sam. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Bebiiii” “Ma..ma…ma…ma” Kitoto cha verity kilikuwa kinamfwata mama yake huku kinaita kwa kukatakata maneno huku kinamchekea mama yake Verity nae alikuwa amejiachia mpaka jino la mwisho wakati mtoto wake anamshangilia, sura na muonekano wa Sam vilikuwa juu ya huyu mtoto. “Bebiiiii…njoo bebiiiiii….waooooooooh” Verity alimkumbatia mwanae. “Bebiiii umefanana na baba yakoooooo, hadi raha” Wakati Verity anamwambia mtoto hivi mtoto nae akaanza kutamka…. “Ba…ba….ba….ba….” Gwakisa alikuwa amefika nyumbani anamuangalia mkewe ambaye anacheza na mtoto pasi na wao kumuona. Alikuwa anafurahia jinsi mkewe anavyocheza na mtoto lakini ghafla alibadili mudi baa…