MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (41) Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA TULIPOISHIA... “Mimi nilishawahi kumpima baada ya yeye mwenyewe na mwanamke wake wa mwanzo kuja kwangu wakidai hawapati mto t o nikawapima lakini nikagundua shida iko kwa Gwakisa.” IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Sasa ukawasaidiaje” “Niliwapa dawa wanywe lakini sikusema kuwa tatizo lipo kwa Gwakisa kwani yule hakuwa mkewe wa ndoa, ila ukweli mumeo ana tatizo na lile halitibiki” “Kwahiyo mume wangu ni tasa?” Aliuliza Verity. “Hayo ndio majibu” Verity aliwaza sana lakini aliondolewa kwenye mawazo yake baada ya Dr Kelvin kuanza tena manjonjo yake wakajikuta wanafanya tena. Tabia hii iliota mizizi na hatimaye ikawa karibia kila siku Verity anaingia kwenye ngono na Dr humo humo kwenye gari. Gwakisa alikuwa anapewa mara moja moja kama dawa tena anapewa huku anasimangwa. …………… Sam akiwa ofisini alipokea simu ya Nisha na kumuomba wakutane, Sam ali…