Mtunzi: Omary John Mndambi
SEHEMU YA SABA
TULIPOISHIA...
TULIPOISHIA...
Zoezi la kufua lilisha vyema kisha tukaingia ndani kwa ajili ya chai, katika hali ambayo sikuittegemea siku ile Dada Verity aliniandalia chai na kuniwekea mezani kisha akaninawisha mikono na kunikaribisha.
IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI
TUENDELEE...
“Karibu Sam”
“Asante dada Verity”
Alinipiga kijikofi mgongoni kisha akaokota kipande cha nyama kwenye sahani yangu akaking’ata kisha akarudishia pale na kuniambia “Anza na hicho”
Sikujua kuwa kumbe Yule dada mwingine alikuwa yopo anaangalia mchezo mzima, kilichonishtua ni sauti yake akisema “Makubwaaaa”
“Acha umbea wewe” alisema Verity.
Japo nilikuwa sijawahi kushiriki mchezo wa Mapenzi lakini nilikuwa nimeshaelewa kila kitu kuhusu dhamira ya Verity kwangu, sikuwa na amani kabisa na ilibidi nibadilishe ratiba yangu ya kila siku.
Nilikuwa naamka mapema sana na kufanya kazi zote kisha najifungia chumbani kwangu.
………………………………..
Siku moja RPC aliniita sebuleni kwa mazungumzo ikiwa ni siku moja baada ya kurejea kwake.
“Skamoo Baba”
“Marhabaa hujambo?”
“Sijambo, pole na safari”
“Asante, Mama ameniambia kuwa una nidhamu sana alafu ni mchapa kazi, hongera kwa hilo”
“Asante Baba ila ndivyo nilivyo”
“Sawa ni vizuri”
“Sasa nilitaka tu urudi kwanza kwenu kwasababu msimu wa usajili umeshapita na tayari watu wako chuoni mpaka tena mwakani ila mama amesisitiza sana ubaki na sisi.”
“Sawa baba”
“Au wewe ulikuwa na maoni gani”
“Hakuna shida baba kwasababu nina shida itabidi nivumilie”
“Sawa kikubwa nasisitiza tabia njema uwapo ndani ya nyumba hii hayo mengine sio ishu”
“Sawa baba”
“Chukua hii ya matumizi madogo madogo”
“Asante baba”
RPC alinipa shilingi elfu hamsini taslimu, kilikuwa ni kiasi cha fedha ambacho sikuwahi kukimiliki.
Nilifurahi sana, nilipomalizana nae niliingia chumbani kama kawaida nikajichimbia kumuepuka dada Verity na vishawishi vyake
Kule chumbani nilikuwa nawaza sana. Kilichokuwa kinanipa mawazo ni taarifa za kukaa pale tena mwaka mzima nikisubiria kuunganishwa mwakani kwenye mafunzo. Nilikuwa naumia sana lakini sikuwa na namna, nilikuwa muhitaji hivyo ilibidi niwe mvumilivu.
…………………………………….
Nilikuwa nasikia kwa Mbali sauti ya Dada Verity akiulizia huko nje kuwa niko wapi?
“Hivi huyu Sam mbona siku hizi anapenda sana kujifungia”
“Kwani wewe unamtakia nini”
“Namuulizia tu nimemis”
“Huko huko na kumis kwako, mmuache mtoto wa watu huyo ni kama kaka yako”
“Hehehheeeee Mama Bwana kwani hafai kuwa mkweo yule”
“Verity…Verity naomba umuache mtoto wa watu, nakuon atu unavyomfwatafwata”
“Tulia basi mama”
Kusema ukweli dada Verity nilikuwa namuona kikwazo kwangu, sikupenda hata kidogo tabia yake na mbaya zaidi alikuwa haoni aibu hata mbele ta mama.
…………………
Nikiwa nimejilaza kitandani nilihisi kuna ktu chumbani, niligeuka haraka na kukutana uso kwa uso na sura yam dada mrembo akiwa aamevaa gauni la kulalia huku ndani akiwa hana nguo nyingine.
Mapigo ya moyo yalinienda mbio kwani Yule dada nilikuwa namheshimu sana, nilishtuka na kusimama,
“haaa dada………”
“shiiiiiiii usipige kelele…
Nilishtuka sana kwani Dada huyu nilikuwa namheshimu kuliko hata Verity na katu sikutarajia kuwa anaweza akawa na tabia hizi.
“Nisikilize Sam, naomba unisikilize kwa makini”
Aliongea huyu dada ambaye anaitwa Rafiki huku amekaa kabisa jirani yangu na amenishikilia begani kwa staili ya kunikumbatia.
“Mimi naogopa dada, tukikutwa humu watatuelewa vibaya ni bora tu uende alafu tutaongea kesho hayo unayoyasema”
“Hebu jiamini wewe ni mwanamume usiwe kama mtoto mdogo sawa?”
“Hapana dada, nikikamatwa humu atakayepata matatizo ni mimi, naomba tu uende”
“Sawa nisikilize kwanza”
“Basi haraka haraka uende”
“Mwenzio mimi nimekupenda, nimekupenda sana, nikiangalia hiyo misuli yako na jinsi ulivyo navutiwa sana na wewe”
Wakati anaongea haya yote alikuwa ananipapasa kwenye mikono huku akiwa kama anaichua misuli yangu, kusema ukweli nilikuwa naogopa sana na akili yangu yote haikuwa pale.
“Unavutiwa na mimi kivipi dada yangu”
“Nakupenda na natamani siku moja uwe mme wangu, tuzae watoto na tuishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja”
“Dada naomba uniache tu kwakweli kwasababu mimi nitapata tabu”
“Nisikilize kwa makini, naomba uwe makini na Verity, Verity akili zake sio kabisa hawezi kufanya mambo kwa siri, atakufanya uonekane sio mtu sahihi kukaa hapa nyumbani, nataka uwe na mimi kwa siri mpaka ukipata kile kilichokuleta hapa ndio tutaweka kila kitu wazi”
“Nielewe Sam, mimi nitakuwa mstari wa Mbele kuhakikisha kuwa mwaka huu huu unaenda kozi ya uaskari, alafu mimi pia namaliza chuo mwaka huu tutakuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwa pamoja”
“Lakini dada mimi nakuheshimu sana”
“Hata mimi nakuheshimu, ndio maana nakupenda, nakupenda jinsi ulivyo, wewe ni mkarimu, mpole lakini mchangamfu, mchapa kazi alafu wewe ni mzuri”
“Niamini Sam, usifikiri mimi ni malaya, mimi bado Bikra na simjui mwanamme yeyote, nielewe basi”
Kusema ukweli maneno ya Rafiki yaliniingia sana kiasi kwamba nilianza kumuelewa hasa pale aliposema kuwa atahakikisha naenda kozi mwaka huu huu.
Nikiwa Napata kigugumizi cha kujibu nilisikia mlango ukigongwa, uligongwa kwa muda mrefu lakini sikufungua, akili yangu yote iliniambia kuwa Yule anayegonga mlango ni Verity na kweli nilimsikia akiongea huko nje.
“Hivi huyu Rafiki kaenda wapi sebulen hayupo , chumbani hayupo na hata bafuni hayupo isije ikawa tunaingiliana hapa, ohoooo patachimbika”
Wakati wote huu tulikuwa kimya tukimsikiliza.
“ Si unaisikia akili yake ilivyo eeh, sasa wewe mfungulie mimi najificha”
Nilimuona Rafiki akiingia kwenye kabati la nguo na mimi nikamfungia kwa nje kisha nikafungua mlango. Nilikutana uso kwa uso na Verity akiwa amefunga kanga kukatisha kifuani huku ikionekana hajavaa nguo nyingine ndani kwani alivyopita na kuelekea kukaa kitandani makalio yake yalionyesha hayakuwa na vazi jingine zaidi ya khanga.
Kusema ule ukweli Verity alikuwa mzuri wa umbo na alikuwa anavutia sana, Rafiki alimzidi Verity kwa uzuri wa sura lakini sio Umbo.
Verity alikuwa na umbo flani namba nane huku Rafiki akiwa mrefu mwembamba kiasi lakini mwenye sura nzuri.
Pamoja na yote lakini maneno ya Rafiki yalikuwa yameniingia kiasi kwamba nilianza kumuamini na Verity nikaona ananisumbua tu.
Japo nilikuwa sijaridhika kuwa kimapenzi na Rafiki lakini nilikuwa kidogo nimevutiwa na kauli zake pamoja na ustaarabu alioutumia.
Katika hali ambayo sikuitarajia Verity alipanda kitandani na kujilaza huku akiwa amepanua miguu yake kiasi cha kuacha sehemu kubwa ya mapaja yake kuwa wazi.
Hali ilikuwa ngumu sana kwangu kwani hata mimi ni mwanaume kamili, kitendo cha kumuona Verity vile kilinichanganya mno.
Sehemu zangu za chini zilianza kutuna kwa kasi n akunifanya nianze kuhema juu juu, nikiwa sina hili wala lile Verity alisimama na kunisogelea pale nilipokuwa kisha akanikumbatia.
Kitendo cha kifua change kuchomwa na chuchu zake kilinifanya akili yangu ivurugike kabisa, nilikuwa nimeshalegea kwa kila kitu, kilichoniua kabisa Verity alisogeza Kanga yake pembeni na kuacha sehemu ya mbele kuwa wazi huku akiwa amenikumbatia vile vile.
Alipogundua kuwa tango langu lilikuwa limetuna na lilikuwa likimgusa nilimuona akirembua na kutoa pumzi za puani kisha mkono wake ukashuka mpaka kwenye tango na kuanza kulichua.
Kimawazo nilikuwa niko mbali sana na nilikuwa tayari kushiriki tendo la ngono na Verity ambaye tayari alikuwa amenisukumiza kitandani na kunilalia kwa juu huku akilitoa tango langu nje.
“Hujafunga mlango Verity”
“Aaah achana nao”
“Niachane nao Mama akija je”
“We achana nao bwana”
Aliposema hivyo tu nikaanza kuyakumbuka maneno ya Rafiki kuwa akili ya Verity anaijua yeye mwenyewe, na hapo ndipo akili iliponijia kuwa Rafiki bado yuko pale chumbani, hapo hapo hisia zote zilikatika.
Taratibu nikaanza kumtoa Verity juu yangu na kumsogeza pembeni lakini hakukubali hadi nilipomdanganya kuwa naenda kufunga Mlango.
Nilivyoamka na kuelekea mlangoni nilinyoosha moja kwa moja mpaka nje kabisa ya nyumba nikakaa uani.
Nilikaa kwa takribani dakika kumi kisha nikamuona Verity akija huku analia…. “WEWE SAM NDIO WA KUNIDHALILISHA MIMI, NAKWAMBIA UTAJUTA”
Alivyosema nitajuta niliogopa nikajua atanitengenezea makosa mimi niondolewe pale.
Akili ilinijia haraka haraka nikamfwata kisha nikamshikilia kiunoni…”Usijali Verity, tafuta sehemu nje ya hapa nyumbani mimi hapa naogopa mbona hata mimi nakupenda”
“Kweli sam? Basi naomba nikiss”
Ukweli nilikuwa sijawahi kukiss mwanamke lakini mdomo wa Verity ulivyonijia nilijua cha kuufanya na haya yote ni ili kumridhisha tu.
Tukiwa tunakiss Verity alichukua mkono wangu akauingiza chini kwake huku akikisokomeza kidole change ndani ya ikulu yake,
“Usikitoe Sam, usikitoe mpaka nikojoe ….”
Aliendelea kukikandamiza mpaka ndani kabisa hadi nikamuona analegea kabisa na mwisho akawa amenilalia tu begani.
Hali ile ilinishangaza sana kwani nilikuwa sijawahi kuiona, nilikuwa nimepigwa na butwaa huku mimi mwenyewe nikiwa niko Vibaya.
Nilimtoa Verity begani kwangu kisha nikaingia ndani ambapo sikumuona tena Rafiki nikajua ameenda chumbani kwake.
Nilienda kuoga kisha nikarudi kulala lakini ukweli nilikuwa naona mapicha picha tu, sikuoata usingizi.
Usiku wa manane niliona kitasa cha mlango kikinyongwa na kumbe sikuufunga kisha sura ya Rafiki ikajitokeza na hatimaye mwili wake wote ukawa uko ndani ya chumba change.
Nilishangaa sana lakini sikuwa na cha kusema, alisogea mpaka kitandani kisha akafunua shuka nililojifunika nae akalala.
“Najua Verity amekusumbua hisia zako lakini hajazishusha, nimekuja kukukata kiu, nataka namimi unitoe Bikira yangu usiku huu”
Nilikuwa muoga kupitiliza lakini tayri roho ya kumpenda rafiki ilishaingia ndani yangu, alifunua shuka na kutumbukia ndani kisha akanikumbatia.
“Najua unanipenda pia Sam ila unaogopa, usiniogope hata kidogo”
“Wala sikuogopi ila naogopa hiki kinachoendelea kwasasa”
“Kinachokutisha ninini sasa,”
“We hujui tu lakini kama yakitokea matatizo mimi ndio nitaathirika na mbaya zaidi bora wewe na Verity mngekuwa kitu kimoja lakini wote mmenipenda sasa mtakuwa maadui na atakayenikosa anaweza akaniharibia”
“Nakuahidi sam, nitakulinda kwa kila kitu, wewe ndie mume wangu mtarajiwa lazima nkulinde, nitajitahidi sana kila kitu kiwe siri kati yangu mimi na wewe, Verity akikusumbua mridhishe hata kwa maneno ila asijue kuwa mimi na wewe tuna uhusiano”
Rafiki aliamka akaenda kuhakikisha kama mlango umefungwa vizuri kisha akavua gauni lake la kulalia huku taa ikiwa inawaka.
Naomba Bonyeza Matangazo Kila Unapoyaona ili Kunipa Nguvu ya Kuendelea Kuwaletea Simulizi
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
JIUNGE KWA UPDATE NA BURUDANI ZAIDI
WhatsApp Channel=> CnZ Media(Follow)
Telegram Channel=> CnZ Media(Join)