MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (7)

Zephiline F Ezekiel
MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU (7)
Jina: MAMA ALISHIKWA KALIO MBELE YANGU Mtunzi: Omary John Mndambi SEHEMU YA SABA TULIPOISHIA... Zoezi la kufua lilisha vyema kisha tukaingia ndani kwa ajili ya chai, katika hali ambayo sikuittegemea siku ile Dada Verity aliniandalia chai na kuniwekea mezani kisha akaninawisha mikono na kunikaribisha. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI 👉INSTALL👈 TUENDELEE... “Karibu Sam” “Asante dada Verity” Alinipiga kijikofi mgongoni kisha akaokota kipande cha nyama kwenye sahani yangu akaking’ata kisha akarudishia pale na kuniambia “Anza na hicho” Sikujua kuwa kumbe Yule dada mwingine alikuwa yopo anaangalia mchezo mzima, kilichonishtua ni sauti yake akisema “Makubwaaaa” “Acha umbea wewe” alisema Verity. Japo nilikuwa sijawahi kushiriki mchezo wa Mapenzi lakini nilikuwa nimeshaelewa kila kitu kuhusu dhamira ya Verity kwangu, sikuwa na amani kabisa na ilibidi nibadilishe ratiba yangu ya kila siku. Nilikuwa naamka mapema sana na kufanya kazi zote kisha najifungia chumbani…