SHINDU LA KIHAYA (20)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (20)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI TULIPOISHIA... Moses yule kijana aliyemsugua siku ile mpaka akapewa zawadi ya suti ndiye aliyehusika kwenye kuleta bidhaa.Kijana alijaa tabasamu zito usoni mwake alipokutana uso kwa uso na mama Lisa kwani inatokea pale ambapo watu wakifanya mapenzi mara moja halafu waonane tena.Sio rahisi kukaziana macho kama watu ambao hawajaonana nyuchi zao. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... ,,,mambo vipi,,?,alisalimia Moses ,,,umekua eeh!,husemi tena shikamoo,,,kwa sauti ya kulegea alisema Mama Lisa ,,,hamna,ila leo umependeza,,,Moses alishakuwa mjasiri,alianza kumsifia mama Lisa ,,,ahsante,ila tamaa tu hizo lione,,,alipoongea hivyo mama Lisa,Moses alijifanya kama anataka kumfinya mgongoni,kile kitendo cha mama Lisa kukwepa Moses alichukulia kama utani,akawa anaendelea kumtafutia ili amfinye kimahaba. Kitendoc cha mama Lisa kuogopa kifinyo cha Moses,j…