SHINDU LA KIHAYA (21)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA TULIPOISHIA... huku juu alivalia blauzi pekee ambayo ndani yake hakuvaa sidiria,yaani yale matiti yake makubwa wastani yalikuwa tupu yakitikisika na kuongeza msisimko Taratibu Hassan wa watu alijikuta akidindisha,ila mma huyo sasa hakuonyesha hata dalili ya kumtaka japo Hassan alijua hawezi kumwacha atoke patupu JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... ,,,angekuwa Agness ungempa kisa anakupa mbunye sio,,? ,,,aah yamefikaje huku jamani,,, ,,,chumvi unaninyima si ile pale,,, ,,,kachukue,,, Utani utani tu mama wa watu alizama chumbani kwa Hassan ambapo mlango ulikuwa wazi,eti kufuata chumvi ameiona,na wakati hata siku moja chumvi hujawahi kuiweka chumbani kwake ,,,mmh kumbe kweli huna,,,alisema mama huyo na kugeuka kutaka kurudi Uso kwa uso aligongana na hassan mlangoni,walibaki wakiangaliana ,,,jamani nipishe bwana,,, ,,,sikupishi,,, ,,,sa unat…