SHINDU LA KIHAYA (24)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE TULIPOISHIA... ,,haya sasa,naona vita ya mabubu,kama mnajiamini mnachokifanya kiko sahihi kwanini msipige kelele?,,,alihoji swali hilo Hassan ambapo wote walikaa kimya.Wanawake walikuwa wamesimama wakiangaliana kwa hasira na kuhema kwa kasi kwani walihangaishana hasa,na kama ujuavyo ngumi za wanawake,makofi mengi na kusukumana kwingi, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... ilipelekea kila mmoja kutoumia sehemu yeyote Hassan aliwatuliza wote na kuwakalisha chini ambapo wote wawili walikuwa kwenye mavazi ya kusuguliwa yaani ndani ya khanga moja tu,akaanza kuwaweka sawa ,,,wote najua mnanipenda si ndiyo,,?,alihoji Hassan ambapo wanawake hao bado walikuwa na jazba,hawakumjibu chochote kila mmoja aliishia kumwangalia tu ,,,kama hamnipendi basi wote ondokeni,,,aliposema hivyo tena Hassan wale wanawake waliendelea kubaki,hakuna aliyeondoka,b…