SHINDU LA KIHAYA (27)

Zephiline F Ezekiel
SHINDU LA KIHAYA (27)
Jina: SHINDU LA KIHAYA Mtunzi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA TULIPOISHIA... hakika atatamani kufanya mapenzi na wewe,asiyesifiwa kitandani hujengewa mazingira ya kuchikia tendo na kuliona ni la kawaida sana wakati ni kitu adimu na cha thamani.Mama Lisa aliijenga kibanda kabisa kwa kijana huyo ambapo aliyoyataka mama Lisa yalitimia,malipo ya utamu wa kitandani yalionekana, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 SASA TUENDELEE... kijana alihonga hasa Lisa na Evagrini kwenye lile dili lao la milioni miambili walilishupalia ambapo kweli kama walivyoelekezana kukutana kwenye ile hotel.E bwana usiupmie mziki wa watoto wawili wazuri waliojua kuvalia na miili yao ikawasapoti.Mijicho ya vidume iliwatazama kwa matamanio ambapo wao walikuwa na misheni maalumu,waliketi meza moja ambapo Lisa alianza kumsifia Evagrini ,,,ila mtoto una balaa wewe,kwa huo uzuri hatari,,, ,,,mmh nitakuzidi wewe dada yangu,,, ,,,aah ulinipokonya …