Machapisho

BALAA (18)

Zephiline F Ezekiel
BALAA (18)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... Kijana mbishi, kijana mkatili, kijana sugu kabisa Tano wa six killers alikuwa katika mikoko ya pwani ya makuburi. Alikuwa amejificha katika mikoko hiyo akiwaza namna salama ya kutoka katika mikoko na kurudi kambini kwao, porini ngome. Pamoja na uvumilivu wote huo lakini Tano alikuwa anapita katika maumivu makali sana. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Alikuwa na vidonda mwili mzima, vidonda ambavyo sasa vilikuwa vinapitiwa na na ladha ya chumvichumvi toka katika mikoko ya pwani. Askari walirudi kituoni, kutoa taarifa kwamba Jambazi aliyejulikana kwa jina la Tano alikuwa amewarotoka. Kwa haraka sana habari hizo mbaya zikafikishwa kwa Daniel Mwaseba huku askari wakimwaga mtaani kama njugu kumsaka Tano wa six Killers. Daniel Mwaseba alipopigiwa simu, hakujibu kitu chochote kuhusu ile simu zaidi ya kuitikia tu tena kwa sauti ndogo sana. M…