Machapisho

BALAA (20)

Zephiline F Ezekiel
BALAA (20)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Daniel sasa aliona hakuna tofauti, kufa na kuishi vyote ni sawa, akiwa amelegea kidogo kutokana na mapigo ya wale jamaa aliinyanyua bastola yake tayari kwa kufyatua. Alimuelekeza yule mtu aliyesimama katikati ya wenzake, hakuwa na mzaha sasa Daniel, macho yake yalionesha hivyo. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Alikuwa tayari kwa lolote! Kwa bahati mbaya kabisa hakuwahi kufanya alichokuwa anataka kukifanya. Yule jamaa aliyekuwa kati aliufyatua mguu wake kwa kasi ya haraka sana na kuupiga ule mkono wa Daniel Mwaseba ulioshika bastola. Kwa macho yake yote mawili Daniel Mwaseba aliishuhudia bastola yake ikiruka angani na kutua katika mikono ya yule jamaa wa kati. E bwanaa wee! Sasa Daniel aliona muda wake wa kuuwawa umefika, ujanja wake umefikia kikomo. Kwa sasa amepatikana! Alikuwa ameingia sehemu hatari sana, zaidi ya hatari yenyewe. Aliwa…