BALAA (4)

Zephiline F Ezekiel
BALAA (4)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... Tena wengine hawakuwepo hata katika ile sherehe yenyewe lakini ndio walikuwa wasimuliaji wakubwa. Vijiwe vyote vya waambea waliipa sana 'airtime ' habari hii ya bwana harusi kukimbia katikati ya sherehe kuliko habari ile ya ajari. Kule Kilwa Kivinje majeruhi wote sasa walikuwa wodini. Dokta Yusha alifanya kazi kubwa sana usiku ule. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Yeye mwenyewe alifanya kila kitu kuhakikisha majeruhi wote wanapata huduma. Na ile maiti ya mama Nasra ilipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti na kusubiri taratibu zingine za mazishi ziendelee. Hadi Asubuhi, Dokta Mkuu wa hospitali ya Kinyonga, Zaidi Kilumba , Dokta Mkuu wa upasuaji Sharifa Juma, na Dokta anayesimamia chumba cha kuhifadhia maiti, Dokta tamaa Karimu walikuwa hawajawasiri kazini, na wala simu zao zilikuwa hazipatikani. Hospitalini walikuwa wanafanya kazi man…