BALAA (6)
Jina: BALAA Mtunzi: Halfani Sudy SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... Alirudia mara nne.Mwanasheria akakata roho akiwa amelewa. Tano alitoka nje huku akiwa na furaha tele. Bila kujua kama alimuua mtu asiye sahihi. Yeye alimuua Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa , JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Ndugu Juma Ngozi. Wakati Mwanasheria aliyeongea na Dokta Yusha , Mwanasheria mlevi alikuwa kilabuni wakati ule, akinywa pombe na kupigizana kelele na kina mama Kindumba … Usiku uleule Tano alirudi Kilwa Kivinje . Kuendelea na kazi yake ya ulinzi pamoja kumuwinda Dr Yusha. Maana usiku wa siku hiyo pia, ilikuwa lazima waipata mioyo kumi na tano katika chumba cha kuhifadhia maiti. Alifika Kivinje mishale ya saa tano usiku. Na kuikuta kazi ya kutoa mioyo imeshaanza. Asubuhi mji wa Kilwa Masoko uliamka na taarifa mbaya tena. Taarifa ya kifo cha Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya Kilwa, Ndugu Alex Mwasola . Mwasola alik…