HATI FEKI (7)

Zephiline F Ezekiel
HATI FEKI (7)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... USALAMA katika ngome ya Mosses uliwatisha kidogo kina John. Walifika na gari karibu na uzio wa mgodi ule na kuangalia kwa mbali kidogo shughuli zilizokuw zikiendelea kule ndani. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Mosses Ndula alifanikiwa kuweka ulinzi mkali. Si polisi wala mtu yeyote aliyeruhusiwa kuingia mle ndani. Hata viongozi nwa serikali na wateja wake wa madini waliofika pale walikaguliwa ipasavyo kuhakikisha hawaingii wala kutoka na chochote. Hakuamini mtu yeyote kwani alijua alifanyalo. Hata Mosses Ndula alikuwa akitoka kwa msafara wa gari tano hadi sita zikiwa zimebeba walinzi wake pamoja na wasaidizi wake. Gari zote zilikuwa nyeusi zenye vioo vyeusi ambapo ilikuwa ni nadra sana kwa mtu wa nje kuchungulia ndani. Pia mtu asingejua ni gari gani alilopanda Mosses Ndula kwani magari yote yalifanana. Hakupenda kujulikana japo alijulik…