JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (11)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Martha alipojitokeza, mama Anna alishtuka, akapunguza sauti huku akisema... “Basi tufanye kesho baby wangu, usiku mwema.” Martha alipita bila kusema kitu kwa mama Anna, akazama ndani na kumpa Roi vocha ya buku, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akabaki na ya buku kuingiza kwenye simu yake. *** Ilikuwa saa saba usiku, Martha alichelewa kupata usingizi kwa mawazo kuhusu kutaka uhakika wa kuwepo kwa mawasiliano kati ya mama Anna na jamaa yake, Roi... “Hivi kama ni kweli nichukue hatua gani?” alijiuliza moyoni Martha... “Na yale mazungumzo ya kwenye simu ya mama Anna muda ule mbona ni kama alikuwa akiwasiliana na Roi?” Ghafla alipata wazo, alitoka kitandani huku macho yake yakitua kwa Roi. Alipobaini anauchapa usingizi mzito, aliifuata simu yake, akaichukua na kwenda nayo sebuleni. Aliikuta simu hiyo haina ‘password’ kwa hiyo ak…