JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (3)

Zephiline F Ezekiel
JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (3)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... “Kama ni hivyo na mimi nakiuka.” Roi alimgeukia Liz, wakawa wamelala kwa kuangaliana, Liz bado alikuwa katika usingizi lakini siyo mzito kama awali. Roi alimsogelea Liz mpaka mdomoni, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... akatoa ulimi kuelekea kwenye kinywa cha mrembo huyo. Liz akiwa hajui lolote, alijikuta akipanua kinywa, ulimi wa Roi ukapenya ndani, Liz akaanza kuburudika nao huku akiguna. Liz alijikuta akishtuka kutoka usingizini, akatumbua macho na kumwona Roi mbele yake... “Haa! Broo,” alisema kwa tabu huku ulimi wa Roi ukiwa bado kinywani mwake, lakini hakuutoa! Walikaa kimya, kilichosikika wakati huo ni dalili na mihemko tu, kila mmoja alishapanda joto la mahaba... “B...ro...” “M...mm...” “Ah!” “Mh!” “Oo!” “Ha!” Liz alimvutia Roi kifuani kwake, akamweka karibu kabisa na kuanza kufaidi denda kwa uwazi. Ndani ya dakika kumi nzima wali…