JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (4)

Zephiline F Ezekiel
JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (4)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA NNE ILIPOISHIA... “Mmm....mmmm...” “Mm...mmmm...waaaa...” Walichukua kama dakika tatu nzima wapo ndani ya denda motomoto huku wakisikika kwa sauti za kuhemka. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Miguu yao chini ilitembea sawasawa na kila mmoja na uwezo wake wa kuhimili sakafu. Ilitembea kama iliyokuwa ikiamrishwa na sauti moja. Ilikuwa kulia...kulia yote, kushoto...kushoto yote! Wakati mwingine mbele...mbele yote pia... “Baby,” aliita Martha baada ya kujichomoa kwenye denda na Roi... “Yes darling...” “Chumbani ni noma, wale wapangaji wenzangu wamekaa nje ya dirisha langu la chumbani...” “Kwa hiyo itakuaje sista..?” “Bwana! Kwanza mi sitaki uniite sista...mimi ni baby wako...” “Sawa sweet...sasa itakuaje?” “Si hata hapa sebuleni panatosha au?” “Wewe tu! Unaona panatosha kweli?” “Panatosha darling,” alisema Martha kwa sauti iliyokwishazidiwa nguvu na joto la …