JAMANI DADA MARTHA... LOOO! (6)
Jina: JAMANI DADA MARTHA... LOOO! Mtunzi: 2jiachie SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... “Tuachane na udada na ukaka kabisa, tubaki kuwa wapenzi, huenda siku moja tutakuwa mke na mume...” “Naunga mkono baby, sitaki tena ukaka kutoka kwako...” “Na mimi sitaki tena udada kutoka kwako.” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Martha alianza kupandisha ‘mashetani’ yake ya mahaba. Alitoa mlio wa kumtoa simba kwenye msitu mkubwa huku akisema anachotaka kukifanya. Akapokelewa kwa maneno matamu na Roi . Walitulia kidogo kuvuta kasi na Martha kujiweka fiti, wakaanza tena lakini safari hii walibadili mapozi, wakaenda na pozi la muunga mboga jikoni, Roi hakufika mbali akatangaza nia. Sasa walikuwa wamelala wote wakiangalia juu... “Baby,” aliita Roi... “Niambie sweet wa mimi!” “Unajua nakupenda sana, si kama dada lakini bali kama mpenzi wangu.” “Hata mimi si kama kaka sasa ila kama my baby.” “Mbali na mwanaume uliyezaa naye ambaye uliniamb…