HATI FEKI (13)

Zephiline F Ezekiel
HATI FEKI (13)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... “Nadhani itakuwa ni wao maana wana kisa na sisi. Antony tutampata wapi wakati huu?” anatakiwa kuwa na sisi kwani kipindi kile alikuja tukafanikisha.” “Kwani alirudi Nairobi ?” “Ndiyo, na sasa itabidi aje tena,” John alisema huku akichukua kikombe cha chai na kubwia kidogo. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... John aliendelea kusema. “Sikuwahi fikiria kutekwa kirahisi namna ile, inaelekea wale jamaa walilifanya mipango yao siku nyingi kuhakikisha kwamba wanatuangamiza, ila walipata wapi picha yangu? Au ya Antony ile?” John aliuliza swali ambalo hakuna aliyejua jibu lake. “Unajua ni nini John? Max alianza kumwambia John. Mi nadhani hao jamaa watakuwa wameweka makachero wa kutufuatilia pamoja na kuifuatilia serikali ni nini wanafanya pamoja na wewe, si unajua mzee wako alikuwa karibu sana na serikali,” John alitikisa kichwa kuonyesha kwam…