HATI FEKI (16)
Jina: HATI FEKI Mtunzi: Hassan S. Kajia SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... “Watajua tu watu wao wameuliwa na watajua lazima ni sisi. Sasa tusirudini home sasa hivi. Tutafuteni mahali tujiweke sawa alafu tuende. Zana zote zipo kwenye buti ya gari nlilompa Antony na mabegi mengine yapo kwangu. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Tuyafuateni kwanza.” “Mi nadhani tungeekwenda hukohuko Mererani tukavamie kabisa. Hapo tutakuwa hatujawapa nafasi, kabla hawajajua kama watu wao wamekufa,” Max alitoa wazo ambalo lilikubaliwa na kila mmoja. “Lakini…. Nadhani tuwasiliane na Antony kwanza… yeye ndo anapajua. “Kweli, mpigie simu mwambia aje kamili. Aje usiku huuhuu, mwagize apitie kwangu Michelle atampa yale mabegi aje nayo,” alisema Max. John alitoa simu yake na kuanza kuongea na Antony. “Tayari nipo huku. Nyie njooni tu huku.” “Haa! Ok, sisi ndo tunageuza, uko kwa wapi. Na vipi mabegi tuliyoyapeleka kwa Max.” “Nliyaweka y…