KONSTEBO NGUZU (16)

Zephiline F Ezekiel
KONSTEBO NGUZU (16)
Jina: KONSTEBO NGUZU Mtunzi: George Iron Mosenya SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Maelezo aliyokuwa ameyatoa waliosikiliza hayakuwakuna kabisa na hivyo wakaona suluhu ni kumbana vyema kwa kumuumiza ili aweze kutapika siri zote alizomeza. " Inspekta Kobo , hili ni agizo la mwisho kabisa la kukubembeleza wewe kusema ukweli wote ili ubaki kuwa salama ama la tutatumia nguvu. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Na hatushindwi!" Sauti ya kusihi iliyojaa madaraka iliunguruma. Inspekta akastaajabu, hawa mabwana tayari walikuwa wameitengua taya yake, wakaupoteza njia mguu wake na sasa yungali mahututi katika bahari ya maumivu, sasa anaelezwa kuwa asiposema ukweli watatumia nguvu. Nguvu! alistaajabu... Nguvu gani zaidi ama watamkaliza katika kiti chenye shoti ya umeme, au watampiga risasi? Hizi nd'o nguvu ambazo walikuwa hawajatumia. "Mkuu nilichokiandika katika maelezo yangu ni hicho hicho sijaongop…