MKONO WA JASUSI (18)
Jina: MKONO WA JASUSI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA KUMI NA NANE ILIPOISHIA... “Huu ndio mtaa wa Shilowane?” akawauliza. “Nilijua tu we mgeni. Unatoka wapi?” kijana muuza viatu aliuliza. Kamanda hakujificha akamweleza kuwa yeye ni Mtanzania. “Aaaa wa nyumbaniiiiii!!!!” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Yule kijana akashangilia kumbe na yeye alikuwa ni Mtanzania. “Hongera kwa bishara, naona mbao imejaa,” kamanda akamweleza. “Asante tunaganga njaa kwa watu huku, cha muhimu na kizuri ni kuwa watukubali sana hawa jamaa, tunaishi kwa amani,” Yule kijana akaongea kwa furaha sana. “Ok, ni vizuri lakini usisahau nyumbani,” akamwambia huku akimpa mkono kumuaga. Wakapiga picha ya pamoja kwa simu ya Yule kijana, wakaagana. Kamanda Amata akapita katika mtaa huo na kuitafuta nyumba anayoitaka. Alipoteremka mteremko mkali kidogo akakutana na barabara ya lami, akakunja kulia na kuielekea nyumba kubwa ya kisasa iliyozunguk…