NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (10)
Jina: NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... yaani hii inamaanisha kwamba ujana wao hawakuufaidi kwa kufanya ushenzi kama huu na ndiyo maana zama hizo zilianza kujirudi kwao. Mimi nilitaka nifanye yote ili hata siku moja mtu akinifuata na kuniuliza kama niliwahi kufanya ushenzi huu na huu basi nimwambie nilifanya na sikuona faida yoyote ile. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Wanawake wawili ndani ya kitanda kimoja, mambo hayo niliwahi kuyaona kwa Wazungu tu lakini si huku Tanzania. Basi nikakubaliana nao, wakaniambia niwapoze tu elfu hamsini kila mmoja, chakula na pesa ya nauli, nikawaambia poa, pesa si tatizo, tatizo ni wao tu kunipa huduma ya kitu moyo inataka. Tukaondoka na kuelekea hotelini. Nilijiona Mfalme Mswati . Niliona hotelini mbali, wakati mwingine nilitamani hata kupiga picha na kuwaonyeshea Watanzania wote kwamba si mnaona sasa nilivyo? Si mnaona jinsi nin…