NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (14)
Jina: NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA NNE ILIPOISHIA... Kwenye chatting zangu nilikuwa noma, nilijua kucheza na maneno, nilijua kumsoma mtu kwa kutumia maneno yangu matamu kabisa. Nilimchangamsha mni, nilitaka ajisikie vizuri kabisa na aone katika dunia hii hakukuwa na mtu aliyekuwa akimpenda kama nilivyokuwa mimi. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Nilimsifia kuanzia chini mpaka juu, kwamba alijua kuvaa, kutembea na hata tabasamu lake lilikuwa likiniua kila nilipokuwa nikilifikiria. Basi akafurahi weee pasipo kujua kwamba naye nilikuwa namtengenezea mazingira ya kumalizana naye. “Eti mimi mzuri! Edward una mambo,” aliniambia kwa kutumia meseji. “Huo ndiyo ukweli, kama nadanganya, kanishtaki,” nilimjibu. “Uzuri wangu nini sasa?” “Jinsi ulivyo, yaani kama ni malipo ya DSTV basi wewe ni full package, yaani Premium,” nilimjibu, yaani nilikuwa nikichati naye huku nikitabasamu ka…