NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (16)

Zephiline F Ezekiel
NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (16)
Jina: NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI Mtunzi: Nyemo Chilongani SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Alianza kupiga kelele, sikuacha, niliendelea na zoezi hilo, alikuwa akihangaika, mara atake kunitoa, nilichokifanya, nikamuacha, nikachukua pingu na kuifunga mikono yake kwenye vyuma vya kitanda na kumrudia. Nilianza kufanya vilevile, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... kwa dakika mbili, nilipomwangalia, alikuwa akilia, alizidiwa mno, ndiyo kwanza nilikuwa miguuni, nilianza na vidole vyake, unyayo, nilikaa kwa dakika kadhaa na kuanza kupanda juu, nilipofika magoti, nikatulia na kuanza kuyang’atang’ata... Nilifurahi sana kuwa na Glory siku hiyo, alichanganyikiwa mno, alikuwa akining’atang’ata kimahaba tu kitandani pale. Alichanganyikiwa, nilimfanyia kwa sifa mpaka tulipomaliza alikuwa hoi. Sikutaka akae nyumbani kwani ndugu yake naye alitakiwa kuja, hivyo nikamuaga na hatimaye kuwasiliana na Esta mwenyewe na hivyo kuja …