NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI (16)

Zephiline F Ezekiel

SEHEMU YA KUMI NA SITA
ILIPOISHIA...
Alianza kupiga kelele, sikuacha, niliendelea na zoezi hilo, alikuwa akihangaika, mara atake kunitoa, nilichokifanya, nikamuacha, nikachukua pingu na kuifunga mikono yake kwenye vyuma vya kitanda na kumrudia.

Nilianza kufanya vilevile,

JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media?
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA KU-INSTALL👈

ENDELEA...
kwa dakika mbili, nilipomwangalia, alikuwa akilia, alizidiwa mno, ndiyo kwanza nilikuwa miguuni, nilianza na vidole vyake, unyayo, nilikaa kwa dakika kadhaa na kuanza kupanda juu, nilipofika magoti, nikatulia na kuanza kuyang’atang’ata...

Nilifurahi sana kuwa na Glory siku hiyo, alichanganyikiwa mno, alikuwa akining’atang’ata kimahaba tu kitandani pale. Alichanganyikiwa, nilimfanyia kwa sifa mpaka tulipomaliza alikuwa hoi.

Sikutaka akae nyumbani kwani ndugu yake naye alitakiwa kuja, hivyo nikamuaga na hatimaye kuwasiliana na Esta mwenyewe na hivyo kuja nyumbani.

Kama alivyoshangaa ndugu yake naye alikuwa akishangaa hivyohivyo. Nikikwambia hii ni nyumba iliyojaa dhambi, elewa hivyo. Nilifanya uchafu wa kila aina na wasichana mbalimbali. Kiukweli sikuwahi kutumia mpira ila nilikuwa na njia ambayo hata kama nilikuwa nikifanya mapenzi na msichana mwenye Ukimwi sikuwa nikiupata.

Kitu kinachoogopwa ni michubuko tu. Kama unahisi wewe ni dhaifu, huwezi kutumia mpira basi ni lazima ujue kucheza na mwanamke kitandani, kusiwe pakavu tena, yaani utundu wako unatakiwa kuwa hapo tu.

Baada ya hao mapacha, walifuata wengine na wengine, mpaka nilipoamua kuwa na Nurat na kuzaa naye watoto, niliacha wasichana wote na kutulia na huyo mmoja tu.

Hiyo nyumba kwa sasa nimeipangisha, ninaishi kwangu Tegeta na familia yangu. Ni miaka mingi imepita, nilihitaji nikwambia hili, ujue ni kwa namna gani niliishi katika maisha mabaya kama hayo.

Sikukuhadithia ili unione mimi ni mtaalamu kitandani, sikukuhadithia ili na wewe ukawafanyie wengine, ila nimekuhadithia kwa sababu ninahitaji ujue kwamba unaweza kufanya uchafu wote duniani lakini bado ukabadilika na kuwa mtu mzuri tu.

Leo nipo na familia yangu, sina hamu na wasichana wa nje. Nimefanya na wanawake wote unaowajua wewe, wazuri, wabaya, wenye maumbile, wembamba, wanene, weusi na weupe lakini hakuna aliyekuwa tofauti, au aliyekuwa na ladha zaidi ya mwenzake.

Ninapomuona msichana mrembo barabarani, huwa ninajisemea kwamba ladha ya yule ni kama Nurat, hawajatofautiana kwa lolote lile, hata akiwa mtundu kwa kiasi gani bado atakuwa vilevile tu.

Kwa ujumla tangu nihamie ndani ya ile nyumba niliwaingiza humo wasichana si chini ya hamsini lakini mimi kama mwanaume mwenye msimamo bado nilitakiwa kuonyesha mabadiliko.

Nipo salama kwenye maisha yangu na familia yangu, huyu Nurat ni mwanamke anayejali sana, si mbaguzi, nyumbani kwao walishangaa sana kuamua kuwa na mimi, yeye ni Mwarabu mimi ni Mweusi lakini maisha yetu yamejengwa kwa upendo na mapenzi ya dhati.

Tuna amani. Si kwamba huwa hatugombani, wakati mwingine tunapitia huko, ila tunasameheana kwa kuwa tunakumbuka kwamba sisi si malaika, si Mungu, ni binadamu wa kawaida ambao kukosea ni sehemu ya maisha yetu.

Vijana wenzangu! Kama hujaridhika, kila shimo unataka kuingia ni lazima ujue kila kitu kina mwisho wake. Hakuna msichana anayempenda mwanaume asiyekuwa na pesa, kama wapo ni wachache sana akiwemo Nurat.

Cha msingi unachotakiwa kufanya ni kutafuta pesa tu, halafu hayo ya mademu yatafuata kwani watakuja wenyewe, hutochukua namba zao ila watakupigia simu.

Tubadilike! Na mbali na hayo yote, tutumie mpira kwa kila tendo. Si kumwamini mtu kwa macho, kuna wengine hawaaminiki na magonjwa hayapimiki kwa macho.

Kama unaweza kutumia mpira, tumia na kama huwezi basi utatakiwa kuwa na utalaamu wa kipekee pa kufanya njia ilowe hasa ndiyo upite, vinginevyo, nakukumbusha tu kwamba kuna magonjwa, tena yale yanayoambukizwa na vijidudu usivyoviona kwa macho.

MWISHO

Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi

Chapisha Maoni