CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (2)

Zephiline F Ezekiel
CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (2)
Jina: CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA Mtunzi: Global Publisher SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... “Sawa,” alikubali mama Shua huku akigeuka kulala sawasawa… “Humu ndani kuna mpangaji kama sisi…” “Ndiyo…” “Sasa nataka kusema kuwa, tupo familia mbili tofauti…” JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Ni kweli mume wangu…” “Sasa msimamo wangu ni huu. Kila familia ibaki kuwa kivyake. Sitapenda kuona mazoea yoyote kati ya familia yangu na yule bwana, nadhani nimesikika.” “Nimekusikia mume wangu. Lakini ina maana hata salamu nisimpe?” “Salamu mpe. Sitaki mazoea yale ya ndani kabisa, sipendi hata kusikia.” “Nimekuelewa mume wangu.” “Ndiyo hivyo basi.” *** Asubuhi kulikucha, Shua alitoka uani akiwa hajavaa nguo. Musa alikuwa uani wakati huo na mama Shua alikuwa akitoka chumbani kwenda uani… “He! We Shua kwa nini unatembea bila nguo?” mama yake alimjia juu japo Shua hakuwa mtoto mwenye kujitambua… “Ha! Mchumba unanidhalilisha bwana, huj…