CHUZI NDIO HILO, HAKUNA KUONJA (5)

Zephiline F Ezekiel

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
“Ngo… ngo… ngo…” aligonga mlango. Musa alisimama haraka na kwenda kufungua.

“Karibu baby…” “Asante baby…mmmwaaaa,” mama Shua alikaribia na kumpiga busu zito Musa…

“Asante sana baby,” alishukuru Musa huku akimkumbatia.

Ile mama Shua anakaa tu kitandani,

JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media?
IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI

ENDELEA...
Musa akasimama, akavua nguo zote mpaka akawa kama alivyozaliwa.

Mama Shua kuona hivyo, naye akasimama, akajichojoa moja baada ya nyingine lakini kabla hajamaliza, Musa alimvaa na kumtupia kitandani…pu!

“Jamani baby, bado sijavua zote…”

“Zitavuka zenyewe tu,” alisema Musa wakati aliona kabisa nguo yenyewe iliyobaki ni kufuli tu.

Ilibidi mama Shua ajichojoe mwenyewe kufuli hilo haraka sana kisha akajitega.

Musa, akiwa kama simba aliyelala na njaa kwa siku mbili, alimwangalia mama Shua kwa macho yaliyojaa uchu huku akielekea uwanjani.

Alianza mechi akikumbuka alivyosoma kwenye mada ya mapenzi. Akamwangalia mama Shua kama changudoa aliyemuona mtaani usiku ili kwenda sambamba na kipengele cha ‘usimshobokee’ au ‘usimwone kama ‘malaika’. Hata hivyo, haikusaidia kwani mwonekano wa mama Shua alivyo na zile sifa nilizowahi kuzisema ukijumlisha na mahaba mazito ya mwanamke huyo, Musa ndani ya dakika mbili akamaliza…

“Da! Baby, sijui nini?!” alisema Musa huku akitoka uwanjani kwa aibu na kujitupa huko…

“Jamani! Nini tena? Si mara ya pili hii? Au mpaka ya tatu?” aliuliza mama Shua kwa sauti iliyokosa amani, Musa hakujibu kitu. Ulipita ukimya, hakuna aliyekuwa tayari kuzungumza. Mama Shua aliwaza yake, Musa pia aliwaza yake…

“Sasa huyu mimi sijamwelewa, ni mzima au anaumwa?” alijiuliza mama Shua…

“Hii sasa aibu. Yaani demu anaanza kupanda kasi mimi namaliza?! Da!”

“Baby,” aliita mama Shua kwa sauti ya kike, sauti nzuri na tamu…

“Naam.”

“Una nini kwani?”

“Hata mimi sijui.”

“Mh! Au uliwahi kutembea na mke wa mtu ukachezewa?”

“Hapana. Sijawahi.”

“Mh! Yaani hata dakika tano hufiki? Afadhali ungekuwa unafika hata dakika tano tu na mimi ningejitahidi.”

“Looh!” alisema Musa huku akiwa amelala akiangalia juu kwenye dari.

“Loo nini sasa?” aliuliza mama Shua, akaendelea…

“Kama unaumwa sema usaidiwe.”

“Mimi siumwi.”

“Sasa kama huumwi kwa nini unashindwa kuwa mwanaume barabara kama wenzako?”

Swali hilo lilimuumiza sana Musa, akatoka kitandani haraka, akaenda bafuni kuoga. Mama Shua akajua akirudi wataendelea, lakini cha ajabu Musa aliporudi akashika nguo zake na kuvaa…

“Mimi nakwenda home.”

“Ha! Wewe, yaani nimeacha kazi kwa ajili yako halafu unasema unakwenda home, mimi unaniachaje sasa?”

“Unataka nikupe shilingi ngapi?”

“Sitaki hela, njoo kitandani bwana. mbona unaonekana kijana mzuri, mtanashati, rijali lakini unashindwa na kitu kitogo sana?! Yaani haya mapaja yangu hayakupi uwezo Musa? Ona yalivyo mazuri, angalia kifua changu…”

“Sitaki hela, njoo kitandani bwana. Mbona unaonekana kijana mzuri, mtanashati, rijali lakini unashindwa na kitu kitogo sana?! Yaani haya mapaja yangu hayakupi uwezo Musa? Ona yalivyo mazuri, angalia kifua changu…”

“Noo mama Shua. Acha maneno yako ya kejeli. Unaniumiza sana,” alisema Musa akijiandaa kuvaa ili kutoka zake.

Uso ulimpwaya, muda mwingi aliangalia pembeni au chini ili kukwepa kukutana macho na mwanamke huyo. Alitamani angeumbwa mwanamke kwani angekwepa kudhalilishwa kule…

“Ukisikia mwanaume kapata aibu basi hii yangu ni namba moja, laiti ningejua yangetokea haya wala nisingemkubalia mama Shua tukutane hapa gesti,” Musa aliwaza.

“Musa,” aliita mama Shua…

“Mm...”

“Hebu kaa hapa kitandani,” mama Shua alisema kwa sauti kama yenye amri.

Musa alikaa huku bado akiangalia chini…

“Hebu niambie tatizo lako kwa uwazi kabisa, naamini naweza kukusaidia. Haiwezekani kijana mzuri kama wewe udhalilike mbele ya mwanamke.”

“Tatizo langu unalijua…”

“Mimi silijui, uliniambia lini?”

“Kwani huoni kama nashindwa kumudu kuwa uwanjani hata kwa dakika mbili?” alisema Musa huku machozi yakimlengalenga…

“Lengo langu nataka kujua huwa unajisikiaje mpaka unashindwa kuwa uwanjani kwa muda hata huo?”

“Inatokea tu. Mi mwenyewe sijui.”

“Tangu lini?”

“Tangu nianze kujua kusakata kabumbu uwanjani.”

“Lo! Kwa hiyo mademu zako wote wanakumbana na kisanga hicho?”

Musa, awali alisita kujibu kisha akasema…

“Ndiyo.”

“Mh! Kwani huwa unakuwa na kiu sana kabla ya kuingia uwanjani?”

“Sana. Ndiyo maana hata wewe ulivyoingia tu nikakuvamia,” alisema Musa. Sasa kidogo aibu ilianza kumtoka, alihisi anaweza kupata ufumbuzi kwani katika mademu wake wote waliommwaga kwa sababu ya udhaifu huo hakuna aliyeonesha dalili ya msaada…

“Mimi nitakusaidia Musa…”

“Kwa njia gani?” Musa aliuliza haraka huku kwa mara ya kwanza tangu kutomudu mchezo, aligeuka kumwangalia mwanamke huyo.

Mama Shua akiwa bado kitandani, alimvutia kwake Musa akamlaza huku akimbembeleza kwa maneno mazuri ya mahaba…

“Nakupenda sana mpenzi wangu, umetokea kuwa usingizi wangu. Nikiwa kitandani nikakuwaza wewe huwa nalala usingizi usio na jinamizi.”

Musa alichaji upya, akajikuta ana nguvu za ajabu, akaamini safari hii ushindi ni wake. Alichojoa akatupa kule, akaingia uwanjani na mama Shua…

“Lakini mimi bwana nina wasiwasi wewe una wanawake wengi,” alisema mama Shua wakati mechi ikianza upya…

“Mimi sina mwanamke…”

“Je, siku nikijua unao?”

“Amua chochote kile.”

“Mmm! Wewe Musa hujatulia wewe…mimi najua…na kama kweli una wanawake wengine naomba achana na mimi kabisa.”

“Kweli mimi sina wanawake mama Shua. Niamini mimi…wanawake wenyewe wakishajua niko hivi wakiondoka wanafuta namba yangu kwenye simu zao.”

“Nitafuatilia, maana mimi sitaki Ukimwi.”

Maneno ya mama Shua yalimkata stimu Musa kiasi kwamba akajikuta anacheza mechi bila akili yake kuwepo pale hivyo dakika zikakatika…

“Ina maana unahisi mimi naweza kuwa na virusi vya Ukimwi siyo?”

“Inawezekana, mimi nitajuaje?”

“Sasa mbona umekubali bila kutumia zana kama una wasiwasi?” aliuliza Musa akikosa mudi kabisa.

“Nimejitolea kufa kwa ajili yako.”

Wakati wanazungumza hayo, mama Shua alishika kasi, akajikuta anashikwa na kigugumizi huku akibadilisha maneno, sasa yakaja yale ya mahaba, Musa naye ikawa kama amezinduka kutoka kwenye maneno ya kero ya mwanamke huyo na kurudia hisia za mahaba, akatangaza anavunja dafu sambamba na mama Shua, wakavunja wote.

Musa alishtuka, kwamba alichukua zaidi ya dakika kumi wakati wa kujibu maswali magumu ya mama Shua huku wakiwa wanaendelea na mechi…

“Oooh! Oooph!” alihema sana Musa…

“Tumetumia dakika ngapi baby?”

“Kama kumi hivi…”

“Nooo baby! Dakika kumi na mbili kamili.”

“Haa! Kwa mara ya kwanza baby…ni kwa nini? Kwani umenitibu kwa dawa gani? Mbona sijaona kitu?” aliuliza Musa uso wake ukiwa umechangamka kwa furaha…

“Unajua wewe unakosea kitu kimoja,” alisema mwanamke huyo lakini mara simu ya mume wake ikaita, akaomba kuipokea…

“Pokea baby,” alisema Musa…

“Haloo…”

“Umetoka kazini muda mrefu, umekwenda wapi mama Shua? Niambie ukweli.”

Mama Shua alianza kutetemeka, miguu na mikono vilimcheza. Akajikuta akimtumbulia macho Musa baada ya simu kukatwa na mumewe…

“Vipi?” Musa alimuuliza…

“Si unaona. Amepiga simu kazini, akaambiwa nimetoka. Sasa anataka kujua nimekwenda wapi?”

“Amekata simu yeye au wewe?”

“Yeye.”

Mara, simu iliita tena mama Shua akiwa anaongea akaipokea bila kujua ipo hewani, akawa anasema…

“Mi si nilikwambia kuna mtu ofisini anampigiaga simu kumuuliza kuhusu mambo yangu. Atakuwa huyohuyo ndiyo kamwambia mimi nimetoka.”

Baba Shua alisikia yote, hasira zikampanda, akakata simu, akapiga tena. Safari hii ndiyo mama Shua akashtuka baada ya kusikia mlio wa simu yake…

“Subiri nipokee baby,” mama Shua alimwambia Musa.

“Haloo…” “Uko wapi mama Shua?”

“Nipo saluni, nywele zangu zilikuwa hovyo sana. Ndiyo nimekuja kuziweka sana.”

“Huyo uliyemwambia kuna mtu kazini kwako ndiyo huwa nampigiaga kumuuliza kuhusu mambo yako ni nani?”

Mama Shua alishtuka, akajiuliza ni wakati gani mumewe alisikia, maana ni kweli alisema maneno hayo muda mfupi uliopita akimwambia Musa…

“Si nakuuliza wewe mama Shua?”

“Nilikuwa naongea na huyu dada wa saluni. Aliniuliza kama mumeo amesafiri amejuaje umetoka kazini? Ndiyo nikamwambia kuna bosi wangu huwa anampigia,” alijitetea kwa uongo mama Shua.

“Kwa hiyo bado upo saluni?” “Ndiyo kwanza huyu dada anamaliziamalizia kuniseti.”

“Naomba niongee naye.”

Mama Shua alipatwa na kiwewe. Alihisi moyo unataka kusimama ghafla. Akajutia akijilaumu moyoni kwamba, angejua angejibu ameshatoka saluni lakini kusema ndiyo kwanza anamaliziwa, ina maana bado yumo saluni, sasa atampa nani simu ili ionekane ndiyo dada wa saluni.

Aliwaza kumkimbizia mtu wa mapokezi lakini akakumbuka ni mwanaume…

“Ayaaa! Da!” alihamaki mama Shua, ikabidi ajibadili mwenyewe sauti, akasema kwa sauti yake…

“Eee shika, mume wangu anataka kuzungumza na wewe.”

Kisha akatumia ya kujibadili… “Haloo shemu, mambo?”

“Poa, mzima?”

“Mzima. Mi naitwa Zuhura, niko saluni hapa. Mkeo mara nyingi hutumia saluni hii.”

“Oke, sasa…ameondokaje kazini bila kuniambia? Wakati anajua mimi kujua ni rahisi. Hebu mwonye bwana mwanamke mwenzako.”

“Sawa shemeji, nitamwonya. Nadhani ni bahati mbaya tu shemeji.”

“Poa…poa shemeji yangu.”

Baada ya kukata simu, mama Shua alicheka sana mpaka akalala kitandani huku akisema…

“Jamani jamani! Hii dunia hii, balaa.”

“Da! We kiboko aisee. Yaani umenibadilishia sauti hapa mpaka mimi mwenyewe nimekukubali. Kama ningepita hapo nje nisingejua kama ni wewe ndiye uliyekuwa ukiongea kwa sauti hiyo.”

Mama Shua sasa alihisi yuko huru, akambusu Musa kisha akapanda kitandani huku akionekana mwenye furaha sana…

“Unaweza kuendelea au hutaki?” aliuliza mama Shua.

“Nitaweza kweli?” aliuliza Musa…

“Kwangu mimi utaweza tu,” alisema mama Shua huku akimuandaa Musa tayari kwa mzunguko wa pili.

Mama Shua alipeleka mkono na kushika maiki huku akimwangalia mwanaume huyo kwa macho yaliyolegea mpaka Musa akawa ngangari na joto likapanda tayari kwa mpambano.

Musa ndiye aliyeanza kuingia uwanjani akiwa na moto mkali, mwili ulikuwa tayari kwa mechi lakini wasiwsi wa kushindwa kudumu hata kwa dakika tano ulikuwa palepale.

Ile wanaanza mechi tu, mama Shua akaanza kumlaumu Musa…

“Lakini mimi najitoa kwako huku najua kwamba wewe una wanawake wengi sana.”

“Hivi ni kwa nini umeng’ang’ania hilo suala?”

“Nasema kwa sababu najua bwana, usinidanganye.”

“Niamini kweli kabisa.” “Sikuamini hata kidogo, kwanza nimeshajua iko siku nitajikuta umeniambukiza virusi lakini mimi kama nitakufa itakuwa kwa ajili yako,”

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

Share CnZ Media App kwa Wapenzi wa Kusoma Simulizi Ili Tuwe Wasomaji Wengi

Chapisha Maoni