MAUAJI YA KASISI (22)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (22)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI ILIPOISHIA... kwa mara ya kwanza Maria alitabasamu kwa bashasha, akainuka na kumfuata Inspekta Saitoti ofisini kwake. “Ndiyo afande,” Saitoti aliitikia hata kama hakuitwa, baada ya kupokea saluti ya utii. Maria akampa taarifa hiyo tamu ambayo ilimfanya ashibe hata kama hajala. JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... Mara moja inspekta Saitoti akaamuru gari ya plisi kutoka kuelekea Kisumu kumleta huyo anayeitwa Mellina . Safari ikaanza, Sargeant maria akiwa katika cabin ya gari na askari kadhaa wakiwa nyuma, mwendo wa kasi wa gari hiyo ulifanya kila aliye barabarani kupisha. Upande mwingine, jeshi la polisi mkoa wa Kisumu lilikuwa katika masikitiko makubwa kwa kupoteza askari wao wawili katika tukio hilo. Haikuwa kazi rahisi kukubali lililotokea lakini bado hali ilikuwa hivyo ilivyo. Baada ya masaa kadhaa gari ya polisi kutoka Nairobi iliing…