MAUAJI YA KASISI (27)

Zephiline F Ezekiel
MAUAJI YA KASISI (27)
Jina: MAUAJI YA KASISI Mtunzi: Richard Mwambe SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA ILIPOISHIA... “Usijali, maadam tumepata tunachotaka basi,” Don Andreas akamtia nguvu kwa maneno hayo. “Hii mali yetu kaka, aliwekeza baba wa babu yetu, alikuwa na makusudi mazima juu yake,” Andreas aliendelea kuongea huku akiigeuzageuza ile monstrance mikononi mwake, JE UNAISOMA SIMULIZI HII NJE YA APP YA CnZ Media ? IPAKUE ILI KUPATA MWENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA KU-INSTALL 👈 ENDELEA... “Pure Gold!” alitamka maneno hayo huku akiibusu. Akairudisha katika begi lake na kuketi tena kochini. “Ndio Bwana Bill, kazi yangu mi na wewe imekwisha, au kuna linguine la kuniambia? Maana malipo yako tayari yapo benki haijapungua hata senti moja nyekundu,” Andreas alimwambia Bill. Tabasamu pana likamjia Bill usoni, likachanua kama ua la yugiyugi, akainua glass yake na kugonga cheers na Andreas, wakati glass hizo zikagongana simu ya Bill ikaita kwa fujo katika mfuko wake wa shati, akaitoa na kukutana na ujumbe mfupi wa maandishi, “…Wamb…