USIKU WA BALAA (3)

Zephiline F Ezekiel
USIKU WA BALAA (3)
Jina: USIKU WA BALAA Mtunzi: Kalmas Konzo SEHEMU YA TATU ILIPOISHIA... “Ima! Aaaaaaah! You are so sweet. Nakufa Ima! Najisikia rahaaaaa! Endelea mpenzi wangu! Aaaah!”. Mlimbwende aliendelea kupiga kelele huku akiongea maneno ambayo nilishindwa hata kuyaelewa. Mara alisema nimuue, mara anajisikia raha. Mh! Jamani haya mambo nyie acheni tu. KAMA UNAISOMA SIMULIZI HII TOFAUTI NA KWENYE APP YA CnZ Media IPAKUE ILI KUPATA SIMULIZI KWA WAKATI SAHIHI 👉 GUSA INSTALL 👈 ENDELEA... Mtu waweza ongea vitu ambavyo havieleweki bila hata ya kujielewa. Sasa nikaona ligwaride ndo limepamba moto. Nikauchukua ulimi wangu na kuupeleka katika kinywa cha yule mlimbwende. Naye bila ya hiyana aliupokea na kuukaribisha ndani ya kinywa chake. Hapo sasa kazi ya kumung’unyana ikaanza. Kinywa chake kilikuwa na joto moja murua sana ambalo lilinisisimua mwili wangu na kunifanya nipagawe kwa mahaba. Nilihisi kama nakuwa mwendawazimu siku ile manake yule mrembo alikuwa anajua kumung’unya hasa. Wakati wote huo mkono wangu wa kulia …