MY EVA (14)

Zephiline F Ezekiel
JINA: MY EVA
SEHEMU YA KUMI NA NNE
ILIPOISHIA...
Victor na mkew walikua wakivunga kua na huzun mbele ya danny...
Danny alijua tu ni waongo....wamefrahia matatzo ya eva..ila kamwe hakuwaza kama wao ndio wahusika...

SASA ENDELEA..
Baada ya eva kutoka hospitali,,miriam alikuja...danny alikua kazin mda huo...
Usilie eva...miriam alimbembeleza.
Sijui ni nan kayazusha haya na ni kwasababu gani....alisema miriam.
Mm nahs ni ndugu wa dada jamira.....maana hawakupenda mm kurith baadhi ya mali za ndugu yao....alisema eva..
Mmh huenda ndo wao...alisema miriam.

Wakiwa wanaongea hapo,miriam aliingia mitandao mbalimbali ya kijamii....kulikua na mabishano makali juu ya ule uvumish..

Mashabik wa jamira alikua wakitoa kaul chaf kwa hasira
"Atakufa tu na yeye mbwa huyu"
"Hana shukran,, yan jamira ndo kamfikisha hapo halaf anamfanyia vile!! Ama kwel shukrana ya punda n mateke""
Zilikua baadhi ya kaul za shabik wa jamira....walikua na hasira sana na eva....
Mashabik wa eva walijitahd kumtetea lakn walizidiwa.
Miriam alitokwa machoz kuona vile....eva alipomuona miriam alimuulza tatzo nn lakn miriam akadai hamna kitu...

Eva akamkwapua sm na kusoma yale maneno....alitokwa nanmachoz meng sana....miriam alimbembeleza eva lakn haikua rahis...

Victor na rachel walikua wakifurah sana...walijua wameweza...

Baadae danny alikuja akamkuta miriam akiwa na simanz kama aliyefiwa..eva alikua kalala mda huo...miriam alimsih danny asimwamshe maana hakua vizur...danny alikubal.

Miriam na danny walibak wakiongea...hawakujua la kufanya
================================
Siku zilipita,, baadhi ya makampun yalistisha kufanya kaz na eva maana kaz za eva zilikua hazileti faida kama zaman sababu umaaruf wake ulitiwa doa nanile skendo....
Victor na rachel waliona wameelekea kushinda...

Danny alikuja nyumban...alikua hana raha hata kidogo.
Mwanangu...hiv huyo eva amekulisha nn??...tulikwambia wewe tulia yataisha tu hayo matatzo ya eva....sasa mbn uko hvyo na unazd kukonda kila sku??...alisema rachel..

Danny hakujib,, alienda chumban kwake na kujirusha kitandan kama mzigo...

Baba danny.... Ndio tumefanikisha kumzoofisha eva.....lakn danny haitakua rahs kwake kumshawish amwache....

Wewe mshawash bwana.....wewe si unapatana nae vizur...
Mshawish....akianza kuingia kweny mstar....ndo tutaendelea na mipango mingne ya kumwangusha kabisa eva...alisema victor.

Mmh lakin kwann tumfanyie eva yote haya??....mm naona danny akianza kuingia kweny mstar tusimfatilie zaid eva...tumwache na yy apumzike....

Kwahyo saiv ndo unajifanya una huruma sana!!!??...?aliongea victor kwa ukali...victor alitaka eva aanguke jumla....alihis akiendelea kua na nguv na pesa...huenda sku moja atafuatilia kes ya wazaz wake nanitakua rahs kushinda...

Mmh sawa baba danny.... Lakn huyo nae n mtt kama alivyo wetu...alisema rachel..

Victor aliondoka kwa hasira..
========================$=$==========
Licha ya hayo yote...eva,danny na miriam bado walikusudia kufuatilia ile kesi...hasa danny na miriam ndo walikua mstar wa mbele maana eva hakua vizur kisaikolojia..

Sasa hapa kazi imeanza rasmi.....alisema danny..
Ndio imeanza..alikazia miriam...lakin sasa tunaanzia wapi?....maan inatakiwa tupate angalau ushahid ndo tufungue kesi...alisema miriam.
Eva....aliita danny...
Abee...
Mbona kimya?....usiwaze eva usije pata presha bure...hii ni mitihan ya maisha.....alisema danny..
Sio hvyo danny.... Mm hapa niko najiulza tunaazia wapi kupata ushahd...alijitetea eva
Aah kumbe...bas poah...alisema danny
Hapa inabid niende kwa shangaz...yy huenda akajua kitu...alisema eva
Kwel heb tuanze na shangaz..huenda yy akatupatia mwanga...alisema danny

USIKOSE SEHEMU YA KUMI NA TANO

TAZAMA VIDEO HII KISHA BONYEZA SUBSCRIBE CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

Chapisha Maoni