MY EVA (15)

Zephiline F Ezekiel
MY EVA (15)
JINA: MY EVA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... Sasa inabid nikamuulze shangaz huenda anajua kitu....alisema eva.. Kwel..tuanze nanshangaz kwanza tupate angalau mwanga...alikazia danny SASA ENDELEA.. Baada ya wiki moja....eva alienda kwa shangazi yake...shangaz alifrah kumwona eva...usiku ulipoingia shangaz alimuulza eva... Mwanangu mbona kama hauko sawa...sabab ya zile skendo??....usijal mwanangu haya n mapito tu... Shangaz kunakitu nataka nikuulze....alisema eva.. Uliza mwanangu.... Hiv unajua lolote kuhusu kifo cha baba na mama yangu??... Shangaz maria alishtushwa na swali hilo...... Mwanangu eva mbona unauluzia kuhusu hili jambo ghafla?...aliulza maria Nataka kuifuatilia hii kes shangaz....alisema eva.. Eva....kwann unataka kuuchosha tena ubongo wako?...?hujakaa vizur tangu uzushiwe kesi ya mauaji...tena sasa iv..... Wala usijari shangaz... Kuhusu ile skendo mbona mm nishakua sawa....saiv nataka nishughulikie hili swala..alisema eva Mwanangu....hebu tulia...haya mabo yaach…