RANIA (17)

Zephiline F Ezekiel
RANIA (17)
JINA: RANIA Mtunzi: Teddy Mibaraka SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Yuko wapi hanna?.. Aliuliza Rania.. Nilimwacha usiku..Alisema Namadi. Waliita hadi wakachoka lakini hanna hakuitika.. Walijua labda anawachezea kamchezo tu.. Wakiwa bado wanashangaa mara walijikuta wamewekwa kati na watu waliovalia vinyago... SASA ENDELEA.. Rania alishtuka sana..kwenye habari za kupigana alikua sifuri kwa kwakweli. Namadi aliwahesabu wote na akacheka kidogo.. Namadi tunafanya nini sasa?..aliuliza Rania kwa woga..kwenye kufa hakuna ujasiri..😸 Namadi hakujibu chochote.. Aliwatembezea kichapo cha adabu...Namadi alikua mmoja wa wapiganaji walioaminiwa na mfalme wa lazi na ni mmoja wa mashujaa wa hiyo nchi..kwahiyo vibaka wadogowadogo kama hawa hawakumpa shida.. Aliwacharaza kama vile hawana mikono👊💪 Rania sasa..ni mwendo wa kujibana ukutani tu kama anampango wa kuingia kwenye ukuta. Namadi aliwapiga sana...walikimbia kwa kasi ya ajabu ila mmoja wao alikamatwa na Namadi. Binti mliemkuta humu ameenda wapi?...Namadi …