
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
Taratibu kiungo changu kikuu cha siri kikanyanyuka haraka uchu ukanitoka sasa na maneno yote ya mama na baba waliyoniambia yakanitoka baada ya kuona vile."Mmmmh huyu rozinta hakia ya Mungu simuachi...
SASA ENDELEA...
Kidume nikajisemea na kuapia mungu kimoyomoyo huku nikiuangalia mzigo wa rozinta ambaye kwa hakika alikuwa akifanya kusudi kwa sababu kuufunga ule mlango eti ulichukua kama dakika tano."Jamani mlango huu mgumu daah."rozinta akaniambia baada ya kufunga ule mlango lakini kilichonitia kimuemue ni baada ya rozinta kuufunga ule mlango kwa funguo kabisa akionyesha kabisa alikuja ndani ya chumba changu akiwa ameshajiandaa chochote kitakacho tokea.baada ya kumaliza taratibu akanisogea na kuniangalia mimi kwa macho ya kimahaba na mimi wala sikukwepesha macho nikamuangalia kwa hisia kali lakini nikajikuta nikiacha kumuangalia na kutabasamu baada ya kumuona rozinta kama anataka kusita kukaa vile.Mwanaume nilikuwa nimevaa kaoshi na boxer tu ndefu ndefu na nilikuwa nimeketi kwenye kochi ambalo lilikuwa na siti mbili bila ya hiyana rozinta akajisogeza taratibu na kukaa palepale na huku akiangalia naye tv na kusababisha usumbufu katika mwili wangu na kunipa shida kabisa hali iliyopelekea mpaka nichukue mto na kujiziba maeneo ya karoti yangu iliyokuwa imesimama kinoma baada ya rozinta kunigusa gusa na bega lake na kwakua alikuwa ametoka kuoga alisababisha nijisikie kiubaridi fulani.
"Hivi humu ndani hauna cd yoyote maana vipindi vya siku hizi katika television vinaboa kabisa kuangalia jamani."rozinta akavunja ukimya na kuniambia na taratibu nikanyanyuka bila ya kujibu mpaka katika sehemu ambapo kulikuwa kuna kitabu ambacho kilikuwa kimewekwa cd na kutokana mimi nilikuwa bado sijakikagua vizuri na vile cd alikuwa ameniwekea david nikakuchukua kile kitabu kisha nikamkabidhi rozinta ambaye alikipokea na kufungua kile kitabu.
"Haya chagua cd nzuri hapo tuangalia."Nilimsisitizia rozinta ambaye hakujibu chochote na akaanza kukagua kagua vile cd.hakika rozinta alijipanga sawasawa akaanza uchokozi wake huku akiwa anachagua cd ghafla akaanza kubadili badili mikao na kusababisha mashine yangu iliyopoa kiubuka tena.Macho yangu hayakukawia katika mapaja yake ambayo yalikuwa wazi na hakika licha ya yeye kuonekana kuona hali ile lakini alikaa vile wala hakujifunika kanga yake ile iliyojifunua ndio kwanza alikuwa bize kuchangua cd.Alitumia kama dakika tano kuchangua cd na alipoipata akanipa
"Hebu weka hii kava lake nimelipenda."rozinta akaniambia na mimi taratibu nikanyanyuka bila ya kukataa chochote lakini kunyanyuka kwangu nilinyanyuka na ule mto ambao nilikuwa nimeficha kiungo changu cha siri kutoonekana kama kimekasirika.baada ya kumaliza kuweka ile cd nikarudi kitini na kubonyeza play ambapo cd ile ikaanza kuonyesha na ilionekana ilikuwa ni movie ambayo ilianza na mapambano ya kutosha hali ambayo ilivuta hisia zangu na kujikuta nikiwa makini sasa na ile movie na kuacha kumuangalia rozinta ambaye naye alijifanya anaingalia ile movie huku akizidisha kukaa mikao yake ya ajabu na alikuwa kabisa atulii pale katika kochi.
"Hivi pablo nikuulize kitu??"rozinta akanikatisha umakini wangu wa kuangalia ile movie nakujikuta nikigeuka na kumuangalia yeye baada ya kuniambia anataka kuniuliza swali ambalo sikujua swali gani.
"Uliza tu usijali."
"Mmmmh kwanza punguza hiyo sauti ya tv maana usiku mwingi naona kama makelele."maneno ya rozinta yalianza kunitisha fulani vile kwa sababu alionekana kama mtu ambaye anataka kitu lakini aliogopa kusema moja kwa moja na aliponiambia vile sikuwa na sababu ya kubisha wala kuuliza nikafata rimoti na kupunguza sauti kisha nikahamia kitandani nimuangalie vizuri alikuwa anataka kusema nini.lakini baada ya mimi kuamia kitandani naye rozinta bila ya kunionea aibu akanyanyuka na kukaa kitandani na kuzidi kunipa wakati mgumu.
"Jamani mbona hivyo sasa mbona umenikimbia pale pablo??"rozinta akaniambia kwa deko huku akijisogeza karibu na kugusana kisha mkono wake akaupeleka katika mto ambao nilikuwa nimeugesha pale katika mashine yangu ambayo ilikuwa imesimama hadi nikawa naumia na kuzidiwa kabisa.
"Pablo nilikuambia nikuulize swali??"
"A...a..nha uliza tu nilishasahau kama ulikuwa unataka kuuliza swali rozinta."Nilimjibu rozinta vizuri huku nikiung'ang'ania mto wangu ambao rozinta alijaribu kutaka kuutoa pale nilipokuwa nimeuweka.
"Haya jamani hivi kwanini wanaume ni waongo"rozinta akaanza kuniuliza swali huku akinisogelea zaidi na mkono wake akaupeleka mpaka katika bega langu na mimi nikamuacha wala sikumuuliza.
"Mmmh sio wote maana hata wanawake wengi nao ni waongo ila kwanini umesema hivyo."
"Hamna nimekuambia hivyo kwa sababu maana ila basi bana sitaki kuongea sana hivi una mpenzi.??"
"Aaaaa mimi ni single boy mwezio nilisalitiwa na mpenzi wangu huko dar."
"Hee jamani yani na uhandsome wote huo msichana anatokea anakusaliti baby..ooo..ops sorry nimekuita baby pablo nisamehe."swaga za rozinta zilisababisha nishindwe kabisa kuvumilia na kujikuta nikijikaza sana bila ya mafanikio na kubaki nikimuangalia rozinta ambaye aliiona hali ile na kuona hiyo ndio nafasi yake ya kipekee na taratibu akapandisha paja lake la kulia katika sehemu ambapo mimi niliweka mto kisha akanishika kidevu na kunigeuza nimuangalie vizuri huku akiwa anapumua na kusababisha ule upepo alikuwa akipumua uliotoka katika pua zake na kuzidi kunisisimua na kujikuta nikimuangalia kwa hisia kali za kimapenzi.
"Pablooo nataka kukupa mwili wangu usinione kama mimi malaya lakini tangia nilipokuona mara ya kwanza nimekupenda na nakuhitaji uwe mume wa maisha yangu pablo me nakupenda naomba unikubalie"...........
Maneno matamu yakamtoka rozinta akaniambia mimi kwa hisia kali ambayo hata mimi maneno yale yaliniingia barabara masikioni mwangu.sikuwa naamini kabisa uzuri wa rozinta wote eti angenitongoza na niliona jambo geni kwa sababu sikutegemea jambo hilo kabisa maishani mwangu.hakika rozinta alikuwa mzuri sana kupindukia hata wanawake wangu wa nyuma wote niliowai kutembea nao akiongozwa na chiku hakuna aliweyeweza kuufikia uzuri wa rozinta kwa kila kitu kwa yale maneno yake yalisababisha nimuangalie rozinta ambaye alikuwa akisubiri jibu tu kwa shauku macho alikuwa ameyalegeza kama mtu aliyekula kungu.
"Jamani pablo uko kimya sana nijibu unanipenda au niondoke."rozinta akaniambia vile sasa kwa hasira na kutoa paja lake pale na kukaa kitandani kisha akajiegemea na kulalia mapaja yake na kuanza kulia.Licha ya kuwa hata mimi nilishakolea naye lakini nilikuwa mzito pia kumjibu jibu sahihi kwa sababu maneno ya david kwamba niangalie Morogoro ile kuwa si kila mwanamke basi nichukue tu iliniingia katika kichwa changu maneno ya baba na Mama pia yaliniingia Barabara baada ya kuyakumbuka uoga wa ghafla ukanikumba na hata mashine yangu iliyokuwa imesimama ikanywea taratibu baada ya kuyafikiria maneno ya wazazi ambayo yalikuwa sahihi kabisa kutoka midomoni mwao.
"Rozinta wewe ni msichana mzuri nakubali lakini mimi sitaki kukuchezea najua hata kama umekuja kuniambia unanipenda na hapohapo tufanye mapenzi mimi kufanya hivyo naogopa maradhi mengi siku hizi tutaaminiana vipi sasa."Nikajikaza kisabuni na kumwambia rozinta ambaye alinyanyua uso wake na kuniangalia huku akiwa analia jambo ambalo lilinishangaza pia kwa sababu mwanamke kunitamkia ananipenda na kutaka kusubiria jibu langu na kulia lilikuwa jambo geni kabisa.
"Sasa pablo wee unavyofikiria mimi nina ukimwi au mimi nipo salama na mwezi uliopita tu nilitoka kupima tu nakujikuta nipo safi kwa hiyo wewe usijali kwa hilo pablo najua wewe akili yako ishakupeleka mbali na kufikiria kwamba mimi ni kahaba kwa sababu nimekuambia nitakupa mwili wangu leo kumbuka sio hivyo ni nguvu ya mapenzi na si kitu kingine."rozinta akanijibu na kuzidi kunisisitizia kwa maneno yake ambayo yaliniogopesha flani lakini yalisababisha nitabasamu moyoni kwa sababu hata mimi nilikuwa tayari nishakolea na uzuri wa mrembo rozinta.
"Mimi leo sina cha kukujibu nakuomba tu acha nifikirie ro..."kabla hata sijamaliza sentensi yangu rozinta akanyanyuka kwa hasira kisha akajiweka sawa na machozi yakaanza kumtoka upya na bila ya kusema chochote akaanza kuutafuta mlango wa kutokea katika chumba changu.
"Rozinta...roziii weee....rozi."Nikaita bila ya mafanikio lakini rozinta akuruhusu kunijibu akaminya funguo kwa nguvu na kufyatua loki za mlango kisha akakunja na kitasa na kuufungua mlango kisha akatoka kwa hasira na kuubamiza mlango ule hadi kupelekea mimi kushtuka.
"Ooooh Mungu"Mikono yangu nikaipeleka kichwani na kushika kichwa changu huku nikisimama nikapiga hatua mpaka katika mlango na kuufunga.ilikuwa ndio siku ya kwanza katika maisha yangu kuacha mwanamke akitoka ndani ya chumba changu bila hata ya kufanya naye mapenzi hadi kujikuta nikijishangaa.
"Aiseee pablo mimi nimebadilika sana daaah eti nimemuacha hahaha siamini kabisa siamini kama nimemuacha rozinta tena akiwa na kanga moja wakati nilishaweka nadhiri kama lazima nitaduu naye."Nikajikuta nikijipongeza hakika niliyaona mabadiliko yangu kabisa maneno ya wazazi kiufupi yalionekana kufanya kazi kubwa kwa sababu katika enzi zangu nilikuwa na sheria moja tu ambayo mara nyingi wanaume wapenda sana kufanya mapenzi walikuwa na misemo kuwa demu akiingia magetoni hatoki.Siku hiyo niliwaza sana na kumfikiria rozinta mrembo ambaye alinitamkia wazi kuwa ananipenda na kujikuta nikichelewa kabisa kulala.Nilikuja kushtusha na mlio wa alarm niliyoiweka iniamshe na nilipoamka ilikuwa ni saa kumi na mbili na dakika arobaini asubuhi nikaamka haraka haraka na kwenda kuoga lakini nilipofika chooni nikakutana na rozinta ambaye naye alitoka chooni kuoga Nilimsalimia kwa ustaarabu wa mtu na yeye akaitikia vizuri tu bila ya hiyana lakini hakuniangalia usoni kidume nikaoga haraka haraka na kuelekea katika ofisi yangu na nilipoingia tu nakukaa kusubiria watoa pesa na wawekaji na walipiaji wa umeme na ving'amuzi.Mteja wangu wa kwanza kama kawaida alikuwa ni elizabeth mteja ambaye siku ya jana yake ndio yeye naye alikuwa wa kwanza akafika na kutabasamu huku akiniangalia mimi na mimi nikamuangalia kwa mapozi hali ambayo ilisababisha elizabeth aangue kicheko.
"Ndio nini sasa pablo nikakutumia messeji hukunijibu."elizabeth akaanza kuniambia nakubinua midomo yake akiashiria kuwa ameudhika na nilichomfanyia.
"Aaaa jamani nimesahau mwenzio kichwa changu kina mambo mengi nisamehe."
"Haya bana mimi nimekuja kumtumia mtu pesa hapa."elizabeth akaniambia vile kisha akanipa pesa na kunitajia namba za yule anayemtumia na mimi nikafanya hivyo kama alivyonielekeza baada ya kumaliza elizabeth akaegemea pale kwenye geti la ofisi huku akiniangalia.
"Vipi elizabeth."
"Aaaa nataka tupige story pabilo bwana nimeboreka peke yangu nyumbani."
"Aaanha ngojea nikupe kiti."Nikanyanyuka kisha nikachukua kitu kimoja na kumtolea nje elizabeth ambaye alikaa na tukaanza kupiga stori za hapa na pale huku tukiwa tunacheka na kila mtu kuonekana kunogewa sana na mazungumzo.
"Ila pablo wee mcheshi sana hadi...nime...."
"Enhe umefanyajee eliza."
"Aaaaa nikuambie kitu pablo."
"Enhe niambie elizabeth."
"Yani mwenzako nimetokea kukupenda kweli yaniii daaaa nakupenda napenda unipe nafasi niwe katika moyo wako."..........
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com