
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
"Ila pablo wee mcheshi sana hadi...nime....""Enhe umefanyajee eliza."
"Aaaaa nikuambie kitu pablo."
"Enhe niambie elizabeth."
"Yani mwenzako nimetokea kukupenda kweli yaniii daaaa nakupenda napenda unipe nafasi niwe katika moyo wako."..........
SASA ENDELEA...
Yalikuwa ni maneno ya elizabeth msichana ambaye ilikuwa ni siku mbili tu tangia nijuane naye hakika maneno yale yalinishangaza sana nikabaki namuangalia elizabeth ambaye alikuwa akiniangalia kwa makini huku akisubiri nitakachokiongea mimi kwa shauku kubwa sana."Unasemaje elizabeth.??"Nikajikuta nikimuuliza tena elizabeth kama vile sikuyasikia maneno yale aliyoyaongea kutoka katika kinywa chake.
"Jamani pablo kwani ukuyasikia nimeongea maneno mengi jamani tena kwa sauti pablo nihurumie."Elizabeth akaongezea na kuniambia uku akiweka uso wa huruma na kuonekana kabisa kukitaka kitu ambacho aliniambia.Nikajikuta nikitabasamu na kumuangalia elizabeth ambaye baada ya mimi kuachia tabasamu na yeye alikuwa na shauku kubwa.
"Mbona unatabasamu."
"Hamna nimefurahia tu vipi nikuambie kitu elizabeth mrembo."
"Nambie tu pablo niambie jamani me naumia."
"Wewe umenipendea nini mimi.??"
"Cha kwanza nimependea ustaarabu wako,utanashati wako jinsi ulivyo mcheshi na hata jana nilikuwa nakuwaza sana usiku tangia nilipokuona moyo wangu ulikuwa unanidunda sana hadi nikajishangaa unajua mimi nishatendwa na nataka wewe uzibe pengo ambalo linaniumiza moyo wangu."Maneno ya elizabeth yalisababisha mwanaume niinamishe kichwa chini kiukweli sikuwa hata na mpenda elizabeth na nilimchukulia kama rafiki tangia siku ya kwanza nilipomuona Maneno yale ya kwake yalisababisha pia nizidi kuchanganyikiwa kwa sababu ndio maneno ambayo hata rozinta alinitamkia.
"Hee huku morogoro kuna nini na mimi maana watu wanawake wawili ndani ya siku mbili tu wamenitongoza wenyewe makubwa."Nikajikuta nikiongea mwenyewe kimoyomoyo huku bado nikiwa nimeinamisha kichwa chini kutakafakari na kudadavua kwa kina maneno ya elizabeth.
"Pabloo."elizabeth akaita na safari hii nilipomuangalia uso wake ulikuwa na huzuni kubwa hata nilipoangalia katika macho yake niliona kabisa elizabeth kama alikuwa anataka kulia flani vile kutokana na alivyokuwa akiniangalia kwa huzuni.
"enhe nambie elizabeth."
"Me nataka unambie jibu langu."
"Aa...mmm.....elizabeth acha nifikirie kwanza."
"Aaaa jamani pablo ufikirie nini wewe mtoto wa kiume na wewe ufikirie kama mimi maana mimi nimefikiria sana kukwambia wewe ndio mwanaume wa kwanza kabisa kumueleza hisia zangu za moyoni na wewe hushangai siku mbili tu tumeonana nimekwambia nakupenda wee ushangai."elizabeth akaniambia kwa hisia kali zilizonifanya hata mimi nijikune kichwa changu.
"Kusema ukweli elizabeth mimi...Mwenzio nina Mwanamke mb..ona."Nikajikuta nikijibu kwa kususua na kumwambia elizabeth ambaye baada ya kusikia maneno yale akaniangalia kwa jicho flani hivi la kama mtu ambaye aliyekuwa haamini kile ambacho amekisikia katika masikio yake.baada ya kumwambia meneno yale taratibu elizabeth akanyanyuka pale alipokaa bila ya kuongea chochote kisha akaonekana kama mtu ambaye anatafuta kitu fulani hivi kutokana alivyokuwa akiangalia huku na huko na baada ya kuonekana kuridhika akageuka na kunipa mgongo kisha haraka haraka akaanza kutembea na kuondoka pale.
"Elizaaaa!!,weeeee elizabeth elizaaaaaaaaaa."Nikanyanyuka na kuanza kumuita elizabeth kwa sauti ya juu lakini akugeuka mwanaume nikatoka mpaka nje ya ofisi na kuanza kumuita kwa nguvu lakini ilikuwa wapi nikabaki nikimsindikiza tu kwa macho na kwa mbali nilimuona akipotea katika macho yangu baada ya kumuoma akikata na kona.Nikabaki pale nje nikikodoa kodoa macho na nilipogeuka geuka ghafla macho yangu yakatua kwa rozinta ambaye alionekana ni kwa muda mrefu alikuwa akiungalia mchezo ule baada ya kuniona mimi nikimuangalia naye taratibu akaanza kuondoka na hata nilipotaka kujaribu kumuita nikaganda mdomo ukawa mzito sana.
"Aaaaa sujui na kule nimeharibu."nikajikuta nikiwaza kwa mbali bila ya kutopata jibu baada ya kusimama pale kwa muda kidogo nikaona isiwe tabu mwanaume nikarudi ofisini kwangu nakuendelea na shughuli zangu kama kawaida.Hakika siku ile pia nilipiga kazi na wateja walimiminika si kidogo pesa iliingia mno sikutegemea kabisa hakika nilijiona nilikuwa na sura ya biashara kwani pesa zilimininika kweli kweli pale ofisi Mida ya jioni david akaja kama kawaida kuchukua mafao hakika na hata yeye akashangaa sana kwa sababu tangia hata yeye alipokuwa anakaa pale kufanya biashara ile hakuwai kuuza kama nilivyokuwa nauza mimi kwa sababu watu wengi walikuja kuweka hela sana na waliokuja kununua umeme nao walikuwa wengi kupita maelezo ukiachilia mbali na wale wa kulipa ving'amuzi ambao ndio walikuwa mmoja mmoja lakini pia na wao walimiminika siku hiyo.
"Aisee unanifurahisha wewe pablo hakika nakupenda sana kijana wangu yani tangia nikae mimi hapa sijawai.baada ya kumalizana na david akaniaga na kuondoka zangu nakuniacha nikifunga funga ile ofisi nilipomaliza nikaenda mpaka katika chipsi lakini wazo jipya likaniingia nikazama mfukoni na kutoa simu yangu nakutafuta namba ya rozinta kisha nikamuandikia messeji.
"Rozintaa mambo vipi mwenzio nina njaa nimechoka kula chips."Niliandika ile messeji na kumtumia ile messeji rozinta ambaye haikupita hata muda mlio wa Messeji ukaingia na mimi nikaifungua.
"Jamani nimepika wali mwingi na samaki pablo njoo nakuomba uje please njoo kwangu."Meseji ilirudi na kunifanya nitabasamu kwa furaha hakika nilijisikia raha kweli mwanaume nikarudi nyumbani kisha nikaoga na nilipomaliza mida ya saa mbili mbili nikafunga kwangu kisha kwa hali ya kuibia ibia nikazama ndani kwa rozinta ambaye aliniambia mwenyewe nisipige hodi niingie tu.Lakini baada ya kuingia tu nikajikuta nikiganda mwenyewe baada ya kumshuhudia rozinta akiwa amelala kitandani akiwa amevaa sidiria na nguo ya ndani tu na kufanya umbo lake lionekane kwa vizuri.hakika rozinta alikuwa ni hipsi nzuri kiuno chake kilikuwa kipana na kilibeba mapaja mazuri sana na hata nilipomuangalia niliganda pale mlangoni karoti yangu ikasimama haraka uchu ukaniingia.
"Karibu pablo."........
Rozinta akanikaribisha baada ya mimi kuingia nakuganda mlangoni baada ya kumuona akiwa amevaa chupi na sidiria tu na hata nilipoingia hakuonyesha hali yoyote ya mshtuko jambo ambalo lilinishangaza sana lakini nikajikuta nikijichekesha chekesha kisha nikakaa kwenye moja ya kochi kubwa pale kwake.rozinta akajinyanyua vile vile na kusababisha nyuma patikisike na kufanya maumivu yaendelee kisha akachukua kanga yake na kujifunga kuanzia kifuani mpaka katika mapaja yake na alipomaliza akasogelea mpaka katika sufuria sufuria na kuchukua sahani na kuanza kunipakulia chakula.wakati yote yakiendelea mimi nilikuwa kimya na rozinta naye alikuwa kimya pia hakuna kilichokuwa kinaongelewa.
"Unajua siku hizi Morogoro kuna joto sana."rozinta akavunja ukimya kwa kuniambia maneno yale huku akaninawisha mkono baada ya kuleta bakuli kubwa lenye jagi na kulinyanyua na mwanaume nikaweka mkono na kuanza kunawa maji yale.
"Aaaa kawaida ila dar pamezidi."Nilimjibu rozinta ambaye akanikabidhi chakula kwa kunisogezea na meza kisha akakiweka na kuniambatanishia na kijiko kisha akafungua kanga yake pale pale na kurudi kitandani na kujibwaga kama nilivyokuta na akachukua simu yake na kuanza kuandika andika na alionekana kama mtu ambaye alikuwa akiandika messeji.Nikaanza kula huku macho yangu mara nyingi yakiwa kitandani kuangalia mapaja ya rozinta makubwa makubwa hakika uchu ulinipanda mpaka kufikia kipindi ladha ya chakula kutoisikia ma kubaki nikimuangalia rozinta huku nikila kile chakula.
"Rozinta."Mwanaume nikaita na nilipomuita aliitika kisha akaniangalia huku simu yake ameweka pembeni.
"Unajua kupika mashaallah."Nilimsifia rozinta sifa zake na kusababisha atabasamu sana rozinta huku akiniangalia kwa macho ya kama aniitia vile.
"Jamani ahsante sana pablo kwa hiyo nafaa kabisa kuwa mke wa mtu maana nimechoka ubachelor."Rozinta akaniuliza swali ambalo lilinifanya niachie tabasamu kavu usoni mwangu.
"Jamani yes unafaaa kuwa mke wa mtu wewe kwa sababu mzuri unajua kupika unapika vinono sana aisee mpaka najisikia raha halafu nimeshiba vizuri."Niliendelea kumsifia rozinta ambaye alifurahishwa sana baada ya mimi kumsifia vilivyo.
"Rozinta hivi kwanini una mchumba mpaka sasa."
"Aaaaa Hamna pablo malengo tu ila Nashukuru Mungu nishapata mtu ambaye amenihaidi atanioa na tutaishi pamoja na leo hii amenithibitishia na hapa tunachat daaah nashukuru Mungu upweke umeondoka." Maneno ya rozinta yalipopenya katika masikio yangu nikajikuta mwanaume nikitumbua macho na nikayatumbua kweli kweli moyo yangu ukaanza kwenda mbio kuliko kawaida sikutaka kuamini kabisa kile anachosema rozinta kilikuwa ni ukweli mtupu nikajikuta nikinywea kabisa na hata kupoteza ladha ya kuongea na kujikuta nikiinamisha kichwa kufikiria sana.
"Vipi Pablo nini Mbona hivyo."rozinta akaniuliza kwa wasiwasi mkubwa baada ya kuona hali imebadilika ghafla na ukimya mzito ukaingia baada ya kuuliza swali na kujibiwa na majibu ya nyongeza.
"Aa....aaaa...k..umbe hongera Mungu amtupi Mja wake hongera sana."Kwa hali ya kusua sua nikamjibu rozinta ambaye jibu langu kwake aliangua kicheko cha uchokozi ambacho kiliniuma sana na almanusura nimtukane kwa kicheko kile.
"Jamani Ahsante pablo na wewe lini??."
"Mimi sijui lini tena maana kile nilichotegemea kimeshayayuka na sina budi kuanza upya."Nikamjibu rozinta kiunyonge huku nikiyaangalia mapaja yake kwa kuibia ibia.
"Me fala kweli yani daaah mtoto mtamu nimemringia."Nikajikuta nikijilaumu kimoyomoyo sana palepale na sikuwa na budi tena hakika niliona mkosi mpya umeshaingia.
"Jamani pole mtegemee Mungu utapata wanawake wazuri wapo wengi sana mbona wala usinyong'onyee na wala usijali kaka pablo."Rozinta akazidi kugongelea msumari kwa kunipa na pole ya nguvu huku akiniita na kaka juu jambo ambalo lilizidisha hasira katika moyo wangu hasira kali.Sikuwa tena na sababu yakukaa taratibu nikanyanyuka na kujiweka sawa huku nikimuangalia rozinta kwa unyonge huku na yeye akiniangalia mimi na kuzidi kunitamanisha haswa.
"Me naenda Bwana Ahsante kwa chakula kitamu kweli nimeinjoy."Nikamwambia rozinta ambaye hakujibu chochote kisha kiunyonge nikakiendelea kitasa nikiwa na lengo la kufungua nitoke niende kwangu.
"Pablooo."Ghafla kabla hata sijanyonga kitasa ambacho nilikuwa tayari nimeshakishika rozinta akaniita mwanaume nikageuka nyuma na kumuangalia nikamuona amesimama na mkononi akiwa ameshika karatasi kubwa nyeupe baada ya mimi kusimama akaninyoshea mkono na kunipa ishara nirudi pale sikuwa na sababu ya kukataa mwanaume nikarudi pale kwa upole.
"Kaaa kwanza pablo."nikaambiwa nikae wala sikubisha nikatii nikaa kwenye kochi kisha yeye akanikabidhi karatasi ile ambayo nikaipokea na kuanza kuiangalia ilikuwa imeandikwa nini.Nikakaribishwa na maneno yaliandika HIv and Aids na nilipoona tu vile nikagundua ilikuwa ni karatasi ya majibu ya upimaji wa ugonjwa hatari wa ukimwi hofu ukaniingia nikaanza kutiririka nayo huku mapigo ya moyo yakinidunda kama karatasi yangu "Negative"Nikalitamka lile nelo na katika ugonjwa wa ukimwi lilimaanisha kuwa rozinta alikuwa safi na wala hakuathirika nikajikuta nikitengeneza hali ya tabasamu nikatupa karatasi ile chini nikanyanyuka na kumsogelea rozinta ambaye alionekana kunisubiria.Bila ya uoga mkono wangu ukatua katika ziwa lake la kulia nikalibinya rozinta akaachia ukelele wa mahaba akanikamata shingo yangu na kunivuta zaidi mpaka katika mdomo wake ambao niliupokea vizuri na taratibu tukaanza kunyonyana ndimi zetu.......
TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO

USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com