AISEE KUMBE RAHA (24)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Pablo

SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Bila ya uoga mkono wangu ukatua katika ziwa lake la kulia nikalibinya rozinta akaachia ukelele wa mahaba akanikamata shingo yangu na kunivuta zaidi mpaka katika mdomo wake ambao niliupokea vizuri na taratibu tukaanza kunyonyana ndimi zetu.......

SASA ENDELEA...
Hali ya raha ikachukua nafasi yake pale rozinta kiukweli alikuwa ni fundi wa ajabu katika kunyonyana ndimi ndani ya muda mfupi msisimko wa ajabu ukaendelea kunikamata barabara hisia kali ziliendelea kunishika vilivyo na hata pablo wangu aliyekuwa amesimama dede aliendelea kuwaka kwa hasira na kuzidi kuongezeka.Mikono yangu ikianza kutalii sasa katika mapaja yaliojaa vizuri na nilipoyagusa niliendelea kusisimka vilivyo mtoto rozinta alikuwa na ngozi nyororo kupita maelezo kwa hali hiyo ilipelekea kidume kuchanganyikiwa kama chizi.utamu ukazidi kuongezeka kila sekunde sikuishia hapo nikasukumiza rozinta ambaye alidondokea kitandani na kuanza kucheka kwa haraka haraka nikavua shati yangu bila ya kujali vifungo vya shati vilikuwa vinachomoka au la uchu wa kutofanya mapenzi muda mrefu niliuona mwisho wake baada ya kuvua lile shati ambalo lilikuwa linavifungo na mimi nikalivua kama tshirt bila ya kujali vifungo vinavyotoka na mimi nikajitupa kitandani taratibu na moja kwa moja nikaanza kunyonya kitovu cha rozinta ambaye acha aanze kujinyonga nyonga sauti ya mahaba akaitolea puani na kuzidi kuongeza naksi naksi huku nikiwa na mnyonya kitovu na mikono yangu nikiwa nabonyeza maziwa yake yaliyojaa kwa wastani na kufanya yaongeze msisimko wakati unayashika taratibu nikaanza kushusha chini mkono yangu mpaka nilipofikia katika nguo ya ndani ya rozinta pale nilitulia nikaangalia kwa macho ikulu yake iliyotuna uchu ukanishika na kunikamata vilivyo na taratibu nikashika mikanda ya nguo yake ile ya ndani yenye rangi ya pinki huku rangi hiyo ikifanana na rangi ya sidiria yake aliyovaa na kujaribu kumvua ile nguo yake ya ndani.

"Aa....aa........si...taki b..waana."Rozinta akanizuia na kusababisha nishangae kidogo maana uchu ulivyokuwa umenikamata nilishangaa kidogo kisha nikajaribu tena kutaka kumvua lakini hali ilikuwa ile ile akakataa akanyanyuka na kunisukuma kidogo jambo ambalo sikulitegemea na niliona kama ndoto.
"Eeeee vipi tena baby wangu."Nililalamika na kumwambia rozinta ambaye alikuwa akiniangalia kwa hasira na kuzidi kunichanganya.
"Wee vipi nani baby wako.?"
"Aaaa una nini Mbona sikuelewi."
"Unielewi nini sasa nimekuambia sitaki "
"Aaaaa sasa hutaki nini rozinta jamani."
"Weee nimekukataza nini nimekuambia sitaki kufanya mapenzi maana sikuamini sasa hivi."
"Uniamini nini sasa jamani."
"Kama ulivyokuwa uniamini mimi na mimi sikuamini sasa mpaka ukapime na wewe ndio tutafanya." Maneno ya rozinta yalinifanya niachie pumzi ndefu huku na tabasamu la juu huku jasho jembamba likiwa linanitiririka kwa muda ule tu niliokuwa nafanya naye rozinta ambaye aligoma baada ya mimi kutaka kumvua nguo yake ya ndani.
"Sasa rozinta mimi niko safi salama salimini nilipotoka nimepema niko safi kabisa tufanye mwenzako nimezidiwa tufanye kidogo halafu twende nikakuonyeshe majibu yangu na mimi."Nikamwambia rozinta ambaye alipokea habari ile kwa kuachia msonyo ambao uliniweka wakati mgumu na kusababisha nimshangae kwa sababu sikuwai kumuona rozinta akiwa na hali kama ile ilikuwa kitu kigeni kwangu.

"Unaumwa wewe au kwanza naomba uende uniache nilale." Hakika niliona rozinta amenipatia siku ile na wala sikutegemea aliponiambia niondoke sikuwa na la kupinga nikanyanyuka pale kwenye kiti ambapo nilikuwa nimekaa wakati nilipokuwa nakula kisha nikachukua shati langu na kufata mlango nikiwa na lengo la kutoka.
"Pablo...."rozinta akaniita nikasimama na kugeuka na kumuangalia rozinta ambaye alikuwa akiniangalia.
"Pole na usiku mwema."Hasira zilizidi kunipa mwanaume baada ya rozinta kuniambia maneno yale ya kejeli lakini sikuwa na ujanja nikatoka chumbani kwake huku nikiwa na uchu mzito uliosababisha unisumbue nikaenda mpaka katika chumba changu huku nikiwa na hasira na uchu mkubwa ambao ulisababisha na Mambo aliyonifanyia rozinta ambayo sikuyategemea.Kama ujuavyo uchu ukiwa umebana sana nikaone isiwe tabu wala shida nikachukua kopo na sabuni kisha nikaweka na maji ya mengi nikatoka kuelekea chooni nikiwa na lengo la kwenda kupiga hata puchu ili nijiridhishe na nafsi yangu.

"Mmmmhhh oooossssss uiiiiii oooooo aiyaaaa uuuuuu uuiwuiii mmmmh aaaaaaa...."lakini Nilipofika chooni nikasikia sauti za miguno ya raha kutoka katika choo cha kwanza ambacho ukiingia maeneo ya chooni lazima uanzie hiko.Miguno ile ilinisisimua na kusababisha niweke ndoo yangu ya maji ile niliyoibeba kisha taratibu nikapalamia ule ukuta na kuanza kuchungulia mule ndani alikuwa ni nani.Macho yangu yakanitoka baada ya kuona samira yule msichana ambaye alikuja kunigongea chumbani kwangu nakunitaarifu kwamba nilikuwa naitwa ndiye aliyekuwepo katika choo kile akiwa yupo peke yake chooni na kwa wakati ule alikuwa akijiingiza mwenyewe kiungo cha siri cha kiume bandia katika ikulu yake na kusababisha mwanaume nitumbue macho na udenda kuzidi kunitoka kwa sababu sio siri yule samira ambaye alikuwa mtoto wa mama mwenye nyumba hakuwa mzuri sana ila alikuwa na shape nzuri na alikuwa akitamanisha balaa.Akili yangu ikaniruka na bila ya kuleta nikashuka chini pale nilipopanda kuchungulia na baada ya kutua chini nikashika kiuno changu na kushusha pumzi ndefu na kumwangalia pablo mwangu ambaye licha ya kuvaa taulo lakini bado alichomoza kwa hasira kali baada ya kukasirishwa na rozinta ambaye alinifanyia kitu ambacho sikukitegemea.

"Jeee niingie au."Nikajiuliza swali na uchu ndio ulipelekea niamue vile baada ya kutafakiri vile huku akili yangu ikiwa imeshavurugika nikakata shauri ya kuingia katika kile choo ili niende nikampatie dawa yule shamira ambaye uchu naye ulikuwa umeshika na kuamua kujiridhisha sasa mwenyewe kwa kutumia kifaa bandia
"Aaaaaaa ngojea nimshughulikie.".

Nikakata shauri ya kuingia chooni nikasogea karibu kabisa mpaka katika mlango lakini nilipotaka kujaribu kuufungua roho ikasita na hofu ikaniingia vilivyo na kujikuta nikishindwa kuingia.Hofu ile ilipelekea mpaka nichukue ndoo yangu kopo langu na sabuni na kuelekea chumbani kwangu huku kile nilichokipanga kwenda kukitimiza kule chooni nikikipuuzia kabisa.Hakika nilinyong'onyea sana siku ile na niliumia kweli kweli siku ile hali iliyopelekea mpaka usiku nilale kwa tabu.Hata hivyo siku inayofuata nilichelewa kuamka baada ya kuchelewa sana kulala kutokana na uchu ulizidi kipimo mpaka kupelekea kujichua mwenye kwa kutumia rosheni mpaka nilipofikia mshindo ndio nikapata na usingizi ambao ulikuwa mzito na kupelekea nichelewe kuamka lakini haikuwa tatizo kwa sababu hata nilipoelekea ofisini kwangu na nilipofungua niliendelea vizuri na biashara ile niliyokuwa nimeajiriwa na kufanya vizuri tu kwa sababu wateja wengi walikuwa tayari wameshanizoea na kunipenda.Mida mida ya mchana Nikamuona elizabeth kwa mbali akipita na wala siku ile hakuja hata kunipatia salamu kutokana na majibu niliyompa kumuuzunisha moyo.Hali ya upweke ukaniingia hadi na mimi kwa wakati ule na hata nilimtegemea rozinta labda angeweza kunitatulia haja zangu lakini na yeye maneno yake aliyoniambia kuwa yeye ana Mtu na amempa malengo ya kumuoa yaliponirudia kwa wakati ule yalininyong'onyesha na kunikera vilivyo.Siku ile nilipiga kazi mpaka jioni na david wala hakutokea alinipigia simu na kuniambia mzigo wote wa pesa nikae nao mimi kwamba yeye atakuja kuchukua kesho baada ya kumaliza kazi zangu nikaelekea nyumbani huku nikiwa na mawazo kibao na Nilipofika nikazama chumbani kwangu kisha nikalala.Nikaja kushtushwa na Mlango wangu ambao ulikuwa unagongwa sikujua nani nikaamka taratibu na kwenda kuufungua mlango nikakuta uso kwa uso na rozinta.

"Vipi niingie??"
"Unataka nini rozinta.??"
"Aaaaaa kuongea na wewe jamani."Nikamruhusu rozinta ambaye siku ile hakuvaa kanga moja alivaa dira lake ambalo lilimpendezesha vilivyo na kuonekana mrembo zaidi ya siku zote aliketi kwenye kochi nikifutiwa na mimi nilienda kuketi kwenye kochi nakumuangalia rozinta alikuwa amekuja na kitu gani kwa siku hiyo.
"Pablo nimekuja kukuambia samahani kwa yale yote ya jana yaliyotokea maana halikuwa kusudio langu kufanya vile ilikuwa sijui shetani alinipitia lakini kiukweli jana nilikunywa pombe ndio maana nikawa vile."rozinta akaniambia maneno yale ambayo yalinisabisha niyakumbuke ya jana na kupelekea niachie msonyo wa nguvu huku hasira zikinirudia baada ya kuyakumbuka yale aliyonifanyia rozinta.
"Kawaida nishakusamehe mbona kawaida najua ulilipiza kisasi."
"Hamna pablo me nisamehe sitarudia na kumbuku nakupenda."
"Hee na mwanaume wako uliyesema anakuoa vipi.??"
"Nilikuwa nakudanganya na kukutania please nakuomba unisamehe pablo."
"Nishakusamehe."
"Je unanipenda maana mimi nakupenda nataka uwe mume wangu."Maneno ya rozinta kwa namna moja ama nyingine yakaibua raha zangu mpya na kusababisha nitabasamu na kumuangalia rozinta kwa macho ya kimahaba huku furaha yangu ikiongezeka.

"Rozinta nakupenda pia nakupenda sana." Rozinta baada ya kusikia maneno yale akanisogelea mpaka pale katika kitanda na kukaa katika mapaja yangu na kunipelekea mdomo ambao nikaupokea nakuanza tena kunyonyana denda lakini nilipojaribu kumshika kifuani akanigomea.
"Pablo ukitaka tufanye hivi baby nataka wewe ukapime kesho jumapili si ofu."
"Aaaaa poa kesho tutaenda kupima usijali bby."Nikamuahidi rozinta kwamba tutaenda wote tukapime huku nikiwa na hofu kwa sababu tangie nifanye mapenzi na suzan kipindi kile sikuwahi kwenda kupima.baada ya kupiga sana stori mimi na rozinta ambaye kwa wakati huo tukawa tayari tushakuwa mtu na demu wake akaniaga na kuondoka zake na kuniachia mabusu mazito mazito yaliokonga moyo wangu kwa kweli na yaliniacha kwa wakati mgumu sana lakini nikajitutumua kuvumilia.Kama tulivyopanga asubuhi kulipokucha niliamka mapema na kumpigia simu david.

"Inakuaje broo."
"Poa pablo unaendeleaje leo off mwanangu kwa hiyo si utakuwa nyumbani tu maana sijui kama leo nitakuja shemeji yako amenibana sana pablo."
"Hamna mimi leo natoka kaka."
"Hee unatoka?? Hahaha unapajua wewe Morogoro mpaka utoke au ushapata pua unaenda kulibatua morogoro hii siku hizi imebadilika tumia kinga."
"Aaaa natoka na dada mmoja kasema nimsindikize na anataka kunionyesha mazingira huku siunajua nishatengeneza marafiki wa hapa na pale kaka."
"Aaaa sio mbaya ushauri wangu usiruke kavu nitaendelea kusisitizia ila usipotee mimi nitakuja kesho ila mzigo wa pesa upo salama"
"Ndio mkuu."
"Chukua kidogo pesa na wewe ukatanuue mdogo wala usijali." Nilimalizana na david jamaa ambaye kwa kweli amenisaidia sana mpaka nilipofikia pale na alikuwa ni bosi wangu ambaye pia alikuwa rafiki mkubwa wa baba yangu na ndiye aliyenisaidia kuificha aibu yangu iliyonikumbuka katika jiji la dar.Baada ya kujiandaa mimi na rozinta tukatoka kisiri siri yani mimi nikaanza ikifuatiwa na rozinta aliyekuja baadae kama dakika tano kwa sababu tulikuwa tunataka tusijulikane pale kama labda tuna mawasiliano kuogopa maneno ya watu ambayo labda wangechukulia katika mtizamo tofauti.Safari yetu ilikuwa ikieleka katika kituo cha afya kwenda kupima afya zetu mimi na rozinta ambaye alikubali tena naye akipima ili anithibitishie kama yeye alikuwa mzima kabisa.Tukachukua bajaj na kuelekea katika kituo cha afya na haikuchukua hata lisaa limoja tukafika katika kituo cha afya na kusababisha mwanaume nianze kuwa na uoga uoga mkubwa sana kwa sababu ilikuwa ni kipindi kirefu mimi kupima afya yangu na Nilipokumbuka nyuma kuwa idadi ya watu wengi niliotembea nao ambao walihesabika kama Chiku,suzan na mama chiku pia catherini ambaye nilimlewesha kabla sijafanya naye wote nilifanya bila ya kutumia mpira maalumu ambao mara nyingi jamii inashauriwa kuitumia kuzuia Mimba na hata magonjwa ya hatari ya ngono ikiwepo na ukimwi.Tukafika mapema na licha ya kuwa jumapili na wala hatukukuta foleni tukaingia na kupokelewa vizuri tu na mama ambaye ndio alikuwepo pale katika kile kituo cha afya.
"Karibuni wanangu nimependa mmekuja pamoja na wawili ili kuja kuangalia afya zenu ni vizuri kwani nyie si mtu na mpenzi wake.?"
"Ndio mama."aliuliza yule mama na kujibiwa kwa mbwembwe zote na yule na rozinta lakini mimi sikujibu mzuka uliisha kabisa hofu ilizidi kutanda moyo ulikuwa unanidunda.Yule mama hakuongea Mengi akaitwa rozinta na kuingia na yule mama katika chumba maalumu na kuniacha mimi pale ndani tulipoingia na kuniwekea picha za mambo ya ukimwi kama wanavyofanyaga katika vituo vya afya.wakachukua kama dakika kumi rozinta akatoka na kuniambia mimi mama yule ananiita sikupinga nikaondoka na kuingia ndani nilikaribishwa vizuri na yule mama ambaye pia alitabasamu sana baada ya kuniona.

"Karibu uketi kuwa huru na hapa Mwanangu jisikie upo Nyumbani eee."
"Sawa mama."
"Naomba kidole chako."Yule mama akaniambia na mimi nikanyoosha mkono wangu wa kushoto na yeye akanikamata kidole changu na kunipaka spirit kisha akanichoma sindano na kisa akaichukua kioo na kuchukua kioo kisha akabinya kile kidole sehemu alipopachoma ambapo palikuwa panatoka damu aliporidhika na damu iliyodondokea katika kile kioo akaniachilia na pamba katika sehemu aliponichoma.

"Haya nenda kijana wangu tufanye uchunguzi kisha majibu tutayatoa mkiwa wawili wewe na mpenzi wako."yule mama aliniambia mimi nikanyanyuka na kutoka nje na kwenda kukaa na rozinta ambaye alikuwa ananishika shika mikono yangu na kuniongelesha na kunipigisha stori ambazo nilikuwa wala sitoi ushirikiano.Hofu kubwa ilikuwa ndani ya moyo wangu moyo ulizidi kudunda mpaka kufikia sehemu kutaka kuondoka ilikuwa hofu ya kuambia mimi muathirika ndio ilichukua nafasi yake kwa sababu ya kufanya mapenzi na watu wengi.lisaa limoja na nusu likapita yule mama afya ambaye baada ya kutochoma sindano hakutoka sasa akatoka akiwa katika hali ya umakini katika uso wake.
"Haya wanangu nawaombeni wote muingie ili myapokee majibu yenu.".......

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA ISHIRINI NA TANO

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)