MAMA MWENYE NYUMBA (59)

Zephiline F Ezekiel
0
Mwandishi: Mbogo Edgar

SEHEMU YA HAMSINI NA TISA
Sasa leo alipo mkuta kwa bahati mbaya Edgar huku bafuni akaona ndiyo nafasi ya pekee ya kupata dudu, “ok baadae chumbani kwangu sawa?”

SASA ENDELEA...
Hapo Edgar alisema hivyo akijuwa kabisa mda mchache ujao atakuwa na mama mwenye nyumba, nakumfanya yule binti akose muda, “sawa usichelewe,” alisema yule binti akisogea kwenye sink la choo na kuchuchumaa kisha akaanza kukojoa huku Edgar akishuhudia na dudu yake ika simama, kwa matamanio, lakini akajiwazia yeye mwenyewe, “wacha nimtunzie mwenyewe” Edgar alimshuhudia yule binti akishusha gauni lake huku bado hupi ameishika mkononi, akafungua mlango wa bafuni nakutoka nje, hapo Edgar akaufunga ule mlango na kuweka na komeo kabisa

“Mshenzi sana huyu mtoto” alijisemea Edgar, ambae mpaka sasa alikuwa haja onana na dada yake mkubwa, uso kwa uso zaidi walipishana pishana, mle ndani huku dada yake akishinda chumbani masaa yote, Edgar alimaliza kuoga na kutoka bafuni, alipita pale sebuleni hakumwona shemeji yake bwana Kazole, ambae alimwacha hapo sebuleni wakati anaingia bafuni, lakini TV bado ilikuwa ina onyesha, akaelekea chumbani kwake lakini ile anafungua mlango tu! akasikia vishindo ya mtu akitoke kwenye kolido la upande wa humba cha dada yake akasimama na utazama akijuwa ni dada yake

Lakini akuwa yeye, alikuwa ni bwana kazole amesha valia vizuri nguo alizo nunua jana yake kwa fedha alizopewa na mzee Haule, “naona unatoka kidogo” aliongea Edgar akifungua mlango wa chumbani kwake, huku akimshuhudia shemeji yake akistuka kidogo, kama hakutegemea kukutana na Edgar, “yaaaa! kunamtu naenda kumwona kidogo, huko mjini” alijibu bwana kazole huku akikwepesha macho yake yasikutane na macho ya Edgar, “ok! ningekuwa nime jiandaa tunge ongozana, poa baadae shem” aliongea Edgar huku akuingia chumbani kwake, lakini alishindwa umwelewa shemeji yake kwa hali aliyo mwona nayo, maana alionekana kama ni mwenye wasi wasi sana

Ile Edgar anaingia tu chumbani akatazama kitandani, macho yake yaka mshuhudia yule binti wa kazi akiwa ame lala chali kitandani huku gauni lake amelipandisha mpaka kifuani na miguu kaitanua, nakuruhusu kitumbua kionekane waziwazi, “unafanya nini huku?” aliuliza Edgar huku akijitahidi kkupambana na kishawishi kile, maana alijuwa endapo ata mgusa yule mwanamke, itakuwa chanzo cha kuendelea kuitaji dudu mala kwamala, na ukizingatia Suzane yupo njiani anakuja na amesha msomea mashtaka ya kuwa anademu mwingine ambae mapaka sasa haja juwa analengwa nani, kati ya sophia au mama yake

“Si ulisema tuje tufanyie chumbani? alisem yule binti akiwa bado yupo kitandani, “siyo sasahivi baadae bwana ebu toka watakukuta wazee” alisema Edgar huku akitama pembeni akikwepa kutanza lipyanda, la binti wa kazi, “ingiza kidogo bwana alafu baadae tutamalizia” yule binti aliongea kwa sauti ya kubembeleza, “nimesha oga bwana, alafu mda umeenda, tutafanya baadae” aliongea Edgar kwa sauti ya kubembeleza huku akielekea kwenye meza aliyo weka simu yake, ilikutazama mda, lakini simu akuwepo, ata chajapia aikuwepo, na pia kulikuwa na elfu hishilini na saba pale mezani nayo aikuwepo, Edgar akamtazama yule binti, akataka kumwuliza, lakini akasita kwanza akapepsa macho sehemu zote mle chumbani wakati mwingine akitafuta kwenye mifuko ya suluali, lakini hakuona simu wala chaja, “kwani unatafuta nini?” aliuliza yule binti, ambae alikuwa anajiinua toka kitandani, nakusimama chini

“Simu yangu siioni niliiweka hapa” aliongea Edgar akionyesha juu yameza, akamtazama yule binti, “mh! ulipo toka kwenda bafuni uliiacha hapo hapo?” aliuliza yule binti akivaa chupi yake mbayo muda wote alikuwa ameishika mkononi, “ndiyo kwani wewe huja ikuta hapa mezani?” aliongea Edgar akiwa anamtilia mashaka yule binti, “nilijuwa tu! maana uingiaji ule si wakawaida” aliongea yule binti akimtazama Edgar, “unasema kuna mtu aliingia huku chumbani?” aliuliza Edgar akimkazia macho yule binti ambae alikuwa anatazama chini kwa kiaibu flani, kwa kitendo alicho fanya cha kuanika kitumbua pasipo kuliwa, “nikikuambia tuta fanya” aliuliza yule binti

“Yani ata husipo niambia lazima baadae tutafanya,” aliongea Edgar kwa msisitizo na kumfanya yule binti aanze kuropoka, akisimulia jinsi alivyo mwona bwana kazole alivyo kuwa anaingia chumbani kwa Edgar, “ok! poa we nenda nikirudi tuta fanya au sio” aliongea Edgar akimtoa yule bunti tika chumbani kwake, alipo akikisha amesha toka akajifungia chumbani kwake na kuinama chini, pembeni ya kitanda chake, akaingiza mkono chini ya kitanda na kuibuka na begi lake la mgongoni, akainuka nalo na kulifungua akachungulia ndani yake, akaona nguo zake zipo pale juu akatoa nguo zote zilizopo ndani ya begi, akatazama tena ndani ya begi huku mapigo ya moyo yakimwenda mbio

Ni kweli bwana kazole aliingia kwa lengo la kufwata fedha mle chumbani kwa Edgar akiamini kuwa lazima huyu dogo atakuwa amekuja na fedha ya maana, pasipo kujuwa kuwa yule binti wakazi anapita pale sebleni, bwana Kazole aliingia chumbani kwa Edgar nakuanza kuangaza macho kuangalia lile bego alilokuja nalo Edgar, lakini hakuliona, alichoambulia ni fedha zilizo kuwa juu ya meza kisi cha Tsh elfu ishilini, sambamba na simu na chaji yake

“Vinatosha, mpaka nitilie mashaka hapa amesha chelewa, kwani shemeji yake anaiba?” alijisemea bwana Kazole, huku akipata tamaa yakuendelea kutafuta zaidi lile begi la Edgar, lakini akastuliwa na kelel za kufungwa kwa mlango wa bafuni, akatoka haraka sana, kisha akaelekea chumbani kwake, akajiandaa haraka kwaajili ya kutoka, lakini akashangaa kumwona Edgar ndio kwanza alikuwa anatoka bafuni, “mh! sasa nani yule alitoka mida hile” alijiuliza Bwana kazole uku wasi wasi wake isije kuwa amesha mwona, lakini kwajinsi walivyo agana aligundua kuwa Edgar hakujuwa lolote juu ya uaribifu alioufanya

Hapo bwana Kazole akaanza safari kuelekea kwa mzee Kalolo kwenda kuuza ile simu, “ bada ya kuakikisha kuwa fedha zake zipo Edgar akachomoa fedha kiasi cha laki moja toka kwenye fedha zake za kwenye begi lake kisha akalirudisha uvunguni, “mh! inawezekana kwli shem akawa ameniibia imu yangu,” aliwaza Edgar wakati anavaa, maana alimwona yule binti wakazi akitoka chumbani bila kitu chochote, “ila kama ni yeye, sijuwi nitamfanyaje?” alisema Edgar akiwa amejaa kwa hasira, “ndio maana alikuwa tofauti sana nilipo kutana nae hapo kwenye korido” alikumbuka Edgar, ambae baada yak umaliza kujiandaa alitoka chummbani na kuwaaga wazazi wake kisha akasogea kwenye kituo cha dala dala, tayari kuelekea airport kumpokea Suzan

Saa nane na robo Seline alikuwa maeneo ya Air port ndani ya gari lake akisubiri ndege kutoka Dar iliampokee Suzan, pale uwanjani kulikwa na watu wachache ambao walikuwa wanawasubiri wageni wao, Seline akiwa ndani ya gari lake anachezea simu yake, akiwasiliana na rafiki zake aliendelea kusubiria ndege, wakti mwingine alikuwa ana tazama huku nahuku kuwaangalia wenzake ambao wamekuja pia kuwapokea wageni wao, wakati anapepesa macho huku nahuku, mala akamwona kijana mmoja alie valia kikawaida tu, lakini alivutiwa na umbo lake, likuwa mrefu kidogo mwenye kifu kipana na sura ya tulivu, japo yule kijana alionekana kuwa mwenye mawazo mengi sana, alikuwa amesimama karibu kidogo na gari lake, Seline aka inua simu yake na kuweka upande wa camera kisha akai zoom huku akiielekezea alipo simama yule kijana

“Mh! nimzuri yule mkaka” aliwaza Seline ambae ni mwezi wa nne sasa ajamwona mpenzi wake wala kupata dudu, kutokana na mchumba wake ambae ni mwanajeshi, wa kambi moja pale mmjini Songea, kusafiri kiazi nje ya nchi kwenye shughuli za ulinzi wa amani, “mbona kazi hipo mpaka mwaka uishe nimesha nyooka” alijisemea Selina aiitoa simu yake kwenye camera bilakupiga picha atamoja, mala mlio wa ndege ukaanza kusikika, na watu wakaanza kusogea sehemu ya mapkezi karibu kabisa na kituo cha daladala na Taxi, Seline akiwa ametulia ndani ya gari lake alimwona yule kijana akisogea kwenye kundi la watu, akionyesha kuwa nayeye alikuwa anamsbubiri mtu, mala yule kijana akapotea machini mwake, akiwa amesha potelea kwenye kundi la watu

Selina aliendelea kusubiri palepale akiishuhudia ndege ikianza kugusa ardhi na kutililika usawa wa barabara za kurukia, kisha ikapunguza mwendo na kusimama, ilitumia dakika kama kumi hivi mpaka abiria kuanza kushuka, kwambali alimwona, Suzan japo ni mdamrefu ulikuwa umeshapita toka waonane na Suzan kubadirika sana nakuzidi kuwa mzuri kuliko alivyo kuwa chuo, lakini alimtambua haraka sana, hapo hapo Selina akabonyeza simuyake na kuipiga kwa Suzane ambe alishindwa kwenda kumpokea begi lake dogo, na mifuko flani flani aliyoibeba sambasamba na kimkoba cha mkononi, (hand bag) kutokana na askari kuzuwia watu wasi vamie uwanja nkusubiri kule kule pembeni hii kutokana na uwanja huu kuwa umejengwa kienyeji sana, Suzan alipokea simu na Selina akamwelekeza gaari lake lilipo, Suzan akaliona na kuli fwata, elina akashuka kwenye gari na kwenda kumsaidia mizigo, nibaada ya kuvuka uzio wa polisi

“Waooo atmae umefika best” walikubatiana kidogo, wakaongea mawili matatu huku wanapakiza mizigo kwenye gari kisha safari ikaanza, lakini wkati wanaanza kuondoka wakilivuka kundi la watu, Seline akameona tena yule kijana “da Suzie umemwona huyo kijana?” alisema Seline akionyesha kwenye kundi la watu, Suzan nayeye akatazama na kumwona yule kijana, moyo wake ukapiga ‘paaa’ “yani umbo lake lime fanana na mchumba wangu,” alisema Selina huku akitabasamu, huku wanapita nakukamata barabara ya kuelea mjini “Edgar yule” alisema Suzan, kama anaota vile, “unasema yule ni Edgar mchunba wako?” aliuliza Seline huku akisimamisha gari kwa ghafla

“Sasa una simama kwaajili gani?” aliuliza Suzane kwa mshangao, “si tumfwate mchumba wako” alisema Seline akijiandaa kugeuza gari, “hapana tutakutana nae jioni tukienda kwao,” alisema Suzane akitoa simu yake na kumpigia Edgar, lakini simu aikupatikana, “unaona sijuwi anamaana gani kuuzima simu” alisema Suzane akirudia kupiga simu ya Edgar mala kadhaa bila mafanikio, “labda itakuwa imeisha chaji” aliongea Seline akijaribu kumpooza rafiki yake, alieonyesha kunyongea kwa kiasi flani, “Ameichaji tokea asubuhi, sasa imeisha saangapi?, si asemetu kama ataki niende kwao” alisema Suzane kw manung’uniko, “tena nikuambie best wanavyo kutamani kukuona, yani kila siku nikikutana nao, watakuja lini kutusalimia”

NAOMBA SAPOTI, KUNA MATANGAZO(ADS) YANAJITOKEZA KWENYE APP YETU, LIMOJA LINAJAA KWENYE KIOO CHAKO JINGINE LINANG'ANG'ANIA HAPO CHINI KABISA, BONYEZA JAPO MARA 2 AU 3 KILA UKIFUNGUA SIMULIZI HIYO ITANIPA NGUVU YA KUENDELEA ZAIDI NA SIMULIZI ZETU🙏🙏

TAZAMA KICHEKESHO HIKI KISHA BONYEZA SUBSCRIBE ILIYOPO CHINI YAKE WAKATI TUKIELEKEA KWENYE MUENDELEZO



USIKOSE SEHEMU YA SITINI

Maoni, Ushauri na Chochote Share Namimi Katika Mawasiliano Haya:
+255 718 274 413 Ipo WhatsApp
+255 764 339 438
ZephilineEzekiel@Gmail.Com

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)