MAGDALENA (4)

Jpt
0

JINA: MAGDALENA
Mwandishi: Isack Kalindi

SEHEMU YA NNE
ILIPOISHIA...
kabla hawajaanza mchezo wao upya tena walishitushwa na hodi iliyo kuwa ikigongwa mlangoni kwa Magdalena

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
mlango wa Magdalena ulizidi kugongwa kwa kasi, ukiambata na sauti iliyo msihi sana afungue kuna, tatizo , Magdalena aliitambua ile sauti ilikuwa ya mwalimu Joka, alijifunga kanga kisha na kwenda haraka haraka kumfungulia mlango '' kuna shida baba John, anamtafta mwanae, baada ya kumuona shule hayupo, alafu na wewe haupo, kaamua kuja kwako, mwambie 

John aondoke mkikutwa itakuwa bonge la balaah hapa kijijini, '' aliongea mwalimu Joka bila kumpa nafasi madam Magdalena, ya kuongea, upesi upesi, Magdalena alitii maneno ya mwalimu Joka akaenda kumwambia John aondoke, kwa maana baba yake alikuwa njiani anakuja, John alivaa nguo zake haraka haraka, kisha akaanza kutembea haraka haraka, akielekea shule, maana muda wa kutoka darasani ulikuwa bado, mwalimu Joka baada ya kuhakikisha 

John katoka akaingia ndani kwa madam Magdalena, kisha akaanza kumwambia '' inabidi tucheze mchezo ili wasikundue wewe jifanye kuwa ni mpenzi wangu, baba yake John atakavyo kuja hapa ajue tuna mahusiano, nadhani ataamini sana '' alisema mwalimu Joka, '' ni kweli lakini iwe ni uongo tu, isije ikapitiliza '' alijibu Magdalena, '' mimi nafanya ivyoo kukusaidia wewe tu, maana ukinizengua hapa, naweza sema ukweli kwa mwalimu mkuu, nadhani watakuamisha na John utakuwa umemkosa '' aliongea kwa kujitamba mwalimu Joka, '' una maana gani kusema ivyoo?? '' aliuliza madam Magdalena
...................
Kabla mwalimu Joka hajajibu kitu, walishitushwa na hodi iliyo kuwa ikigongwa mlangoni kwa Magdalena, mwalimu Joka alisema '' huyu ni baba yake John tu, nilijua lazima atakuja '' alisema mwalimu Joka, uku akivua sharti na kwenda kifua wazi kufungua ule mlango, alikuwa baba John,

''vipi mzee kuna shida gani '' aliuliza mwalimu Joka uku akipekecha macho yake mithili ya mtu aliye toka usingizini,

''samahani sana, nadhani nitakuwa nimekosea, maana kuna mtu aliniambia John yupo hapa '' alisema baba John,

''John aje kufanya nini hapa?, hapa ni kwangu hawezi kuja huyo mtoto wako, bila kazi ya muhimu '' aliongea bila wasiwasi mwalimu Joka,

Taratibu baba John, anaamua kurudi nyumbani akiamini amekosea yale maneno watu walio mwambia mtaani kuwa mwanae anatembea na mwalimu ni uongo mtupu '' nimempiga mwanangu bila kosa, na kumdhalilisha, wakati huyu mwalimu kasha olewa '' alilaumu sana maamuzi yake mzee John.......
......
''Unaona sasa maisha yako yapo mikononi kwangu ukinizengua tu nasema ukweli '' aliongea mwalimu Joka uku alimsogelea madam Magdalena aliye kuwa kakaa kitandani.......................

Mwalimu Joka alitulia kimya alichezesha kiuno chake kama anakirudisha nyuma kutokana na msisimko aliokuwa anaupata,baada ya kumushika madam Magdalena '' usijali jamani mtoto mzuri'' alisema mwalimu Joka uku akisogeza mdomo wake kwenye masikio ya madam Magdalena ,,,mwalimu Joka aliendelea na zoezi la kama ana mnong'oneza madam Magdalena kwenye masikio yake yaliyovikwa hereni nzuri za kung'aa,,lakini mama 

Magdalena alijikuta akisisimka mwili baada ya mwalimu Joka kumwingiza ulimi masikioni kitu ambacho hakutegemea,,,kumbe mwalimu Joka alikuwa ni mtundu hatari,,,na muda wote huo alikuwa akiigiza sura ya upole ,,,alipohakikisha kuwa madam Magdalena anahitaji mashine aliushusha mkono wake mpaka kwenye kitovu cha madam Magdalena kilichoingia ndani na kukichezea huku akishuka mpaka kwenye bustani iliyopaliliwa vizuri na kufanya kama anaupandisha mkono wake juu kuelekea kwenye kitovu na kuushusha,,,madam Magdalena hakuamini macho yake kama mwalimu Joka alikuwa mtundu hivyo,,

Mwalimu Joka aliendelea kuuingiza ndani zaidi mkono wake na kukutana na buyu la asali la madam Magdalena, ambalo tayari lilikuwa limeanza kutoa maji ,,,mmmmh,,,mwalimu joka,,,ende,,,lee,,eeeaaa,,,mkono wa mwalimu Joka ulipokifikia kwenye nanilii ya madam Magdalena ,,kidole kile cha matusi ndicho mwalimu Joka alichokiingiza ndani ya nanilii ya madam Magdalena na kuanza kumsugua kwa kukiingiza na kukitoa huku zoezi lake la kuyanyonya masikio ya madam Magdalena likiendelea kwa kasi,,,aaaah,,,oooh,,aaaah,,alilalamika madam Magdalena huku moyo wake ukikubali kuwa mwalimu Joka ni fundi anaweza,,

Kwavile Magdalena alikuwa amevaa kanga moja, haikumpa shida mwalimu Joka ambaye tayari aliishusha suruali yake na kuacha mkuki wake nje tayari kwa vita kali, likiwa huru limesimama wima kama Ndizi mti ,,,madam Magdalena alijikuta akiishiwa nguvu kutokana na kuchezewa nanilii yake, hivyo mtu mzima alibakia amelegea haswa,,,,

Mwalimu Joka hakufanya ajizi,,alimlaza madam Magdalena kitandani, na kumwingiza mkuki wake, ulio kuwa ukimkuna ipasavyo, ambapo Magdalena alibakia akiweweseka kimahaba,,,aaaaah,,,,mwalimu Joka ,,,,uuuu,,uuu,,,ooooh,,,mmmmh,,aaaaisssssss,,Joka alikazana kupampu kwa kasi juu chini,,,huku akiitafuta G spot ya Magdalena ,,,,alipoigusa alishangaa hata Magdalena mwenyewe kubadilisha kilio cha mahaba,,,aliisugua kwa kasi mpaka Magdalena akamwaga,,,,baada ya kumwaga naye alimpa sapoti Joka kwa kukizungusha kiuno chake kama anakipeleka juu kuitafuta mashine ya Joka na kukishusha chini,,,alifanya hivyo kwa muda wa dakika mbili Joka naye akaja,,uuuuh,,aaaaah,,,ooo,,,akamwaga uji wake,

Baada ya kuvunja amri ya sita kwenye nyumba ya mwalimu Magdalena, mwalimu Joka alivaa nguo zake haraka haraka kisha akaanza safari ya kurudi kwake kwani tayal muda ulikuwa umeisha kimbia mithili ya usein bolt, '' kwa nini nimefanya naye jamani?? John akijua itakuwaje??? '' alijilaumu madam Magdalena baada ya kufanya mapenzi na mwalimu Joka,,,,

Katika shule ya msingi ya ya magadu iliyopo mkoa wa morogoro, siku ya ijumaa huwa ni siku maalumu kwa ajili ya kufanya usafi pamoja na michezo, ambapo mbuge aliweka sh milion moja, kwa bingwa atachua, baada ya kumaliza usafi mpambano mkali wa mechi kati ya shule ya magadu na shule ya natamba, ndo ulikuwa mpambano wa ufunguzi wa mechi.. uku shule ya magadu ikimtegemea star wao John ambaye alikuwa makini sana akiwa na mpira, hiki ndo kilimvutia Magdalena mpaka akaamua kutembea na mwanafunzi wake...

John kama kawaida yake, siku hiyo alikuwa namba kumi (10)mgongoni jezi namba kumi aliipenda sana na hakutaka kubadilisha

Kijana huyu alionekana uwanjani akipasha misuli yake moto taratibu kabla ya mechi kuanza na alikuwa kivutio kikubwa cha mashabiki. Kila mara mashabiki walilitaja jina lake kutokana na sifa alizojizolea kwani mechi iliyo pita aliifungia goli 3 team yake ya shule na kuondoka na ushindi wa goli 3 kwa mtungi

Mbali na john, kalindi pia alikuwa moto wa kuotea mbali humo uwanjani. Kila mara alifanya manjonjo ya kuuchezea mpira na kuufanya uwanja baada ya kumaliza kulitaja jina la John , kuhamia jina la kalindi ambaye naye alikuwa mpishi wa pasi za mwisho akimsaidia John '' tunahitaji Uzalendo jamani '' alisema mwalimu wa michezo wa shule ya magadu, akiwaambia wanafunzi wa magadu washangilie, kisha akaenda kukaa meza kuu, ambayo ilikuwa na walimu wote, kama mwalimu Joka, madam Magdalena..........

Mpira ulianza vema na kila timu ilicheza kwa kummendea mwenzake. Kila timu ilijidhatiti na kuwa waangalifu sana katika kulinda na kushambulia. Mara kwa mara shule ya magadu walifika langoni mwa shule ya natamba na hatari ikaokolewa na vijana wale toka shule ya natamba . Wao natamba hawakuwa na papara sana, walicheza mchezo wa kushtukiza na kupiga mipira ya mbali ambayo mingi iliishia mikononi mwa kipa au walinzi wa shule ya magada. Mpira ukawa hivyo hadi kipindi cha kwanza kinaisha.

“Si vibaya vijana. Mmecheza nilivyowaambia na naona mambo yanaenda kama ninavyotaraji.” Aliongea mwalimu wa michezo aliitwa matuta matofali“Sasa cha msingi tukiingia, ni sisi kuchangamka na kuanza kuingia hadi ndani ya kumi na nane. Saba na kumi na moja (John na kalindi ) ni wakati wenu sasa kucheza mnavyotaka. 

Onesheni ujuzi wenu, chezeni mnavyotaka lakini msisahau majukumu yenu na msiingilie majukumu ya wengine. Pia namba nane na sita, nyie ndio muhimu sana, hakikisheni mipira yenu inaenda sehemu sahihi na isiishie kwenye miguu ya wale mabeki wa shule ya Natamba ……” Aliongea mengi sana mwalimu wa michezo mwalimu matuta matofali. Aligawa majukumu na kufanya mabadiliko ambayo yalikuwa ni kuiongezea nguvu timu.

Kipindi cha pili kilipoanza, mchezo uligeuka kama wengi walivyotarajia. Shule ya magadu ikawa moto kwenye lango la shule ya natamba . John na kalindi badala ya kuwa wanakimbilia pembeni baada ya kupata mpira, sasa hivi walikuwa wanaingia nao ndani na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga magoli. Hadi dakika ya sitini, shule ya magadu walikuwa wanaongoza kwa kumiliki mpira na kupiga mipira mingi ya nguvu na wakati huo shule ya natamba walikuwa wanafanya mabadiliko ya mara kwa mara kwa kuwatoa washambuliaji na kuingiza watu wenye nguvu ambao waliweza kuzuia mipira ya John na kalindi.

Hadi dakika ya themanini na tano, hali ilikuwa tete kwa shule ya natamba walishambuliwa lakini wakazuia, na upande wa magadu, vichwa vya wachezaji viliwaza kushinda tu licha ya kuwa hamna aliyeona lango la mwenzake. Mashabiki pia walikuwa wameshika vichwa vyao kwa mikono na kuona wazi kuwa ndoto ya sherehe kubwa kufanyika pale shuleni endapo magadu watashinda, kwani mkuu wa shule ya magadu alihaidi kuwa atafanya sherehe kubwa kama vijana wake wataweza shinda ile milion moja Magdalena alionekana kukata tamaa kabisa, kwani aliamini iyo mechi tayali wameshindwa aliona kama muda umeisha. 

Mwalimu wa michezo mwl matofali alikuwa anaenda huku na huko nje ya uwanja na kuna muda alishikwa hadi na midadi hasa pale kwenye kosakosa za magoli. Hali ilikuwa mbaya, uwanja ulikuwa kimya kila mipira inaposhikwa na shule ya magadu na yowe kubwa hutokea ghafla pale kosakosa ya magoli zinapotokea.............................

''ile kazi tunaifanya leo mida ya saa moja wakiwa wanatoka uwanjani '' alisema mwenyekiti ambaye alikuwa tayari ameandaa vijana watano kwa ajili ya kumteka madam Magdalena,
''hakuna shida, mzee sisi tupo tu hapa tunasubil muda ufike, tufanye yetu, Usijali sisi tutampeleka mpaka kule uliko sema '' alisema kijana mmoja ambaye alionekana kama mkuu wao...

Dakika ya tisini inaingia huku sasa shule ya natamba a wakiwa wote wamerudi nyuma kuzuia mipira ya hatari toka kwa shule ya magadu. Dakika tatu zinaongezwa na uwanja mzima unaweka ahueni ndani ya dakika hakika ilikuwa ni vuta nikuvute kwenye kipute kile.

Dakika ya tisini mbili, kalindi anajitoa muhanga toka bawa la kulia la uwanja ule. Anawakusanya wachezaji wa shule ya natamba kwa chenga nyingi sana. Anamuangalia vema namba tisa wake, anamminyia pasi mwanana kisha yeye anachomoka na kuingia ndani ya kumi na nane na wakati huo yule namba tisa anakuwa kamuona vema kalindi , anamtangulizia mbele na kalindi anakutana na mpira na akiwa tayari kupiga mpira kuingia nyavuni, anashtukia yupo angani na haelewi kafikaje na baada ya hapo anajikuta yupo chini huku mguu wake wa kushoto ukiwa umekwanguliwa vibaya sana. Anagalagala na wakati huo kipyenga cha refa kinabweka.

Kalindi alichezewa vibaya sana na mchezaji toka shule ya natamba. Akiwa anajiandaa kupiga mpira kwenda golini, mchezaji wa natamba alitokea nyuma yake na kumzoa kwa miguu yake yote miwili na kumfanya kalindi apae angani kama vile anambawa. Mwamuzi wa mchezo ule anapuliza kipyenga chake huku anakimbia na mkono wake kaoneshea sehemu ya kuwekea mpira wa adhabu.

Wachezaji wa shule ya natamba wanamzonga mwamuzi lakini kunakuwa hamna jinsi na wanajikuta wanakubali kuwa dhambi imetendeka baada ya kalindi kutolewa nje kwa machela huku mguu wake ukiwa umefungwa kitambaa cheupe cha hospitali lakini chote kikiwa kimelowana kwa damu. Mchezaji aliyefanya dhambi ile, aliambulia kadi nyekundu na sasa uwanja mzima ulikuwa unapiga kelele za hamasa kiasi kwamba wachezaji wa shule ya natamba walianza kuogopa.

Macho ya watazamaji na hata wachezaji, walianza kujifikiria nani apige mpira ule wa adhabu? (Penalt). Shangwe uwanjani lilikuwa kubwa sana na majukumu ya kupiga mipira kama ile alipewa namba tisa na msaidizi wake ni namba kumi. Lakini namba tisa wa timu ya shule ya magadu alikuwa anatetemeka na moja kwa moja akampa mkoba wake namba kumi. 

Namba kumi naye alikuwa katika hali mbaya sana ambayo kitaalamu twaweza sema alikuwa anapresha hasa kwa jukumu la kupiga mpira ule. Akamtazama John na kisha akamfuata akiwa kakamata mpira wake.

KUNA MATANGAZO YANATOKEA KWENYE APPLICATION YETU HIVYO UKIYAONA NAOMBA BONYEZA HAPO NDIO UNANIPA SAPOTI MIMI, UKIBONYEZA UNAWEZA KUCANCEL SIO LAZIMA UENDELE ULIKOPELEKWA, KIKUBWA UBONYEZE HATA MARA 2-3 KILA UKIFUNGUA APP YETU

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)