WEKA YOTE (5)

0

JINA: WEKA YOTE
Mwandishi: Gaooh Musah

SEHEMU YA TANO
ILIPOISHIA...
"Gao gaoo"aliita ester kwa sauti ya chini kiasi kwamba mtu wa nje hawezi sikia,niliamka kitandani haraka huku sina nguo hata dushelele kupigapiga mapaja yangu, hali iliyopelekea ester acheke.
"hahahahaha"
"wacheka nini sasa."nilisema nikiwa nimesimama huku dushelele limesimama dede.
"haha hiyo naniliu yako kama kirungu ukikimbia"alisema kwa kucheka.
"haya bhana umeona nini.?"nilisema hapo nikisogea karibu yake.

TUPATE BURUDANI KIDOGO KISHA TUENDELEE

SASA ENDELEA...
"Unajua nini gao amekuja mtoto dada anaesoma chuo."aliniambia.
"haaah hajatusikia.!"nilisema kwa kushangaaa.
"sijui.!"alijibu kwa mkato. kisha akavaa nguo zake sanjari na kutaka kufungua mlango.
Na mimi nikavaa nguo zangu hima hima kisha nikakaa kitandani kumsikiliza Ester aliekuwa anatoka nje.
"nisubiri nakuja sasa hivi naenda mcheki."aliniambia Ester, akatoka haraka.

Nilibaki mwenyewe, pale nikisubiri ester arudi.
Dakika kadhaa zikapita,nikimsubiri ester bila mategemeo hakutokea ilinibidi nitoke nje ya chumba nikiangaza macho huku na huko, Valandani pote patupu.
Nikawasha runinga na kuweka miziki, hapo nikajikita katika utazamaji wa runinga huku nimejilaza kochini nipo makini na utazamaji huku muda unasogea.
Nikiwa naangalia runinga mara mlango ukafunguliwa kwa kupigwa kikumbo,nikageuka na kuutazama,aliingia Ester na mdada wa makamu.

"mambo gao."alinisalimia jambo lililonishangaza zaidi,nikishanga kanijuaje huyu nilishindwa kuitika salamu nikitafakari.

"gao nakusalimia."alisema mara ya pili.
"poa nilikuwambali nam
awazo."nilisema.

"mawazo gani."

"amna tu ya kawaida."nilimwambia, Ester akaelekea jikoni na mizigo waliokuja nayo niligundua walienda sokoni, Ester alifanya kama hanijui.

"waitwa nani dada."nilimwambia.

"naitwa neema ila usiiniite dada."alinishangaza kusema hivyo,ila sikutaka kuifanya mada.
Tuliendelea kuongea zaidi huku tukipiga story na kucheka,mpaka ester akaivisha tukala pamoja shangazi nae akarudi usiku ukafika kila mtu akalala chumba chake, Zilipita siku kadhaa hadi jumatatu kufika.

Nikiwa tayari kwa kwenda shule siku hiyo mana shule na nyumbani kwa shangazi sio mbali sana, niliagana na ester pamoja na shangazi kisha nikaenda shule kwa muda wa kuchelewa kitendo kilichofanya nichelewe muda wa namba, ila sikujari ilikuwa zamu ya mwalimu mpole tu.
Nilipofika shule nikaelekea eneo la usafi huko nikakutana na GRACE akiwa kasimama nikamsogelea hadi pale alipo.

"mambo."nilimsalimia kwa woga.

"poa"akanijibu kwa mkato tu kama hataki.

"vipi mzima wewe habari za weekend.?,ilikuwaje weekend yako."niliongea maneno mfululizo

" safi sana sijui yako.?"aliniuliza na yeye hapo hata kufanya usafi nikaacha kwakuwa naongea na mtoto mkali.

"daah yangu hivyo hivyo valuvalu"

"hahahahaha. valu valu kivipi gao."alicheka GRACE na kuniuliza.

"daaaah yani niliboreka sana weekend hii."

"kwanini.?"

"nilikuwa mpweke sana,sikuoni kila nikikutazama haupo yani nilikuwa mpweke bora nimekuona."nilimwambia grace kwa sauti ya hisia.

"haah acha utani wako gao."

"kweli grace."

"asante mimi pia nilikuwa mpweke nimemis vituko vyako."

"kweli eeeh,twende zetu kule kwa..."nilikuwa na mwambia kabla sijamaliza kengere ikagongwa.
Hatukuendelea kuongea tukaelekea paredi kupata mawili matatu ya asubuhi sanjari na vipindi vya asubuhi morning speech.
Vipindi viliendelea mpaka kuisha ndio mwalimu wa zamu akaja na kuongea.
"habari za weekend wanafunzi."

"salamaaa"tuliitikia kwa pamoja.

"usafi wa leo kidogo nimelizika hivyo hata wachelewaji sitashuhurika nao kabisa."alisema sir chejo aliekuwa mpole kulinganganisha na walimu wote hapo shule hata kuchapa hawezi vifimbo vyake vidogo.

"sir chejo hawa niachie wachelewaji wewe si umewasamee niachie mimi."ni sauti iliyomchanganya kila mchelewaji, aliyosema sir lusinde tena kashika viboko vitatu vya mti aina ya mkole, wale wenzangu na mimi washaufaham mti huo.
Nilikasirika sana, nikaanza kutafuta njia ya kutorokea eneo lile kumbe tukio lile mwalimu kaniona tena sir lusinde bila ya mimi kujua,nilijitoa katikati ya wanafunzi kitendo cha kunyanyua mguu kutaka kuondoka kabisa tu.

"gaoo gaoo unaenda wapi njoo hapa."alinistua sana nusu nianguke kwa woga kwa jinsi alivyooniita kwa sauti ya juu na upana wa sauti yake ndio kabisa. niligeuka nyuma na kumfata hapo macho yote ya wanafunzi kwangu sikuwajali nikajisogeza mpaka mbele kufata wito wa mwalimu.

"ulikuwa unataka kutoroka kwenda wapi.?"

"hapana sir."nilidanganya.

"inamana mimi sina macho ya kuona, piga magoti hapo nimalize na hawa tutaelewana."aliniambia kwa kunitisha hapo tumbo joto nilijua fika nakula week nilipiga magoti huku naomba dua.

"haya kama unajijua siku ya leo umefika baada ya mwalimu piga goti pale ulipo usingoje nikakutoa."aliongea kwa amri sir lusinde aliekuwa anachukiwa na karibia wanafunzi wote yote ni kutokana na kutokuwa na huruma yani anapenda amri sana na kuchapa bila sababu ndio chuki zilimzidia kwa wanafunzi wake.
Alizidi kuwachomoa wachelewaji,alifanikiwa kuwatoa wote na kuwaruhusu wale waliowahi mwenyewe anawaita wasafi.

"haya wasafi mnaweza kutangulia darasani mkatulie kelele sitaki, na njie wachafi ngoja niwasafishe sawa."alisema sir hapo wasafi wakaelekea madarasani wachafu wakabaki.
Hapo kiswago kikaanza alianza kuwachapa mfululizo hadi kuwa maliza hakuchoka. nikajua kanisahau looh alinigeukia na mimi.

"haya gao njoo wewe sini mjanja."aliniambia, hapo roho juu juu nikamfata hadi pale.

"nitakupiga week bila maneno mengi na hakuna kufuta ukifuta sihesabu naanza moja."aliniambia.moyo ulinilipuka sana kusikia napigwa tena fimbo zenyewe ni week daaah niliogopa ila sina jinsi niliinama kinyonge akaanza kunitandika huku akiongea ongea alianza ya kwanza mara ya pili ya tatu mpaka akatamatisha zote saba nimejikaza tu sijatingishika wala kumsumbua mpaka anamaliza.

"wewe embu amka hivi hujajaladia kweli."aliniambia baada kuona amenichapa sijasumbua.

"hamna mwalimu."nilimwambia akanikagua, na kuniruhusu nikaondoka kuelekea darasani.
Nilifika darasani na kukaribiswa na wanafunzi wenzangu wakiwa wamekaa vikundi wanajadili, sikushughulika nao nikaelekea hadi sehemu yangu nikakaa,nikiwa nimekaa pale rafiki yangu juma akaja.
"gao vip."

"poa juma vipi."nilimwitika

"safi nimepewa karatasi na asha nikuretee"alisema na kunipa karatasi.
"poa poa juma"nilikipokea kisha akaondoka na mimi nikakifungua hapo hapo nikakutana na maandishi yaliosomeka hivi.'GAO NAKUOMBA UJE HUKU NYUMA MAENEO YA UWANI NI MIMI ASHA NAKUOMBA PLEASE UJE NINASHIDA MAALUM NA WEWE"Alihitimisha hivyo sasa nikaanza kufikiria anashida gani na mimi, ila sikujadili sana nikaelekea aliponiita nikafika na kukutana nae.
"gao mimi nimekuita hapa nikwambie kitu nakuomba usinifikirie vibaya."alisema huku kaweka kidole mdomoni. nilimpa nafasi ya kuendelea kuongea.
"gao mimi nimetokea kuvutiwa na wewe sio siri nakupenda mwenzio please nielewe."aliongea huku akipandisha sketi yake akisababisha upaja wake kukaa nje......

Alizidi kupandisha huku macho yake makubwa yalio mkaa kama ndulele.
"jamani gao nakupenda mwenzio hisia zangu zipo kwako mwenzio tafadhali sikia kilio changu nakupenda."alizikuongea asha huku akinizidi pandisha sketi yake, nilijua fika anachotaka kukifanya na mimi sikutaka kitokee mana mwalimu akitufuma pale ni dhahiri shule hatuna tena. Nilichofanya nikaondoka pale bila kumjibu kitu chochote.

"jamani mbona unaondoka bila kunijibu please gao nikubalie mwenzako"alizidi kulalamika nikaona tu ni msumbufu huyu. Nikaweka pamba sikioni sikumsikiliza nikasepa kurudi darasani huku nyuma nikimuacha asha akizidi kulalamika tu.
Nilifika darasani bado wanafunzi wapo katika magroup ya biology sikushughulika nayo nilienda kukaa sehemu Yangu kama mwanzo tu.

Nikaanza kuangaza huku na huko kumtafuta GRACE nilipepesa macho huku na huko sikumuona kila nikitizama olaa. Sikufanikiwa kumuona nikiwa nashangaa kumtafuta GRACE, mara ghafla ASHA akaja pale nilipokuwa nimekaa tena akakaa juu ya meza kabisa mguu mmoja ukiwa juu hivyo kuacha uwazi katikati ya mapaja kiasi kwamba akinyanyua mguu tu nimeona vya ndani, alikaa kimtego yote kuniingiza majaribuni na mimi sikuwa nikimpenda nimpendae ni GRACE tu ndio katika moyo wangu na kuondoka nao kabisa mbali.

"gao nakuomba nielewe mimi ninakasoro gan jamani angalia mwili wangu nilivyokuwa mrembo dah huoni vyote jaman au nikuvulie nguo ili unione gao."aliongea kwa kujibwatukia hapo nikajua huyu sie anachotaka ni dushelele ana mihemko.
"sawa usijali njoo leo saa mbili pale dukani kwa nyuma kule utanikuta."nilimwambia huku nina nia yangu kichwani alifurahi kumwambia vile.

"kweli gao asante nitakuja bila Kuchelewa yani dah asante naomba nikukute."alisema kisha akaondoka, kichwani akijua eti nimwemwambia anifate pale nina nia njema nae kumbe laahasha nilikuwa nasuka mpango wangu kichwani.
Muda kadhaa mwalimu wa hisabati akaingia huku mkononi kashika viboko sambamba na vitabu pamoja na boksi la chaki, nilijua leo pananuka mana nikikumbuka alitoa zoezi alafu hakuna aliefanya zaidi ya mwanafunzi mmoja tu.
Tulimsalimia kwa pamoja wanafunzi wote akaitika na kuanza kuongea.

"mnakumbuka jumatano niliacha kazi wote hamkufanya zaidi ya issa ndio kafanya sasa leo mtaniambia kwanini mmedharau kazi yangu, mimi naandaa quiz nyie hamuifanyi dharau sio haya wote mikono mbele."alisema mwalimu yule hapo wanafunzi wote wanalalamika ila mwalimu akuwasikia akatembeza kichapo darasa zima mpaka mimi alinipitia siku hiyo issa hakufika shule na yeye ndio pekee kafanya kazi.
Darasa zima lilikuwa ni vilio tu, Hasa wanawake ndio Walizidisha vilio kama wafiwa.

"haya nyamazeni nitawaongezea, sasa naandika tena maswali yangu ole wako usifanye."alisema mwalimu na kuondoka. Somo la hisabati lilikuwa kama janga la taifa halikupendwa kivile, hivyo ikawa sababu watu wakalipuuzia.
Vilio vyako vikakatika na kubaki vya kufina fina tu.

"jaman mimi nasubir mwandike nije kudownload tu."alisema mwanafunzi mmoja jinsia ya kike.

"nyooo ole wako uje hapa maswali yenyewe magumu alafu uje ukopy tunakosana"aliitikiwa na mwengine.
GRACE akaingia darasani sikujua alipotoka hivyo nikabeba kiti changu kwenda kukaa nae pale baada ya yeye kukaa.

"pole gao kwa kuchapwa na mwalimu"

"asante grace nishapoa"

"mwalimu wa math's aliingia eeh.?"aliuliza grace hapo hakujua kama tumechalazwa na mwalimu wa hisabati, yeye alijua ni mwengine.

"ooh kaja katuchapa hapa wanafunzi wote kisa hatuja fanya kazi yake."nilimjibu hapo hakusita kunipa pole, tuliendelea kucheka huku tukiongea Ulipita muda mchache tukiongea kengere ya break ikagogwa, wanafunzi kwa kujivuta vuta wakaanza kutoka nje.
Vipindi vilikuwa sio vingi jumatatu hiyo kutokana kuhudhuria walimu wachache hivyo wanafunzi walikuwa na muda mwingi wa kucheza kuliko kusoma.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

ENJOY WAKATI UKISUBIRI MUENDELEZO, SUBSCRIBE KAMA HAUJAJIUNGA NA CHANNEL YETU

Subscribe channel hizi ili usipitwe na video za Vichekesho


Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)