MUUZA UBUYU (10)

Zephiline F Ezekiel
MUUZA UBUYU (10)
JINA: MUUZA UBUYU Mwandishi: Micky Mejah SEHEMU YA KUMI ILIPOISHIA... Wakati huo naendelea kuperuzi kweny kinote book nikaona jina limeandikwa sammy nilishtuka nikainote down ile namba, mbele kidgo nikaona jina limeandikwa mpango mzima nikalinote pia down. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nilimuonea huruma elly na kumsihi aache kunywa vile pombekali ila hakunielewa aliendelea kunywa mpk akazima. Nilipata shida kumnyanyua kutokana na kuwa heavy weight(uzito mkubwa) ila nilifanikiwa kumfikisha kitandani kisha nikarudi sebureni kwenye simu yake nikaitazama nione mtu wake wa mwisho kuwasiliana nae alikuwa ni nani? Nilikuta ujumbe kutoka kwa sammy "bro tumejitahidi kumtafuta lakini hatujanikiwa" hapo tu nilianza kupata akili inawezekana huyu sammy ni mhusika katika kumteka nyara sam. Haikuishia hapo nikaangalia ujumbe wa pili alikuwa ni salma japo alisaviwa sally ila namb yake naijua kichwani "please samahani elly kama umekasirika but nielew…